waganga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Alagwa

    Waganga wafawidhi kusimamia majukumu Yao Wilaya ya Meru

    Mkuu wa idara ya Afya,Lishe na Ustawi Halmashauri ya Wilaya ya Meru Dkt. Evarist Chiweka ameongoza kikao kazi cha Waganga wafawidhi na waratibu wa Afya ngazi ya Halmashauri kujadili Taarifa ya utekelezaji Robo ya pili ya Mwaka 2024-2025. Aidha Dkt. Chiweka katika kikao hiko amewataka Waganga...
  2. Stability

    Nimeshaenda kwa waganga mara nne na kila mara napoenda haimalizi hata wiki moja najutia uamuzi huo na nakimbilia kusaidiwa kufanya sala ya toba

    Sasa nikajisemea haijalishi magumu haya nayopitia, sitaki niipoteze na nafsi yangu pia na labda familia yangu kwa ajili ya maisha mazuri. Ushawahi kujiuliza baada ya kwenda kwa mganga ni ipi stori ya nyuma inabaki ambayo wewe haujui, nini kinabaki katika roho yako, nini kinafanyika katika nafsi...
  3. KING MIDAS

    Kila mtu kuna madhabahu yake anayotoa sadaka, wengine madhabahu zao ni bar, wengine kwenye vinena vya malaya, wengine kwa waganga je wewe unatoa wapi?

    Kila mtu kuna madhabahu yake anayotoa sadaka, wengine madhabahu zao ni bar, wengine kwenye vinena vya malaya, wengine kwa waganga, wengine ni kwenye perfumes za bei mbaya, wengine kwenye simu, wengine kwenye magari ya kifari. Kule pesa yako nyingi iendako, ndiko kwenye madhabahu yako.
  4. Rorscharch

    Mitego ya Kisaikolojia: Kwanini Wanawake Wanajazana Kwa Waganga na Wachungaji? Je, Hizi sio Pande Mbili za Sarafu Moja?

    Waganga wa Kienyeji na Wachungaji wa Maombi Binafsi: Ni Tofauti au Ndugu Wanaotumia Lugha Tofauti? 👇👇👇👇👇👇👇 https://www.jamiiforums.com/threads/waganga-wa-kienyeji-na-wachungaji-wa-maombi-binafsi-wajanja-wanaocheza-na-akili-za-wanawake.2314695/
  5. Rorscharch

    Waganga wa Kienyeji na Wachungaji wa Maombi Binafsi: Wajanja Wanaocheza na Akili za Wanawake?

    Katika dunia inayokumbwa na matatizo yasiyokwisha—mahusiano yaliyovunjika, matatizo ya kiuchumi, na ndoto zilizokwama—watu wamegawanyika katika makundi mawili. Wapo wanaotafuta suluhisho kwa kutumia akili, na wapo wanaokimbilia miujiza isiyo na msingi wowote wa kisayansi. Sehemu kubwa ya kundi...
  6. M

    Waganga wa Pangani waiumbua Yanga mkutano wa Rais leo, aibu kubwa sana hii

    Leo imethibitika huko Pangani kwenye mkutano wa Rais kuwa Injinia anashindaga huko kusaka waganga kwenye mechi za Simba vs Yanga, yaan waganga hao kazi yao ni kufifisha nyota ya wachezaji wa Simba na kuzipeleka kwao. Ina maana kuwa timu hii ina mambo ya ulozi sana kiukweli. Sio Pangani tu hata...
  7. M

    Waganga wa Pangani waiumbua Yanga mkutano wa Rais leo, aibu kubwa sana hii

    Leo imethibitika huko Pangani kwenye mkutano wa Rais kuwa Injinia anashindaga huko kusaka waganga kwenye mechi za Simba vs Yanga, yaan waganga hao kazi yao ni kufifisha nyota ya wachezaji wa Simba na kuzipeleka kwao. Ina maana kuwa timu hii ina mambo ya ulozi sana kiukweli. Sio Pangani tu hata...
  8. Pdidy

    Waliokwenda kwa Mwenyekiti wote waganga njaa hakuna kitu palee

    Njaa mbaya sana kosa yootee sio njaa KUNA wah walienda kwa mwenyekiti WA chadema wakitaka agombee tenaa. Wale jamaa ukiangalia kuanzia sura zaoo na maneno yao. utaona Hawa jamaa waganga njaa Walishtuka wakahisi mbowe akiondoka maisha yao na maslahi yaoo yatakuwa hatarinii Siasa mchezo...
  9. Lady Whistledown

    Zambia: Waganga wakamatwa kwa jaribio la kutaka kumroga Rais Hichilema

    Polisi inawashikilia Wanaume Wawili, Jasten Mabulesse Candunde na Leonard Phiri waliokamatwa huko Lusaka, wakituhumiwa kuwa Waganga wa Kienyeji waliokuwa na jukumu la kujaribu kumroga Rais Hakainde Hichilema Taarifa ya Polisi imesema Candunde na Phiri walikuwa wameajiriwa na Nelson Banda, mdogo...
  10. KING MIDAS

    Nataka niandae pambano la kushindanisha nguvu kati ya walokole vs waganga, wachawi, na waotumia nguvu za giza

    Ukipita sehemu za wanamaombi utasikia wakiutuma moto (wanapiga faya) kwenda kwa shetani, mapepo, wachawi na waganga. Ukiingia kwenye makanisa yao utakuta watu wamepagawa na mapepo, mapepo yanasema naungua, naungua, usinichome, natoka. Kuna watu wanasema huko makanisani kuna maigizo na hizo...
  11. Forgotten

    Waganga hutengeneza dawa zao kwa kutumia nini?

