Wa kwanza msichana baada ya kukosa Law mlimani nikamwambia soma Education akaniambia mimi niitwe mwalimu haiwezekani. Akaenda kusoma BA History Mlimani hapo hapo. Kamaliza 2014, kapeleka barua makumbusho zote Tanzania kuanzia Butiama hadi Kilwa kimya. Sasa hivi anafundisha history kwenye vishule...