Haijalishi ni muda gani Ila Unapokuwa free na mpenzi/mwandani wako asikae kinyonge wakati wa baridi
mtie mguu wa mtoto mpe mkwasa🤣wa mashavu ya chini.
Faida za tendo wakati wa mvua
1.kuimarisha upendo baina ya wenza
2.kuondoa stress za Kazi na biashara
3.njia ya kutatua Ugomvi
4.inachochea...
MHE. KATIMBA - KAMILISHENI MIRADI KWA WAKATI KUHARAKISHA TIJA KWA WANANCHI
Naibu Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba (Mb) amemtaka Mkandarasi na Mtaalamu Mshauri anayetekeleza Mkataba wa Ujenzi wa miundombinu inayoratibiwa na mradi wa TACTIC wilayani Kahama Mkoani Shinyanga...
Wakiwa Angola, Joe Biden anaonekana akisinzia wakati makamu wetu wa Rais akizungumza.
Babu Biden kachoka. Arudi kwao huko Delaware akapumzike na wajukuu wake.
Hii ni aibu.
https://youtu.be/3jqHuRkI6EE?si=Df4KXUIbUnRGzmxb
Video ndefu zaidi hii hapa…...
Rasi Samia anafanya hadaaa za kiwango cha juu kabisa, na pia anacheza na akili za wajinga kwenye hii Jamhuri ilio jaa wajinga.
Report ya CAG mwaka huu watuhumiwa wote wamesamehewa kwa asilimia 100 kwa kuombewa msamaha na kamati ya CCM ya kuombea watuhumiwa mbalia mbali msamaha kwa raisi...
Kwema Wakuu!
Kijana ambaye upo 17-25 hawa wanawake wanaokusumbua Muda huu na kukatalia kuwa hawakutaki. Baada ya Miaka kumi ijayo utakapopata Mkeo utagundua kuwa wanawake waliokukatalia hawakuwa wazuri kiasi hicho isipokuwa ni balehe na nyege ndio zilizokuwa zinakuendesha.
Kwa Sisi kaka zenu...
Nimeamini kuishi kwingi ni kuona mengi, hivi hii ndiyo Tanzania ya nyerere tuliyokuwa tunawalaani watawala madikteta popote pale duniani.
Tulikuwa na jirani yetu akiitwa Iddi Amini dada, akifanya haya yote tunayoyashuhudia tulimuona kama mnyama asiyekuwa na utu hata kidogo lakini leo hii...
Viongozi wa juu CHADEMA wana ulinzi wa aina 3.
1. Ulinzi kwasababu jumuia za kimataifa wanawafahamu.
Si rahisi kumuua kiongozi wa mkuu wa chama cha upinzani kwakuwa wauaji nao wanahitaji misaada kutoka kwa watu ambao wameruhusu upinzani. Kiongozi wa upinzani ngazi za chini hata akiuwawa jumuia...
Duniani Kuna Changamoto sana, kuna wakati unapitia Changamoto kubwa unatamani hata Kuitelekeza Familia.
Kuna wakati nilikuwa Nikiona watu hasa wanaume wametelekeza familia nilikuwa sielewi kabisa ila Ukubwa Huu una mafundisho mengi sana.
Nimekaa nimewaza sana, nimepitia Changamoto nyingi sana...
Nadhani viongozi wa CCM wanapaswa kubadili msimamo wao. Kila ikitokea taarifa ya kutekwa au kuuwawa kwa asiye mwana CCM wao ukaa kimya. Kwa kuzingatia umuhimu wa haki ya kuishi niwaombe wabadili response strategy zao na wajitokeze mapema kulaani na kukemea.
Ukimya wa CCM umepelekea hata vyombo...
Wanangu, huwa sipendi kuchangia wala kujadili mambo ya ngono na mambo binafsi. Ila baada ya kusoma nyuzi nyingi za wanaume wanaobemendwa na wake zao wakijifanya vijogoo, nimeamua lau leo niulize. Kuna nyuzi nyingi za kuwakandia na kuwaonyesha wanawake kama viumbe wa ajabu na dhaifu. Nahisi wengi...
MBOWE SASA NI WAKATI WA KUPUMZIKA KWA HESHIMA CHAMA MUACHIE TUNDU LISSU.
Ikiwa Chadema itaendelea kuwa chini ya uongozi wa Mbowe basi wana miaka michache sana kwenye siasa za Nchi hii kama chama kilichodhaniwa mbadala wa CCM.
Siasa za Mbowe za kuonewa huruma kila mara Wananchi tumezichoka na...
Wadau, kwa sasa, huyu bwana bila shaka ndio anaeongoza kwa kupata misukosuko kutoka na harakati za kisiasa pampja na kupinga uovu wanaofanyiwa watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa na wasio wanasiasa.
Kwa ujasiri aliona na utayari mkubwa alinao wa kubeba gharama ya hii kazi hata ikibidi kwa...
Siku ya tarehe 20 Novemba 1979. Ilikuwa ni tarehe ya kwanza ya Muharram. Msikiti mkubwa zaidi wa Makka ulijaa mahujaji wa Pakistani, Indonesia, Morocco na Yemen pamoja na wenyeji.
Katika umati huu wa watu pia kulikuwa na waasi, ambao walivaa nguo nyekundu zilizofunika vichwa vyao.
Baadhi yao...
Kwenye kundi la kuzaa watoto wengi naomba tuwatoe wazee wetu waliozaliwa 1950's maana wao kulikuwa na mashamba ya kukidhi mahitaji
Tujadili kuhusu kizazi cha 1960's-2024's
👉Aslimia kubwa ya wengi wanaomiliki mali wanaishia kuzaa watoto maximum watatu ni
u-busy?, uoga wa kuwagombanisha watoto...
Ni katika kituo cha kupigia kura Mivumoni madale
Majira ya asubuhi vituo vinafunguliwa!
Polisi wanawathili kwa ajili kuhakikisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao (kura zao)
Masanduku ya kura yakaandaliwa na kupangwa kwa ajili ya upigaji kura!
Wasimamizi wa uchaguzi (walimu ) wakiwa...
Wakuu,
Wakati taifa likiwa linajiandaa kuingia kwenye Uchaguzi kesho, maalamiko ya uonevu kutoka CHADEMA na vyama vingine yameendelea kupamba moto
Huko Mjimwema, Kigamboni Mawakala wa CHADEMA wameripotiwa kukumbana na changamoto ya kutokuapishwa.
Siku ya jana mawakala hao walipoenda mapema...
Kwa vile mimi simjuaji naomba kuuliza, hivi kuna utaratibu Mashirika yetu ya nyumba kununua maeneo mapya kwa ajili ya kuyaendeleza?
Na kama ndio hawawezi kununua Kinondoni,Magomeni Mwananyamala, Nearby Airport na maeneo mengine ambayo ni prime kwa utaratibu mzuri? Build Vertical Residence...
Wakati wa likizo ni fursa ya kipekee kwa mzazi au mlezi kujenga uhusiano bora na mtoto. Huu ni muda wa kumfundisha ujuzi muhimu kama vile usafi, kupika, kuogelea, au hata kutembelea maeneo ya kufurahisha.
Mbali na hilo, likizo ni wakati wa kuonesha upendo kwa mtoto wako, kumfundisha kujieleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.