Hawa watu huwa na roho ngumu sana, yaani tetemeko linapiga na kusababisha maafa na majanga ila wao wanawindana na kupigana, hawana muda wa kusklizia kwanza au wasubiri hali itulie.
Wanalipuana utadhani hamna kesho, hawa hawa ndio wamiliki wa dini yao aisei, na ndio lugha yao huwa tunaambiwa...
Je, na Wengine ( Wakosoaji uwafananishao na Ng'ombe ) wakienda mbali zaidi na Kukuita Wewe Empty Clove Island Baloon utafurahi nawe Kuvumilia kama Wao wanavyokuvumilia?
Ngoja kwa sasa Ng'ombe ninyamaze.
Kuna video imesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonyesha kundi la warabu wakishangilia na kuimba nyimbo huku wakipeperusha bendera ya Tanzania kitu ambacho kimeibua maswali mengi miongoni mwa watanzania wakijiuliza inawezekanaje?
Yani katikati ya sakata la kuuzwa kwa bandari zote...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amewasili Ngorongoro ambako anatarajiwa kuwasha moto wa Ukombozi na kukata minyororo ya Utumwa waliyofungwa Wamasai.
Nakala : Maulid Kitenge
Angalizo : Usiondoke JF kuna mambo mazito mno yanakuja .
Peace,
Hebu imagine Ngorongoro tumewapa, bandari tumewapa tena kwa adabu na unyenyekevu lakini wao wanajivunia, wanaringa na kutamba na mafuta yao ni bei juu kila kukicha hawajawahi kutugawia hata kijiko. Na bei yao hua iko juu na hawapunguzi kuna kipindi tulishindanwa nao tukamua kuwa...
Wakati huku Tanganyika tukiwakaribisha waarabu kwa mikataba yenye utata, hapo jirani waarabu hawahawa wapo kwenye kampeni kali ya kuwaangamiza binadamu wote weusi kwa mwonekano wa ngozi zao.
Nionavyo mimi, ni muda tu hawa watu watatugeuka na kuanza kuendesha kampeni ya kutuangamiza ili wabakie...
Ni dhahiri kwamba yanayoendelea Nchini Tanzania kwa sasa yanaiinua Jumuiya ya Kimataifa kuitupia macho nchi hii, Ubambikizaji wa kesi za uongo za Uhaini kwa wazalendo wapigania Mali za Nchi umefika kwa wafadhili wa nchi ambao wamekwisha jiridhisha kwamba kesi hizi ni kwa ajili ya kuwalinda...
Uingereza ilikuwa na uchumi mkubwa duniani kwa zaidi ya miaka 200+ kwa kuweza kudhibiti njia za majini na karibu bandari zote ulaya kuanzia Karne 15. Kifupi ilijengwa na uchumi wa bandari.
Ukiigusa Dubai unaigusa Uingereza. Hata Mjerumani alipoachiwa Tanganyika hakuachiwa pwani yoyote. Pwani...
Pamoja na nchi kusumbuliwa na umasikini, zipo familia ambazo zinaishi fresh, tunaziita mambo safi.
Licha ya hali hii lakini bado wageni na Watanzania wachache wenye asili ya nchi za nje wanakimbiza.
Ukicheki listi ya matajiri, ambae aliwahi kujitahidi labda kwa mbali ni Marehemu Mengi angalu...
Rais wa Kenya, William Ruto leo Jumamosi ametangaza kuwa amefanya mazungumzo Ikulu ya Nairobi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Sheikh Shakhboot bin Nahyan Al Nahyan, kujadili fursa za uwekezaji nchini humo.
Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya bidhaa zake nchi za Ulaya.
Pia amewaahidi atawapa wafanyakazi million moja ndani ya muda mfupi...
Nani amefatilia Wasafi media leo asubuhi? Hawa watangazaji watatu tangu juzi wapo Dubai na wanajinasibu Kama ni wageni rasmi wa DP world kutoka Tanzania. Na wanapata escort ya ving'ora Kama wageni wa heshima.
Leo walikuwa wanawahoji watanzania ambao wanafanya kazi hapo bandari ya Dubai...
Kama Waarabu wamepewa Bandari zote, ina maana bomba la mafuta kotoka Uganda linaloishia Tanga Port ambayo itakuwa chini ya Waarabu au mali ya Waarabu, fedha watachukuwa Waarabu?
Ina maana tutagawana na Waarabu faida ya mafuta? Ikumbukwe bomba la kutoka Uganda lita pump > 240 000 barrels kwa...
Nimesoma na kusikiliza hoja nyingi zilizojaa hisia kali juu ya hili sakata la DP World ya Uarabuni (Imarati ya Dubai) kukabidhiwa bandari zote za bahari, maziwa, mito na hata nchi kavu, alimradi imehusiana na bandari. Ni mambo ya ajabu sana ukitulia na kusoma kwa kutafakari.
Lakini jambo...
Then baada ya mwisho wa kuchimba deposits za mafuta, zitakuwa zimeisha sasa wanatengeneza mikataba ya kilaghai ili ku meet future economic demands maeneo mbali mbali ili kupata future ecomonic sources of income hapo baadae when oil deposits runs out aisee.
Kuna maelezo kuwa PD world ilitoa msaada wa dollar million 500 za kimarekani kwenda kuboresha mambo mbalimbali katika Bandari ya Dar es salaam lakini hizo pesa hazipo kwenye mkataba wala kwenye kwenye maelezo ya serikali. Tuomba ufafanuzi wa Serikali kwa hili. Au mwenye kujua nini kinaendelea...
Kada na Afisa wa Chama cha Mapinduzi wa zamani ndugu Haji Manara amenukuliwa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii akisema na nina mnukuu;
" Bandari ya Dar es Salaam ilijengwa na Sultan wa kiarabu toka enzi hizo. Tusijifanye tuna uchungu nayo kivile ilhali haituhusu."
Haji.
Alichoandika...
Hapo vip!!
Ni wazi sehemu nyingi zilizotawaliwa na kukaliwa na hii jamii inayoitwa waarabu pananuka umaskini mkubwa.
Mfano kwa tanzania sehemu za pwani kama bagamoyo,kilwa,tanga,zanizabar n.k
Au ni ile laana ya asili waliokuwa nayo?
Naona kama Waarabu wanarudi kwenye himaya yao ya kibiashara waliyokuwa wameishikilia enzi na enzi kabla ya ujio wa utawala wa kizungu
Ninawaza sana maana naona mkakati wa kuirudisha pwani na bara katika mahusiano yao ya kibiashara kama hapo awali unaanza kujipenyeza taratibu japo wakati huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.