    Habari, wana-JF. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ningependa kujua waganga hutumia nini kutengeneza dawa zao? Mimi binafsi sijawahi kufika kwa mganga ila nimeshaona dawa wanazopewa watu kwaajili ya kujitibu au kutatua matatizo mbalimbali ambayo wanaamini waganga wanaweza kuwasaidia. Dawa hizo...
  12. K

    Kwa tuliokulia vijijini, kutukanwa kwa waganga wa kienyeji inatuumiza sana

    Kuna wimbi la watu wasiojua hata historia yao ya kiafya na ambao hawajui chochote kuhusu Waganga wa kienyeji. Mganga wa kienyeji ni daktari wa asili aliyeitibu jamii kwa maelfu ya miaka kabla ya kuja kwa hospitali juzi juzi tu hapa. Cha ajabu nyumbu wanathamini zaidi kilichogunduliwa juzi tu...
  13. Father of All

    Kuna tofauti gani kati ya waganga wa kienyeji na matapeli wa kidini waliotapakaa nchini na Afrika

    Waganga wa kienyeji hutumia miiko kuwaibia wateja wao. Kwa upande wa Pwani waganga wengi wa kienyeji ni mashehe au maustaadhi. Wachunaji au wachungaji matapeli hutumia miujiza. Vyote viwili havina mashiko kiuhalisia na kisayansi. Wote wanatafuta kupiga fedha. Wote ni wababaishaji. Je, hawa...
  14. L

    Kesho ni kufa na kupona uwanja wa Mkapa, tuhamishie waganga wote wa jadi uwanja wa Taifa ili tusidhalilike

    Kesho kwetu ni fainali, naiona safari ya Morocco kama kila mtanzania mwenye uchungu na uzalendo na nchi hii ataomba dua na sala kwa ajili ya wachezaji wetu na nchi kwa ujumla. Kiukweli umoja na mshikamano wa watanzania kesho ni muhimu sana kuliko wakati wowote ule, silaha zote kesho zihamishiwe...
  15. GENTAMYCINE

    Yawezekana hizi Tozo Umiza za Kuwaona hawa Manabii Matapeli waliopo Tanzania ndizo zinawafanya Watu waendelee kwenda na kuwaamini Waganga wa Kienyeji

    Haiingii Akilini unaenda kupata Tiba ya Kiroho kwa Mtumishi wa Mungu halafu Yeye badala ya Kukuonea Huruma kama alivyokuwa Yesu Kristo anaanza Kukuambia kuwa ili Akuombee na Upone tatizo lako ulilonalo Kwanza utoe Shilingi Laki Tano au Milioni Mbili. Kwanini GENTAMYCINE nisiendelee kwenda kwa...
  16. B

    Waganga na Wachungaji mnawapa nini hawa Wanawake?

    Hakuna watu wanaokula ya mwanamke pesa kiulaini kama waganga na wachungaji🤣 Dah Leo nimeenda kwenye Misa moja hivi jioni ya jumuiya Sasa kwa yale magoti ambayo mchungaji alikuwa akipigiwa noma na wale wanawake ebwana Dah 🤔 Wanawake kwa wachungaji na waganga hawafui dafu mwanangu...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Black Magic: Siri ya Kwanini Watu hupelekwa Makaburini na Waganga

    BLACK MAGIC: SIRI YA KWA NINI WATU HUPELEKWA MAKABURINI NA WAGANGA. Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Makaburini ni Makazi ya Wafu àmbapo ulimwengu waô huitwa kuzimu. Kaburi ni mlango wa kuzimu. Yaani pale utakapozikwa ñdipo lango Lako la kuzimu lilipo. Kaburi ni kama...
  18. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Katimba awaagiza Wakurugenzi na Waganga Wakuu kutekeleza maagizo ya Rais Samia

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amezitaka halmashauri nchini kufuata maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kutenga wodi maalum ya watoto wachanga na wanaozaliwa kabla ya wakati(njiti) ili kupunguza vifo vya watoto...
  19. Mjomba side

    Wale ambao huwa mnakwenda kwa waganga wa kienyeji kimya kimya hii kitu inawahusu

    Mshikaji wangu mmoja baada ya kumaliza Chuo mwaka 2014 na kukosa Kazi, aliingia kwenye biashara za M Pesa, Tigo Pesa na bank. Mpaka mwaka 2020 alikuwa amejenga nyumba kubwa na kuanzisha familia. Kijiwe chake kilikua sana na kitu nilichokiona pale ilikuwa ni nidhamu. Jamaa alikuwa anafungua...
  20. Kyambamasimbi

    Waganga wa jadi limekuwa tatizo nchini sasa tuwakatae

    Habar wanajf. Kutokana na matukio yanaoendelea katika nchi yetu hasa Kanda ya Ziwa, na kati imefanya niandike huu Uzi, kwamba Hawa watu sasa imekuwa shida. Kwani wanachangia uvunjifu wa amana kwa kuua watu wazima na watoto wasio na hatia maskini ya Mungu, ni kuwa tiba asili ni utamaduni wetu...
Back
Top Bottom