Nilikuwa nimeshaanza xmass uchagani ila nimekaa nikawaza lazima nitoe hii post.
1. Sisi vijana tunapenda hela za haraka.
So tunaenda shot cut Kwa waganga, mganga anasema lazima nilale na wewe ili dawa ingiee vizuri.
Sio wewe tu, na Maria, Sheila wengi tu waganga unawalipa kukula kila ukienda...