waarabu

  1. U

    Kama Waarabu wanaiba wanyamapori kupitia viwanja vya ndege, huko bandarini wataiba kiasi gani?

    Waarabu awamu ya nne walikuwa wanajipimia kila walichokipenda kupeleka kwao uarabuni. Madege makubwa ya mizigo yalisomba kila aina ya raslimali kwenda kwao uarabuni. Watanzania walipiga kelele lkn kwa kuwa waarabu walikuwa na kiburi juu ya utawala uliokuwepo hawakujali waliendelea kusomba...
  2. U

    Je, wajua Waarabu ndio chanzo kikuu kwa Sudan kuwa nchi mbili?

    Rais aliyetimuliwa madarakani al Bashir aliwamilikisha na kubinafisisha kila kitu kwa waart asilimia kubwa ya uchumi wa Sudan ukawa chini ya Waarabu. Wale wasio kuwa na ukaribu na waarabu wakawa kama sio Wasudan. Kiufupi Waarabu walimilikishwa kila kitu kuanzia ardhi na raslimali zote. Wale...
  3. covid 19

    CAF wasifumbie macho uhuni wa waarabu ule sio mpira ni fujo

    kwa tuliyoyaona jana kwenye mechi ile kubwa kabisa ya fainali africa zima imeshuhudia na rais mwenyewe wa CAF ameshuhudia ule haukuwa mpira zile ni fujo. Lazima waarabu waadhibiwe kwa upumbavu ule, mpira ulisimama mara mbili sababu ya moshi wa baruti kutoka kwa washabiki wao. Mpira ulikuwa...
  4. MSAGA SUMU

    Bila shaka waarabu wataanza kukataa kucheza na Yanga

    Hamna kitu kibaya sasa hivi kwa waarabu Kama wakikutana na Yanga kimataifa. Chini ya jangwa la Sahara hamna timu inaogopeka Kama Yanga. Club Africain kapigwa za uso kwake Monastri hataki kabisa kumsikia Yanga. USMA ilibidi achome matairi uwanjani ili Mambo yasiwe mengi. Hawa Yanga na hata hawaringi
  5. S

    Bandari inauzwa kwa waarabu, Gesi LNG inauzwa kwa uingereza, Mbowe, Lissu, Zitto mko wapi kupaza sauti?

    Tumesikia ishu ya bandari kuuziwa mwarabu, mradi wa LNG nao mkataba wake haueleweki wa namna Tanzania itakavyonufaika, barabara ya kibaha moro dodoma kuendeshwa na mwekezaji na kulipiwa tozo kila ukipita, madudu yote yanaendelea lakini Zitto, MBowe na Lissu wako kimya kupaza sauti kuhusu ishu...
  6. Webabu

    Zelensky ahudhuria mkutano wa jumuiya ya waarabu jijini Jeddah

    Kiwjingu cha safari za kushtukiza cha raisi wa Ukraine, Zelenky zimempeleka mpaka kwenye mkutanao wa jumuiya ya waarabu jijini Jeddah. Akiwa ndani ya mkutano huo Zelensky alikiri kuwa ni taifa moja tu la kiarabu lililoiunga mkono Urusi katika uvamizi wake kwa taifa lake, taifa ambalo ni Syria...
  7. MK254

    Kwa jinsi hawa waarabu wa Sudan wananyukana, tunaelekea kuwa na Somalia nyingine

    Saudi Arabia imejaribu kuwapatanisha ila wapi, kila upande una ubabe wa balaa....milipuko mjini Mahasidi wenyewe ni Abdel Fattah al-Burhan anapigana na kamanda Mohamed Hamdan Wakiachiwa hivi wataibadilisha hiyo nchi na kuwa kama Somalia, na hawatakawia kujilipua kwa mobomu hawa...
  8. M

    Zama za kufungwa goli nyingi kwa Simba na timu za waarabu tumezizika rasmi. Kumwembe ukubali ukweli huu

    "Mchambuzi" wa soka Kumwembe ambaye hana historia ya kucheza soka kwa kiwango hata cha kati alisema: "Hata kama Simba itashinda goli 3-0 hapa kwa Mkapa, bado haitoweza kusonga mbele” Naamini hiyo kauli hatokuja kuirudia tena maana zama za kupigwa nyingi tumezizika rasmi na jumla!!
  9. NetMaster

    Waarabu na Wahindi wanaweza kuwaheshimu Watanzania wa asili na kuacha kuwadharau na kuwaona kama watu wa daraja la mwisho?

    Hakuna haja ya kumung'unya maneno, vitendo vinaongea na tunashuhudia kwa macho yetu kwamba jjamii hizo hukaa mbali kabisa na watanzania wa asili ya makabila ya hapa kwetu, wao huwa karibu zaidi na watu wa kuweka greese kwenye mambo yao pekee hasa viongozi wa juu tu ambao nao wakishamaliza muda...
  10. Allen Kilewella

    Tofauti kati ya Waarabu, Warusi, Wamarekani na wazungu kuhusu utu wa mtu

    Ulaya na Marekani, Serikali inawajibika kwa wananchi ila Uarabuni na Urusi wananchi ndiyo wanawajibika kwa serikali. Matokeo yake Marekani na Ulaya inawezekana wananchi kuandamana kwa maelfu kupinga kinachofanywa na serikali na wasiuawe kwa kukukusudia. Lakini kwenye nchi nyingi za Kiarabu na...
  11. Lycaon pictus

