Kuna kazi nimepata moja ya majukumu yangu ni kutuma sms ya shukrani kwa wateja wote kila siku waliokuja kupata huduma kwenye kampuni yetu, je app gani itanisaidia wakuu? Thanks in advance.
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kuboresha utoaji huduma wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya liweze kutenda haki kwa wakati katika usuluhishi wa migogoro na kupunguza malalamiko ya Wananchi ili kukomesha...
Wadau kama kichwa kinavyosema, nimekwama nahitaji angalau 5k nipate lunch, ni site au app gani inaweza kunifanikishia hilo kwa muda mfupi?
Naombeni muongozo wadau, jua ni kali tumbo lina mgogoro.
Haji Manara anaweza kudhani ana maadui wengi wanaomfanyia fitina, lakini ukweli ni kwamba adui wake mkuu kwa sasa ni wakati. Wakati unapobadilika dhidi yako, unaweza kushangazwa na mambo yanayotokea na kudhani watu wanakufanyia fitina.
Kwa upande wa Ally Kamwe, wakati unamfaa sana. Kila...
Misuguano kidogo tu polisi washatoa barua. Hii nchi ina mfumo wa vyama vingi na ni kawaida kushindana kisiasa.
Uchaguzi wa serikali za mitaa mnaandika barua za nini?
Mimi sio mfuasi wa chama chochote cha siasa ila kama mtanzania naona watu wanastahili kuwa na uhuru wa majadiliano na...
Kuna raha bwana yakua na mke mzuri, kisha akakuzalia watoto wazuri. Kila muda ukimuangalia na ukiangalia watoto, moyo wako unasuuzika.
Kuna wakati watu mtaani wanauliza imekuaje tukachaguana wote wakali, mke mzuri, mume handsome na watoto ndo ma cute hatari sana.
Ukitaka kuoa, chagua mke...
Hakuna vitu vilimuangusha mgombea wa chama cha Democrat Kamala Harris kama kutetea ushoga na kuhusishwa na uhuria wa mipaka iliyoruhusu wakimbizi kuingia Marekani akiwa makama wa rais wa Joe Biden aliyeonyesha ukigeugeu na unafiki juu ya haki za binadamu hasa wapalestina.
Harris alijifanya...
Aslaam,
Kutokana na changamoto za Maisha ambazo hutufanya kawaza kutafuta ridhiki kila kukicha, wengi tumejikuta kujikita Mawazo yetu kwenye kufanya biashara ili tuweze kujikwamua katika mambo mbalimbali ya kimaisha hasa kwenye Nyanja za maendeleo.
Imekuwa kawaida yetu mtu anapowaza kujiajiri...
Msaada kwa wale wazoefu wa kusimamia hizi kitu of course zipo sensitive sana, umakini unatakiwa, naona masharti makali sana, vitu vya msingi kuzingatia ili niwe salama.
Of course ni mara yangu ya kwanza, semina nimeelewa ila humu naweza pata maarifa zaidi. Alaf umepigwa biti hatari Asanteni.
Waokoaji nchini Uhispania wanapambana kufikia maeneo ambayo bado yamekatwa kutokana na mvua kubwa wakati idadi ya vifo kutokana na mafuriko ya janga ikiongezeka hadi 205 katika janga baya zaidi la hali ya hewa barani Ulaya katika miongo mitano.
Mjini Valencia, eneo la mashariki ambalo...
Hasa kwa wale wenye malengo ya kuja kuajiriwa kwasababu ukweli mchungu wa mfumo wetu wa elimu yetu inaandaa zaidi wahitimu kuajiriwa serikalini, wachache sana wamevunja mwiko huu kwa kutumia elimu zao kujiajiri kwa hiari
Ni kwanini form 6 ilitokea kuwa maarufu zaidi ?
Hapo zamani nchi ilikuwa...
Wanauiita ni mfumo wa kibaguzi
Wanataka mtu yoyote aishiye marekani aweze kupiga kura.
Kwa upande mwingine watu wanaamini hii ni mbinu wanatumia ili wahamiaji waliongia marekani bila vibali vya makazi wapewe fursa ya kupiga kura.
Kutokana na sera zao za open borders za term hii wamevunja...
Mimi ni mmoja kati ya Wananchi wa Mtaa wa Green View uliopo Kata ya Nyamanoro, Manispaa ya Ilemela hapa Mwanza tuna malalamiko yetu kuhusu hali ya ubovu wa barabara zilizopo katika Kata yetu.
Barabara mbovu zimekuwa zikisababisha usumbufu kwa Watumiaji wa barabara hizo kwa muda mrefu sasa bila...
Kwa nini wanaume wanapenda na huona furaha au ufahari kufanya ngono/mapenzi na wanawake wengi tofauti tofauti wakati wanawake wao hupendelea kuwa na mpenzi mmoja tu au wachache?
Wanawake wachache ndio huwa na michepuko isiyo ya kuchuna , wengine wengi wanaofanya mapenzi na wanaume tofauti mara...
Katika hali kuendelea kufurahi lakini ghalfa watu wanadondosha machozi na vilio vingi baada ya kupokea au kushuhudia mmoja wao anapata tatizo ambalo linampelekea kufariki dunia.
Sikia hiki kisa kutoka huko Cameroon
=========
Katika hali ya kushangaza Jumamosi ya Oktoba 26, bibi harusi...
Benki kuu ya Tanzania (BOT) wanawajibu wa kutoa ufafanuzi juu ya kwanini wanapokea pesa haramu kutoka kwa maharamia? Nafafanua ni kwanini nasema hivi…
Pesa ya zamani ikitaka kufutwa na kuletwa pesa mpya kwenye mzunguko, BOT hutoa tangazo rasmi juu ya muda wa kuanza kupokea pesa za zamani pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.