Kabla nawe hujageuka mchawi, tazama video niliyokuwekea halafu usiwe mgumu wa kuelewa.
Aliyeruhusiwa kuota tena ni binti wa Kitanzania, popote pale alipo. Nazungumzia binti yeyote ambaye sasa ameruhusiwa kurudi shule (Kuota tena) kupambania ndoto yake baada ya kukukosea na kupata ujauzito...