Kama kichwa kinavyojieleza, sisi wote ni wachawi, umeanza kulogeshwa tangu ulipozaliwa. Sema tunajiificha tu na unafiki WA kivuli cha dini zetu ila nyuma ya maisha yetu kumejaa uchawi, uzinzi, ushirikina na kila aina vikorombwezo vipo huko.
We endelea kuamini Kila mtu Kwasababu ya maneno Yao...