waganga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Haya Wakuu Wakuu wa Mikoa nchi za SADC nanyi mpo tayari? Kamalizaneni haraka na Waganga wenu wa Kienyeji sawa?

    Ukiwa Mkuu wa Mkoa wa nchi za SADC hautakiwi uwe Unajisahau sana au hata kuwa na Dharau kwa unaowaongoza.
  2. realMamy

    Baadhi ya Dawa za Hospitali kushindwa kutibu wananchi baadhi ya Magonjwa. Nini tatizo?

    Kumekuwa na ongezeko kubwa la wananchi mtaani wenye maradhi mbalimbali kulalamika kuwa wametumia dawa za hospitali kwa muda mrefu ila hawajapona na kuamua kugeukia tiba Asili. Nini kinasababisha yote haya? Tatizo liko kwa wananchi kushindwa kuzingatia ushauri wa kitaalamu? Au kulea ugonjwa...
  3. JanguKamaJangu

    Mariam Sagini: Wababa wamekuwa wavivu wanaenda kwa Waganga kutafuta utajiri, Watoto wanaharibika

    Mjumbe wa Baraza Kuu UWT Taifa, Mariam Sagini amesema kina baba wamekuwa wavivu wa kufanya kazi inafikia mawazo yanawapeleka kwa waganga kutafuta utajiri na huko wanapewa masharti ya kubaka mtoto wake wa kumzaa. Akizungumza na Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi katika Kata ya Nsemulwa Wilaya ya...
  4. Mwamuzi wa Tanzania

    Tangu nizaliwe nimepitia changamoto ngumu ngumu ila hii ya sasa too much. Sasa naweza kusema hakuna jambo la kunipeleka kwa waganga au manabii fake

    Hello Hapo zamani Njaa nimewahi kulala zaidi ya mara moja. Nimewahi kukosa mahali pa kulala. Nimewahi kulala porini peke yangu. Nimewahi kushikwa mjini kwa kosa la uzurulaji. Nimewahi kukataliwa na mtu niliyemwamini kutia Saini fomu yangu ya kujiunga kidato cha 5. N.k. N.k Baada ya miaka...
  5. GENTAMYCINE

    Nahitaji kujua ama Kanisa Wanalosali hawa Mawaziri Wawili au Waganga Wao wa Kienyeji wanaowatumia au Mizimu yao wanayoitumia tafadhali

    1. Waziri Jenista Mhagama 2. Waziri Dk. Mwigulu Nchemba Sitaki Kuulizwa Swali kwanini nimewataja hawa au nimeomba hivi kwani ukiwa na Akili Timamu tu utajua ipi sababu.
  6. M

    Mimi maombi yangu ni kuwa viongozi wapige marufuku waganga wa kienyeji.

    Sipaji jibu kwa nini viongozi mnakumbatia waganga wa kienyeji kwenye nchi.Ninaomba sana watu Hawa wapigwe marufuku wasiwepo Tena.Kwenye hii Karne ya sayansi na technolojia sidhani tunaohitaji Tena waganga wa kienyeji.Ni kundi la watu ambao ndani yake Kuna utapeli usioweza kuelezeka.ili tuepukane...
  7. L

    Kupeleka kombe Mlima Kilimanjaro ni kutekeleza masharti ya waganga

    Itakumbukwa simba ndio walipeleka kibegi mlima kilimanjaro, walifika hadi kileleni, sisi tunaojua mambo haya tuliamini kabisa kuwa mwaka huu ulikuwa wetu, yalikuwa masharti ya mtalaamu wetu kuwa kama tunataka kukaa kileleni tukapeleke kitu kule mlimani, bahati mbaya Injinia akatonywa na wasaliti...
  8. Eli Cohen

    Duh instagram imejaa matangazo ya waganga mara kuiba mume wa mtu, libwata na kurudisha nyota.

    Ukitaka kula pesa ya mwa afrika basi uijiingize ktk huduma za kiroho na ukitaka kujua roho chafu za watu basi mnunulie pombe mganga alewe alafu akuambie mambo anayoletewa kuyafanyia kazi. Ni mapicha unayaona tu mara mbuzi ameuliwa na amechorwa maumbo na alama tofauti. Alafu chini ya posts zao...
  9. mdukuzi

    Wachawi na waganga wote wakutana usiku huu kuinusuru Geita Gold isishuke daraja

    Moto umeshawashwa,masufuria tayari kwa ajili ya nyama la kafara. Mgeni rasmi kutoka Gambush, anasubiriwa ili kuanza ibada Rais wa wa wachawi lake zone Azam ama zao ana zetu
  10. G

    Katika kila Watanzania 10, tisa wamewahi kwenda kwa waganga hasa matatizo yakiwaelemea. Je, dini ni pambo?