    Sidhani kama kuna ukweli kuwa Waarabu walikuwa wakihasi watumwa wanaume

    Imezoeleka sana kwa watu kusema kuwa Uarabuni hakuna watu weusi kama Amerika licha ya watumwa wengi kupelekwa huko. Wengi hudai kuwa waarabu walikuwa wajiwahasi watumwa wakiume ili wasizaliane. hili naona si jambo la kweli hata kidogo. Sababu ni kuwa kitendo cha kuhasi mtu kilikuwa ni kitendo...
  12. M

    Hivi waarabu na wazungu huwa wana vinasaba vya ushoga? Wamepaharibu Zanzibar na Dar

    Sehemu iwe kijiji mtaa hata wilaya kama kuna warabu na wazungu basi hiyo jamii lazima igeuke na kuwa na mashoga wengi. Angalia Dar, Zanzibar, Tanga na Mombasa hii ni mifano tu. Lakini hata South Africa Mashoga wengi wazungu na machotara. Kwa nini inakuwa hivi?
  13. kmbwembwe

    Mtindo wa uwekezaji wa Waarabu ndio kama tunavyoona Loliondo

    Awamu hii ya mama tunaona juhudi kubwa kuvutia uwekezaji kutoka nchi tajiri za Mashariki ya Kati. Wakati tunahangaika kuvutia Waarabu kuwekeza inafaa kuelewa desturi yao wakiwekeza kwako. Wao kwa maoni yangu wakiwekeza nchini kwako hawatofautishi na kununua sehemu waliyowekeza. Pia huwa...
  14. Greatest Of All Time

    FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023

    Kwa Mkapa hatoki mtu!! Hii ni kauli mbiu maarufu kwa mashabiki wa Simba Sports Club linapokuja suala la mechi za Kimataifa za CAF. Kwa kauli hiyo ashakufa Al Ahly, Orlando Pirates, As Vita, Kaizer Chiefs na wengineo na sasa ni zamu ya kufa Raja Casablanca. Nani anabisha? Kikosi cha Simba...
  15. G

    Waarabu na wahindi tangu utotoni wanafundishwa biashara, mbongo anasubiriwa hadi afike 25. Kuna haja ya kuendelea kumtafuta mchawi ?

    Na ndio chanzo kikubwa cha biashara nyingi zilizofanikiwa kuanza kuyumba pale baba akifariki kila kitu kinaparanganyika. Unakuta familia tayari inajiweza kiuchumi inaingiza makumi ama mamia ya mamilioni kila mwezi lakini wazazi wanawakomalia watoto kusoma tu na matuisheni utadhani sio familia...
  16. R

    DOKEZO Ni kweli hawa wote ni raia wa Tanzania au wamejipatia pasipoti za Tanzania kimakosa?

    Tanzania hakuna uraia wa nchi mbili lakini naona kama wageni wanaomiliki Pasipoti za Tanzania na za mataifa mengine wamekuwa wengi Sana. Sikukuu za mwisho wa mwaka nilikuwa South kwa mwaliko wa familia Kula bata kidogo, katika moja ya hafla mwenyeji wangu alinikutanisha na rafiki zake ambao...
  17. F

    Ni shule gani ya sekondari ilijengwa na wakoloni Waarabu halafu Serikali ikaitaifisha baada ya uhuru 1961?

    Habari wadau. Nasikia baada ya kupata uhuru mwaka 1961 Serikali ilitaifisha shule zilizojengwa na wakoloni. Mfano shule zilizojengwa na wakoloni wazungu kama Minaki, Ilboru, Pugu, Mazengo, forodhani, etc Je, ni shule zipi zilitaifishwa ambazo zilijengwa na wakoloni Waarabu? Maana waarabu...
  18. MK254

    Mfalme wa Saudi Arabia ashukuru Morocco kwa kuwawakilisha waarabu kwenye kombe la dunia

    Juzi mchezaji wa Morocco alisema ushindi wa Morocco ni kwa ajili ya waarabu na nchi za kiislamu, naye mfalme wa Arabia ameshukuru Morocco kwa kuwaakilisha waarabu vyema.... Waafrika tuache makelele haya mambo hayatuhusu, hata maustadhi waarabu wa Bongo ambao hupenda kushobokea waarabu asili...
  19. City Rider

    Je, ni kweli kuwa Morocco ni Waarabu na si Waafrika?

    Morocco wamequalify kwa ajili ya SEMI-FINAL za world cup good news to Africa japo kuna rumours kuwa wao ni Arabs na so Africa na haya maneno yametoka kwao. Well sisi sio kwamba tunawahitaji sana morocco lakini MOROCCO si Waarabu 1. Culture -utamaduni wa waarabu esp kwenye mavazi wanatofautiana...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    Sofiane Boufal: Ushindi wa Morocco ni kwa ajili ya wananchi wa Morocco, Waarabu na Waislamu

    Morocco Egypt na Libya zilishakataa kuwa wao siyo Waafrika na chochote wafanyacho hakihusiani na Afrika! Na ni Morocco ndiyo waliopinga kwa nguvu zote kuwa Afrika ya Kusini wasiwe wenyeji wa Kombe la Dunia la FIFA 2010 kwa madai kuwa hakuna hata nchi moja ya Afrika yenye uwezo wa kuandaa Kombe...
Back
Top Bottom