Habari wana JamiiForums
Hivi jamani wapo kweli watu waliopata kazi au ajira za kudumu kwa kutoa kiasi cha fedha (hongo, bakhshishi, takrima) au kupitia kwa waganga ili waweze kupata KAZI?
Waganga wa kienyeji wamegawanyika katika makundi mawili.
1: Wanaotumia mitishamba kutibu bila kuhusisha mizimu au ramli au ushirikina. Hata nabii isaya aliwahi kutumia mitishamba kumtibu Mfalme Hezekiah. Hata Yesu aliwahi kutumia tope kumtibu kipofu macho.
Sizungumzii hawa...
2: Kundi kubwa LA...
Angalizo;
Andiko hili linaweza likawa na Lugha Kali inayoumiza, hivyo Kama wewe sio mtu wa kuhimili lugha Kali nakusihi ishia hapahapa! Au usome ukiwa chini ya uangalizi wa Wanasaikolojia na Wataalamu wa mihemko. Kama utaendelea kusoma itahesabika kuwa unahimili au upo chini ya uangalizi...
Jiulize swali hili kwanza Je, kwa wale wa mama na wadada waliowahi kupata matatizo ya uzazi na hatimae katika kuzunguka mwisshoni wakajikuta kwa waganga wa kienyeji ma kubahatika kupata watoto huko, je watoto hao kwa asilimia ngapi walitoka kwa MUNGU BABA muumbaji wetu?
Ni dhahiri kuwa dini...
Je, umewahi kujiuliza ni kwanini watu wengi wanaamini kuwa bila kwenda kwa mganga huwezi fanikiwa? Bila shaka umewahi kujiuliza, lakini je, ulishawahi kwenda mbele kidogo na kujiuliza ni kwa namna gani hawa waganga huwafanya watu kuwa matajiri? Ni watu wachache hujiuliza swali hili. Basi dhamira...
Wanaukumbi.
Hawa wanaojiita wanaharakati wengi wao ni waganga njaa wanasema Rais analindwa na ulinzi wa kidikteta daaah wamekosa agenda kwa hiyo walitaka alindwe na mgambo au Sungusungu ndiyo wafurahi.
Wanajiita wanaharakati za haki za binadamu lakini kwenye ulinzi wa Rais wanaonyesha chuki ya...
Wilaya ya Handeni imejipanga kuhamasisha jamii kuondokana na imani za kishirikina, badala yake ijikite kwenye shughuli za maendeleo kwenye ngazi za kaya na vijiji.
Wakati yakielezwa hayo wilaya hiyo inatajwa kuwa na jumla ya waganga wa jadi 6,600.
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Toba...
Inasikitisha sana viongozi wengi kuacha kufanya walichoagizwa na kuanza kuogopesha watu.
Badala ya kufundisha kilicho kwenye maandiko na kuacha mtu afanye uamuzi, wengi wanapamba zaidi kuwatisha.
Kiongozi anaedai anahubiri anahubiri hivi
Hapo amehubiri nini? Amefundisha nini? Umeamua...
Kisa cha wanandoa walioachanishwa kisheria wiki hii baada ya kuishi pamoja kwa miaka 21 kimenitafakarisha sana... Tatizo sio kuachana bali ni sababu za kuachana
Mwanaume hakuwa na korodani (lugha isiyovaa nguo korodani ni pumbu) hizi ndio kiwanda cha manii zinazoleta malighafi ya kuumba watoto...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Jumanne kutakuwa na uapisho wa wateule wengine Ikulu, Dodoma.
Je, ni nani hao watakaoteuliwa na kuapishwa?
Ngoja tuone.
Maendeleo hayana vyama!
Kuna wakati Rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema Chadema kuna kiwanda cha kutengeneza uongo
Leo Kikwete kasema wanaozusha kwamba yeye alikuwa hamkubali hayati Magufuli ni Waganga njaa wanaoishi kwa majungu.
Ndio najiuliza hawa waganga njaa ndio wale wale jamaa zetu Chadema wa Ufipa st?
RIP...
Waungwana habari ya leo fuatana nami kwenye simulizi yangu hii ambapo niliwahi kwenda kwa waganga wa kienyeji sehemu mbalimbali nchini na nje ya nchi baada ya kukutana na changamoto mbalimbali za kimaisha.
Kiukweli ni vigumu kumjua yupi ni mganga wa kweli na yupi ni mganga feki ni kama vile...
Wazee wa Fitna na Roho tumeshagawana Majukumu tayari huku wengine wakiwa Khartoum Sudan ambako tumeenda kutafuta Sare (Draw) tu ili tuje kupata Alama (Points) zetu 6 tu kwa Mkapa tuwe na Jumla ya Alama 13 tutinge Robo Fainali CL.
Nikiwa Kiongozi wa Kamati ya Fitna, Umafia na Roho mbaya...
Ni 'Mbabe' ambaye Kiukweli alinipa Jukumu la Kutunza Nyumba yake nzuri ila Mimi kwa tamaa zangu ( japo ni Mchapakazi mzuri tu ) nikawa nachukua Magari yake ya 'Kifahari' na Kutamba nayo Mitaani nikijifanya yangu na Wambea wakamfikishia taarifa. Kuna Mtu kaniambia niende 'Kuhiji' Mji wa Kahama...
Nimejiuliza sana, kati ya waganga nilio wahi kuwafahamu au kuwatembelea na wale ambao marafiki zangu wachache wali wahi kuwaona hakuna ambaye nimewahi kutana naye ambaye hana magonjwa makubwa kama Presha, HIV, au kwa wanawake wana matumbo makubwa utadhani ni wajawazito, na ni maskini sana...
Mwaka ushausha huo, tupia hapa namba za mtaalamu wako unayemkubali kwenye ndumba zako
1. Waganga wa kupata likes nyingi
2. Waganga wa kupata ubunge wa kuteuliwa
3. Waganga wa kupata pisi kali ma- C.E.O
4. Waganga wa kula mgahawan bure
5. Waganga wa kupasua pepa
6. Waganga wa kutokuombwa hela na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.