    Huu ndio ukweli mchungu watanzania wengi wamewahi kwenda kwa wataalam ila huwa ni siri ya kufa nayo kaburini, hakuna atayekubali kama ameenda au huwa anaenda kwa mganga wahalifu hasa wa kusafirisha magendo, wizi, utapeli hawa karibu wote wanaenda kwa waganga Wengi wakiumwa hospitali...
  11. G

    Wafanyabiashara takribani 80% wana dini za kuzuga tu, wengi huenda kwa waganga kwa kuamini ndio sehemu sahihi kutatua matatizo

    Hasa wenye makabila ya asili ya Tanzania Biashara inaenda vizuri bila tatizo mfanyabiashara anaona haitoshi yafaa kuiwekea ulinzi, anamtafuta mganga kufanya zindiko. Biashara ikianza kufeli huamini kuna mtu kaingilia kishirikina, suluhisho ni kwenda kwa mganga Biashara ikiwa na wateja...
  12. K

    Ushirikina Sio Kuabudia Mizimu na Kwenda kwa Waganga tu!!

    Watu wengi wanafikiri ushirikina ni kuabudia mizimu na kwenda kwa waganga kutambika tu. Lakini ukweli ni kwamba hata kumuhusisha mwanadamu na mambo yanayohusu kudura na uweza wa mwenyezimungu ni ushirikina vilevile. Tena huu ndio ushirikina mbaya maana unahusisha dhati na uwezo wa...
  13. Replica

    Paul Makonda: Watu wa Arusha wanaweza kwenda popote kupambana, iko mikoa unakuta waganga wengi wa kienyeji. Kutambulisha polisi wa kitalii

    Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda amemshukuru Rais Samia kumteua mkuu wa mkoa wa Arusha kuongoza wananchi wenye akili nyingi na wapambanaji wasiokata tamaa na wanaojua hatma ya nchi. Ameyasema hayo kwenye kumbukizi ya waziri mkuu wa zamani, Edward Sokoine iliyofanyika mjini Arusha. Makonda...
  14. Mtukutu wa Nyaigela

    Waganga wa kienyeji na wachawi ni mawakala wa shetani, kwanini wanapingana

    wakuu hebu tusaidiane. waganga na wachawi ni wakala/agents wa ibilisi/shetani kwanini wanapingana mchawi anakuroga ufe, mganga anakutibu usife cc rakims ccmshanajr walker water
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Binafsi siwezi kuishi na mtu anayeenda kwa Waganga wa kienyeji na Mchawi

    Habari Wakuu! Watibeli ni bora tufe lakini kamwe hatuwezi kuwafuata waganga au wachawi. Ushirikina na uchawi kwetu ni kama kosa la mauaji, au kosa la usaliti. Binafsi siwezi ishi na mtu ambaye anapenda mambo ya kishirikina, anaenda kwa waganga, au anadalili za uchawi uchawi. Mke akijihusisha...
  16. M

    Mchungaji apigwa na wananchi wa Kigoma kwa kuzuia waganga wa kienyeji "Kamchape" wasiingie eneo la kanisa kutafuta uchawi

    Mchungaji avamiwa na wananchi na kupigwa vikali baada ya kugoma kukubali watu wenye imani potofu kuingia kwenye viwanja vya kanisa kutoa uchawi. waganga hao wa kienyeji wanakusanya 5,000/ kwa kila nyumba, kama malipo ya kuwatoa wachawi wote. Mchungaji aligoma kuwapa hela na aligoma kuwaruhusu...
  17. GENTAMYCINE

    Huu hapa Ukweli uliojificha kumhusu Mlalamikaji Mnafiki Fiston Mayele na Lawama zake za Kurogwa na Waganga wa Yanga SC

    Fiston Mayele yuko sahihi kwa 100% kwani Waganga Wawili Wakubwa wa Yanga SC mmoja akitokea Kisiwani Zanzibar na mwingine akitokea Kusini ( Mtwara na Lindi ) ni tatizo na sababu ya Kinachomkuta. Taarifa za uhakika ambazo GENTAMYCINE nimepewa na Mmoja wa Wachezaji wa Ndani ( Mzawa ) wa Yanga SC...
  18. BICHWA KOMWE -

    Watanzania wengi ni wachawi na waganga: Ukizama wanakufariji, ukiinuka wanakushambulia

    Ukiwa na madhila utapata watu wengi sana wa kukushauri na kukupa nasaha. Wengine watajifanya motivational speakers huku wakikupa usia wa mambo kadhaa ya kubumba. Baadhi watajitutumua na kujifaragua kwamba wanakujali sana, ati wako tayari hata kufunga novena. Lakini ukiwaambia nina milioni...
  19. Jumlisha

    Waganga wa kienyeji walivyovunja undugu kwenye ukoo wetu

    Habarini wana JF natumaini tumeanza mwaka vyema kabisa Bila kupoteza wakatai nataka niwaletee hiki kisa ambacho tumeishi nacho tukiwa wadogo mpaka hivi sasa tumekuwa tunazidi kueelewa ilikuwaje maana wakati wadogo tulikuwa hatuambiwi chochote. Iko hivi familia ya mzee wangu walizaliwa watoto...
  20. maishapopote

    Amini...Kuna waganga wa kienyeji kwenye hospitali kubwa hasa za Rufaa

    Mimi sio narrator mzuri so mnisamehe ..ila hii habari niliiamini...! Iko hivi kuna mtu tunaheshimiana nae sana tuseme ni rafiki ambae anajiheshimu sana wa zaidi ya miaka 20 tuko nae! Sasa bwana yule akapata tatizo kubwa sana kazini...yupo kule kwa wale jamaa wa Long room najua mnapajua...
Back
Top Bottom