wadau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hichi kipengele cha Health Insurance €30,000 Schegen visa tunakirukaje

    Wadau nipo ovest ichi kipengele kinanichanganya wakuu. Nashindwa kuelewa nakitambukaje. Kila kitu nipo sawa isipokuwa tu iyo Bima ya afya wanayoitaka wao ya €30,000 sawa na Tsh 80m. Kunatips za kuitambuka hii. Nataka kwenda kama mtalii au mwanafunzi wa kujilipia. Moderator nisaidie kupunguza...
  2. Msadaa kwa hili wadau wa elimu

    MIMI NIMEHITIMU KIDATO CHA NNE NA SITA. KIDATO CHA SITA PCB NIMEPATA "ESE" NIKAONA SIWEZ KWENDA DEGREE NIKAENDA SOMA FOUNDATION PROGRAM YA OUT (1YRS) SIJUI MUNAIJUA hii program NIKAPATA GPA YA 3.5 Maana yake nishapata VIGEZO vya degree ila course ninayotaka kusoma degree ni IT au Computer...
  3. Mjadala wa DP World unaendelea sasa kati ya Msemaji wa Serikali na wadau huko Club House comment zote zinapinga mkataba huo

    Nasikiliza mjadala unaondelea unahusu DP World huko Club House kwa kweli comment zote zinakataa uwepo wa Muwekezaji huyo kutoka Dubai kupewa bandari yetu, sijui kwa nini Serikali bado imekomaza shingo na kutaka watu wakubaliane nao na huku hali inaonesha wamekataa kila sababu wanayopewa na...
  4. LIVE LIGI KUU UNDER 20: AZAM 0 VS MTIBWA SUGAR 2

    Hili ni bonge la Game. Kama tutaendelea kuwekeza kwenye vijana, hakika hatuta ng'ang'ania magarasa akina sawadogo. Mtibwa wana timu nzuri sana. Kuna fowadi zaidi ya Baleke au Mayele anaitwa Makambo Jr. Hadi sasa dakika ya 16 Mtibwa anaongoza 2 bila ote yakifungwa na Makambo Jr. Azam kuna...
  5. B

    Serikali, Wadau waipongeza Benki ya CRDB kukusanya Tsh. Bilioni 700 kuwawezesha wajasiriamali nchini

    Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Abdalla Hussein Kombo (katikati), Afisa Biashara Mkuu Benki ya CRDB, Boma Raballa (wapili kushoto), Mkurugenzi wa Wateja Wadogo na Wakati Benki ya CRDB, Bonaventura Paul (wapili kulia), Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa...
  6. Naomba ushauri: Mwanamke wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa

    Wadau kuna demu wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa naomba ushauli wenu fafadhali
  7. Hivi hii imekaaje kitaalamu wadau

    Nimekaa nikakumbuka wakati nikiwa chuo Kuna mdada nilitokea kumuelewa Sana. Picha linaaza hivi huyu mdada tulisoma wote advance but wakati tukiwa advance sikumconsider sana means tulikuwa tunaonana juujuu tu. Baada ya kumaliza advance kumbe nae alichagua chuo ambacho na Mimi nipo but pia...
  8. S

    Wadau ushauri

    [6/17, 17:32] Steven Simon Lyimo: Najiuliza samahani naomba unisaidie: Kuna mwanamke ambae nilioa nikaachana nae kurokana na tabia yake ya umalaya. Mimi nimekuwa ktk malezi mazuri ya kidini, niliridhika kwa asilimia zote kwamba nimepata wangu kumbe niliingia ktk mwanamke ambae sijui kilimpata...
  9. Upande wa pili wa mkataba wa DP world, Mchina na wadau wake wamepigwa bao dakika za majeruhi

    Ni kama vile kuna vita baridi ya kugombea Afrika kati ya Marekani (pamoja na mataifa mengine ya magharibi) dhidi ya China. Kila mmoja anajitahidi kuongeza ushawishi wake barani Afrika kupitia vitu kama uwekezaji, misaada N.K Kwenye hili la mkataba wetu na DP World ni wazi kuwa mchina amepigwa...
  10. A

    Nina mtaji wa milioni 2 nifanye biashara gani ili nipate faida?

