waganga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Waganga wa kienyeji kutapeli na kuua watu mara kwa mara, kwanini serikali haiwachukulii hatua?

    Habari wadau. Binafsi najiuliza, kwanini waganga wa kienyeji wanaruhusiwa kutoa huduma zao huku ni matapeli? Mwalimu kauliwa Musoma na kuibiwa milion 9 na waganga wa kienyeji. Mwaka jana Moshi binti akishirikiana na waganga wa kienyeji walimuua mama nesi mstaafu baada ya kumtapeli mafao zaidi...
  2. Roving Journalist

    TMA yatabiri mvua za wastani lakini yatoa angalizo mvua kubwa ya vipindi vifupi katika msimu wa Machi-Mei 2023

    Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Ladislaus Chang’a ametangaza mwelekeo wa msimu wa mvua za masika zinazoanza Machi mpaka Mei, 2023 ambazo zinatarajiwa kuwa za wastani huku baadhi ya mikoa kuwa wastani na juu ya wastani. MWENENDO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2022...
  3. Hemedy Jr Junior

    Ni rahisi kujifunza ushirikina kama utakuwa mfuasi wa waganga wakienyeji

    Ona mambo haya ni uchawi mtu tafadhari usijaribu utaenda kuangamia, mimi nakufunulia ila usiyafanye. Vipi unaweza ficha kivuli chako na mshirikina asikione kwa namna yeyote? kwa sababu wachawi wanapotaka kumloga mtu, huchukua na hushambulia kivuli chake. ( Hapa sizungumzii kivuli cha juani...
  4. Hemedy Jr Junior

    Kwa wale muendao kwa waganga wa kienyeji...

    👉Tambua ushaibiwa nyota yako. 👉 Umepoteza nuru yako binafsi. 👉 Umepoteza uwezo wako binafs. 👉 Hufanyi kitu bila kuwaza mashariti. 👉 Una mahamuzi sahihi kuhusu changamoto zinazokukabili. 👉 Tambua kivuli chako ndo nyota yako (kitaalamu) so kivuli chako kikifunikwa hapo huwezi fanikiwa...
  5. M

    Sio kweli kuwa CCM imesimika mizizi kiasi cha kutoachia dola. Bali hakuna upinzani madhubuti Zitto na Mbowe ni waganga njaa

    Hali ni mbaya sana kwa wananchi wa kawaida. Watu hawana hata uhakika wa kula. Leo hii nafaka zimepaa. Wananchi wanakosa hata pesa ya kupeleka shule na kununua sare. Maji mijini na vijijini yanapatikana kwa shida. CcM imefeli. Imefanikiwa kupandikiza mamluki ACT Wazalendo na CHADEMA.
  6. Pang Fung Mi

    Hivi kwanini nguvu za waganga wa kienyeji wengi wakianza ufuska/umalaya nguvu zao za tiba zinaisha?

    Wasalaam nyote, Tukubbali tukatae Rais Hassan. Anaupiga mwingi, 🙏🙏🙏🙏🙏 Niende kwenye mada moja kwa zote, katika harakati zangu za kuchangamana na watu mbalimbali sehemu nyingi katika mizunguko ya kikazi hasa ndani ya nchi si mara moja nimewasikia wakulungwa wakisema. Mganga wa kienyeji awaye...
  7. Unique Flower

    Tulianza dini na sasa tupo kwa waganga na watatuzi

    Waganga ni watu walioridhishwa kutibu watu na shida zao mbali mbali . Ikiwemo kutoa majini, Kutoa vifungoo Kutoa uchawi uliowekwa mwilini au katika nyumba za watu . Kurudisha nyota zilizochukuliwa na akili ya mtu iliyochukuliwa. Watu huwaona vibaya pale wanapokibali kuwapa utajiri watu...
  8. Unique Flower

    Ila waganga mmh, hayaa

    Nilikuwa nimeshaanza xmass uchagani ila nimekaa nikawaza lazima nitoe hii post. 1. Sisi vijana tunapenda hela za haraka. So tunaenda shot cut Kwa waganga, mganga anasema lazima nilale na wewe ili dawa ingiee vizuri. Sio wewe tu, na Maria, Sheila wengi tu waganga unawalipa kukula kila ukienda...
  9. BARD AI

    Rukwa: Waganga 170 wakamatwa, wengine walikuwa wakifanya mapenzi na wake za watu

    Watuhumiwa hao wanadaiwa kuwalaghai wananchi kuwa wana uwezo wa kuwatambua na kuwaadhibu wachawi, kusafisha nyota na kufufua wafu hivyo kusababisha chuki, husuda, na taharuki. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Theophista Mallya, waganga hao wanakuwa na kioo kinachodaiwa kutambua kama kuna uchawi...
  10. ESPRESSO COFFEE

