Guys, hamna watu matapeli kama hawa. Kuna jamaa hapa kaliwa laki 8 alikuwa anatumia dawa hizo kwa miezi miwili sasa na hamna alichoambulia, na huenda dawa alizokunywa zikamletea shida badae.
Guys lizika na alichokupa Mungu ana makusudi yake. Hawa jamaa wanaangakia udhaifu wa watu wanatumia kama...
Radio free Africa naona sasa imeshapoteza credibility yake kitambo.
Sasa hivi imejaa vipindi vya waganga wa kienyeji tu.
Sasa hivi nasikia mtu anajiita chief Magema anajitangaza kuwasaidia watu na kutaja namba zake za simu, kama sio utapeli huu ni nini!!?
Hapa RFA mnaelimisha nini zaidi ya...
Nitasema ukweli daima,Salamu kwangu Mwiko!
Sijajua kama wapo waganga wa Kweli kama tunavyoaminishwa ama laa!
Miaka fulani wakati najitafuta kama kijana,hali ya maisha ilikuwa ngumu sana,katika kujichanganya na wana mitaani nikakutana na mwana mmoja huko mkoani akaniaminisha ya kwamba kuna...
Habari wadau.
Hajua kuna watu wengi wanaamini wapo waganga wa kienyeji wa ukweli.
Uhalisia waganga wa kienyeji wote ni matapeli. zama hizi za information era. ukienda kwa mganga wewe ni mjinga
https://www.youtube.com/watch?v=3fk5Jq5sHhs&t=361s
Na milichokisahau tu ni kwamba kiuchawi na kwa dua hamuwaweza waarabu hivyo mnapoteza mno muda wenu
Pia labda niwasaidieni tu kwa kuwaambia kuwa kama ni kufanya michezo michafu (ya nje ya uwanja) hao waarabu ndiyo walimu hivyo hamtowaweza
Na msisahau kuwa hata mliowafunga kwa mtindo wa tigo...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Ndugu zangu katika nchi yetu kuna watu wamekuwa wakisabishiwa, au kusababisha wenyewe vifo vya ndugu zao bila wenyewe kujijua kutokana na imani zao, au mawazo yao. Hapo chini ni matukio mawili kati ya mengi ambayo nimeyashuhudia mimi mwenyewe.
1. Mnamo mwishoni...
Swalama Wananzengo.
Kila mtu anazaliwa na kinga yake ya kimwili na ya kiroho.
Kinga nyingine tunaziongezea baada ya kuzaliwa kama kinga ya magonjwa ya surua, polio, kifua kikuu, dondakoo nk
Wengine sasa huenda mbali zaidi kwa kuongeza kinga za kiroho kwa kuchanjwa chale na waganga, kumezeshwa...
Serikali inapaswa kufikiria mara mbili kabla ya kutekeleza programu ya walimu na waganga wa kujitotea. Kwa mujibu wa utafiti wa haraka nilioufanya, nimebaini hasara zake ni kubwa mara 100 kuliko faida. Utafiti wangu umejikita katika hoja zifuarazo:
Mosi, kwa mujibu wa muongozo uliotolewa na...
"Yaani ukisema tu unatokea Mkoa wa Rukwa unaanza Kuogopwa na kuhisiwa vibaya. Sisi kama Waganga wa Kienyeji tunasema Watu wa Rukwa siyo Wachawi na ni Watu Wastaarabu mno kuliko Mikoa mingine ambayo ndiyo ina Uchawi mwingi kuliko hapa Kwetu" amesema Mmoja wa Waganga wa Kienyeji aliyewawakilisha...
Najua mnae wa Kucheza Mechi zenu za Ndani tu ( NBC Premier League ) kutoka Kilosa Morogoro na mnae yule wa Kucheza Mechi zenu za Kimataifa tu atokaye Uvinza Mkoani Kigoma ila kwa kupenda Kwenu Ushirikina mlivyoenda Congo DR kucheza na TP Mazembe FC Wachezaji wenu Mayele na Moloko...
Nimeona kuna video inarekodi kijana amechanjiwa kinga huku mtaalam akiijaribu, ni aina ya kinga kwa huko Kongo lakini hata Kwa mikoa jirani hasa Kigoma wapo wataalam.
kuna huyu mpuuzi yupo na simu anarekodi sasa video imevuja mitandaoni, alichofanya ni ujinga uliopitiliza, hata wazungu...
Wananchi wa Kijiji cha Sunuka, Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma wameshirikiana na Serikali ya Kijiji kuchukua Waganga wa Jadi zaidi ya 10 kutoka Sumbawanga ili kukagua wachawi waliomo ndani ya kijiji chao wakidai ndicho chanzo cha utitiri wa vifo vya vijana katika mazingira ya kutatanisha.
Baadhi...
Tangu nijunge JF the home of Great thinkers wenye fikra pana .
Niseme tu tunahitaji mikakati kuondoa dhana kuwa umasikini Ni laana .ili watu wasiende kutafta upako kwa manabii fake na kuroga .
Mimi nataka niseme kuwa umasikini tumerithi Kama watu wengine wanavyorithi utajiri
Wazazi Fahamu...
Mara baada ya kuibuka maneno mengi mitaani kuwa Chama cha Waganga wa Tiba Asilia na Tiba Mbadala Mkoa wa Simiyu kina makada wengi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwenyekiti wa umoja huo, Mayunga Kidoyai amefafanua kuwa taaluma yao au kazi ya mtu binafsi haiwezi kuingiliana na suala la kichama kwa...
Chama cha waganga wa tiba asilia Mkoa wa Simiyu, Machi 12, 2023 kimefanya Uchaguzi Mkuu wa Viongozi wake, ambao watakiongoza chama hicho kwa kipindi cha miaka mitano.
Hata hivyo baada ya uchaguzi huo, swali kwa watu wengi limekuja Je? Chama hicho kimegeuka kuwa cha kisiasa?
Tunajua kazi ya...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Comrade Juma Zuberi Homera amewataka makamanda wa Polisi wa Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, Mbeya, Iringa, Njombe, Rukwa na Songwe kushirikiana katika kuzuia na kudhibiti biashara haramu ya usafirishaji binadamu katika mikoa yao.
Homera ameyasema hayo wakati akifungua...
"Huenda kutokana na Kumpenda na kutotaka Mumewe / Mpenziwe huyo asihangaike na Wanawake Wengine anaenda huko kwa Waganga wa Kienyeji Kumroga atulie nae tu na waweze Kulea Familia pamoja hivyo hata Mimi naungana nao kwenda huko"
Chanzo Taarifa: Radio One Mazungumzo ya Familia leo
Haya Wanaume...
Huenda kuna Mtu ama Watanzania tukaenda nae pamoja Kuhamia nchini Burundi na Basi la Esther au tukajikita zaidi na Kilimo cha Mafuta ya Alizeti au Kufuga Kuku Mkoani Singida.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.