Tarehe 19 mwezi wa 6 mwaka 1982, katika makazi ya mwanamama ajulikanaye kama Francesca Roja katikamji mdogo wa Necochea, Argentina, kulitokea mauaji ya kutisha. Watoto wawili wa Rojas waliuawa kwa kuchomwa na kisu.
Yalikuwa ni mauaji ya kutisha sana. Rojas alidai kwamba, mwanaume mmoja...