    Yanga SC 4-1 Singida Big Stars FC | Ligi Kuu Tanzania Bara | 17-11-2022

    90' Mpira umekwisha 85' Shuti la Kagere akiwa na kipa linapanguliwa. 82' Kisinda anakosa goli akiwa yeye na kipa, shuti lake linapanguliwa. 74' Singida wamepata uhai kidogo na wanafanya mashambulizi, Kagere anaipatia Singida goli. 65' GOOOOOOOOOOOOOO! Mayele anafunga goli la nne kwa Yanga na la...
  11. BARD AI

    Rais Museveni apiga marufuku waganga wa jadi kutibu Ebola

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni siku ya Jumatano aliamuru waganga wa kienyeji kuacha kuwatibu wagonjwa katika jitihada za kukomesha kuenea kwa ugonjwa wa Ebola, ambao tayari umegharimu maisha ya watu 19 nchini humo. Katika hotuba yake kwa taifa, kiongozi huyo mkongwe pia aliagiza maafisa wa...
  12. KING MIDAS

    Bata ana nini jamani? Nimeenda kwa waganga wengi sana, sijaona anayeagiza bata

    Mshana Jr mzee wa bata siku 5460, naomba jawabu lako. Damu ya bata ina nini kiasi kwamba haitakiwi na waganga, haitakiwi kwenye tambiko na wala haitakiwi kwenye zindiko?
  13. KING MIDAS

    Wakati Yanga na Simba na timu nyingine za ligi kuu zinapishana kwa waganga, Polisi Tanzania wajisalimisha kwa nabii

    Timu ya Polisi Tanzania imechukua uelekeo tofauti baada ya kuamua kuachana na kuwategemea waganga na wachawi ili kupata matokeo mazuri na badala yake wameamuamu kumfuata nabii Clear Malisa. Hiyo ndiyo habari iliyopo, soon mtaona mabango ya picja za Clear Malisa kwenye basi la timu ya Polisi...
  14. BABA TUPAC

    Uzoefu wangu wa kwenda kwa Waganga kwa Mwaka mmoja

    Salam, Katika maisha kuna wakati unapitia mambo magumu sana mpaka unataka kukata tamaa, na ukiwa katika hali hiyo washauri wanakuwa wengi lakini huwezi kukosa mtu mmoja atakaye kwambia "Jaribu kuangalia upande wa pili", "Nenda kwa mtaalam, sio bure wewe umerogwa." Hali hiyo nimeipitia kipindi...
  15. jokotinda_Jr

    Baadhi ya vijana wa boda boda mikoani ni maagent wa waganga wakienyeji hasa mikoa ya nyanda za juu

    Habari za mda huu wana jamvi .. juzi kati nlikuwa mikoa ya kusini mwa tanzania kikazi baada ya kufika nlipita kwenye baadhi ya wilaya na vijiji vichache nlipatwa na mshangao kidgo kila kituo cha boda ukifika utasikia .... karibu utaenda kwa Bibi!! Au utaenda kwa Babu ... Baada ya kuchunguza...
  16. ommytk

    Tushirikiane kubandua matangazo ya waganga barabarani

    Kwa wadau wote ebu tuanzishe kampeni ukiona tangazo tangazo la mganga bandua na ulitupe hii itatupeleka kupunguza shiriki kwa binadamu na hawa waganga matapeli wanawaibia watu au kuwatuma watu vitu hatarishi katika maisha mfano ulale na mama yako mzazi sijui au umuingilie mtoto mdogo asiye...
  17. Q

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  18. Idugunde

    Haileweki kama sasa CHADEMA ni wapinzani au waganga njaa. Maana hata njaa walizotegemea kupozwa hazijawatoa mrithi. Wajanja wachache wameshiba kidogo

    Upinzani sio kuwa mpinge kila jambo. Upinzani sio kukomaa na kushikana mashati. Lakini sio kwa kuendekeza njaa na kuonesha wazi kuwa una njaa. Njaa za kushibisha matumbo njaa! Wananchi wanaona kwa macho. Sasa mmeambulia nini? Wakiopata chochote kitu ni Mbowe na wajanja wachache.
  19. Binadamu Mtakatifu

    Mbona matapeli na waganga wa jadi wamejaa Voda?

    Mimi ni mtumiaji mzuri wa airtel ila baada ya kupoteza simu nikaibuka na voda wapo vizuri ila shidaaa ni hii message za matapeli haziishi yani hujakaa vizuri mara mganga wa nguvu za kiume na utajiri. Wanadili gani hawa maana si kwa tigo na mtandao mingine ni kubaatisha ila voda message hizi...
  20. Restless Hustler

    Hoja za waenda kwa waganga na wanaoutumaini uchawi

    Kwa kawaida Huwezi Kumlazimisha mtu kuamini kile unachokiamini au kuiacha njia anayoiona yeye ni sahihi alafu wewe umuambie amepote! Kwa muda mrefu tumekuwa tukiwasikia wanaoenda kwa waganga na kutumainia nguvu za giza. Tukiwauliza wengi wao kwamba wanasema: 1. Mungu amesema nisaidie...
Back
Top Bottom