    Milioni 2 naweza fanya biashara gani ambayo utanisaidia kupata pesa ya kula kila siku na akiba angalua 10000 kuweka? Mimi ni single mama ninaehitaji kujishughulisha ili niishi vizuri na mwanangu. ====== Michango wa mdau
  11. R

    Naomba kujua kwa wale waliofanya interview ya MDA & LGA 14 may 2023 kama tayari wameitwa kazini

    Wadau samahani naomba kujua kwa wale waliofanya interview ya MDA & LGA 14 may 2023 kama tayari wameshaitwa kazini au kama wapo basi naomba mawasilia🙏
  12. Tusemezane jambo wadau

    Habari za leo. Siko vizuri sana katika kuwasilisha jambo katika hadhara ila acha nijaribu. Kuna mwanaume tumpe jina Leki na mwanamke tumpe jina Siah. Leki alikutana na Siah mwaka 2019. Kipindi hiko, Siah alikua tayari ana mtoto mmoja wa miaka sita. Basi katika kuishi pamoja Siah akabeba...
  13. Wadau naomba kujua sehemu za starehe zenye pisi kali Tanga mjini

    Wasalaam, Habarini wajameni, kwa wiki mbili ntakuwa safarini tanga got some friends from Ethiopia, Europe and Uganda a crew of 15 Baharia tunafanya regionwise city beak travels, and our exploring trip bogins with tanga, naombeni kujua maeneo recent yenye vyombo vikali. Hawa wageni nataka...
  14. Nipo hapa Manzese Kwa Mkwere napiga vyombo, wadau njooni basi tuliunge

    Oya wahuni tusogee mitaa hii tupige Vitu vya baridi mpaka majogoo, njooni tu join wadau wa jamiiforum tujuane zaidi Fika manzese kituo kinaitwa manzese darajani uliza bar ya mkwere, panaitwa Kwa mkwere nipo humu hata kama huna pesa we njoo nitanunua mabapa matatu ya KVANT
  15. J

    Wadau wa Maonesho ya 47 ya Biashara ya kimataifa (DITF) maarufu kama Sabasaba wamesema maonesho ya mwaka 2023 ni ya kipekee

    WADAU WA MAONESHO YA 47 YA BIASHARA YA KIMATAIFA (DITF) MAARUFU KAMA SABASABA WAMESEMA MAONESHO YA MWAKA 2023 NI YA KIPEKEE - KIONJO CHA SABASABA EXPO VILLAGE Wadau wa Maonyesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa (DITF) maarufu kama Sabasaba wamesema maonyesho ya mwaka huu ni ya kipekee kwa kuwa...
  16. Warsha ya kujenga uelewa katika Sekta ya Kidigitali kuhusu Sheria, Sera na Kanuni zinazosimamia Anga ya Kidigitali Tanzania

    Leo Jumanne Mei 30, 2023, Shirikisho la Wadau Wanaotetea Haki za Kidigitali Tanzania (Digital Rights Coalition Tanzania) limeandaa Warsha ya kujenga uelewa kwa Wadau katika Sekta ya Kidijitali kuhusu Sheria, Sera na Kanuni zinazosimamia Anga ya Kidijitali Nchini Tanzania pamoja na kuwezesha...
  17. Wapi ni sahihi kujenga nyumba ya Maisha kati ya Kigamboni Gezaulole au Goba?

    Wadau, Naomba ushauri au mawazo yenu. Nataka kununua kiwanja cha kujenga nyumba ya maisha, sasa kuna hizi sehemu mbili. Kigamboni Gezaulole na Goba. Ipi ni sehemu sahihi?
  18. Wadau Zaidi ya 3,000 Kunufaika na Mikopo ya Ufugaji Samaki

    WADAU ZAIDI YA 3,000 KUNUFAIKA NA MIKOPO YA UFUGAJI SAMAKI Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. David Silinde amesema Serikali kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) katika mwaka huu wa fedha wa 2022/2023 inatekeleza mradi wa kutoa mikopo yenye masharti nafuu na isiyo na riba...
  19. Serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imezindua mwongozo wa ushirikiano wa wadau katika upelelezi, uratibu na kupambana na makosa hayo

    SERIKALI YAZINDUA MWONGOZO WA USHIRIKIANO WA WADAU KATIKA UPELELEZI, URATIBU NA KUPAMBANA NA MAKOSA YAO Katika kupambana na vitendo vya ugaidi na utakatishaji fedha haramu, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imezindua mwongozo wa ushirikiano wa wadau...
  20. Unaweza kujisajili kufanya mtihani wa kidato cha sita huku unatafuta credit moja ya O-level?

    Wadau naomba kuuliza. Unaweza kujisajili PC ya five na six kwa mwaka mmoja na wakati huo huo umejisajili kutafuta credit ya physics? Olevel?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…