Knakutana na haya mambo yanajirudia kwenye ndoa hasa wakati wa tendo la ndoa
Mwenzio anakujibu
Uinigusee
Nimechoka
Sijisikii
Niamshe baada ya masaa mawili
Nanmengineyo kama una la kuongeza tujuzane
Kama unakutana haya ndugu jiongeze mapema kabisa kwa usalama wako
Hapo ndoa Ishanzaa kutetema...
Sijui nini unachopitia wakati huu lakini naamini una jambo linakuumiza akili na moyo ongea na Mungu wako akutue huo mzigo wa maumivu haustahili kuendelea kuteseka kama ni kujifunza tayari umeshahitimu,
Nikutakie USIKU MWEMA.
Hii email ni muhimu maana ndio naendesha blog,website na mambo mengine mengi ya kibiashara.
Niliweka 2 step verification,Sasa inadai inatuma notification nibonyeze yes lakini haiji notification yoyote na mbaya zaidi hizo njia zingine kama passkey Sina access nayo ,na hata namba ya simu...
Hapana haujakosea hio ni bendera ya nchi na hio ni AK 47 ikiwa na Jembe..., Ndio naelewa kwamba kuna kipindi walikuwa wanapigania Mapinduzi / Uhuru hio AK ilikuwa na kazi mahususi je wakati haujafika kubadilisha hio AK na kuweka angalau kalamu iendane na hicho kitabu ?
Clothes Make the...
Mara mbona uniweki status, mara meseji za uko wapi sasa hivi, mara mbona haunipigii mara kwa mara, mara mtoto wangu anaumwa, mara kodi ya nyumba inakata kesho (kwani ulikuwa unaishije kabla yangu👽).
Nimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio,
Watu wameonekana Kama vile hawana muda na anachozungumza, wanazunguka na sahani za Chakula,
Ni Kama kwenye sherehe wakati wa chakula wanaweka kibwagizo...
Wakati mwingine mioyo iliyoumizwa inakutana, inaponyana na inapendana. Yawezekana hao uwaonao leo wanapendana sana kuna mahala upendo wao ulipuuzwa mahala na waliumizwa
Kwasababu mapito yenye maumivu hayaondoi thamani ya mtu sahihi. Hata kama umeumizwa sana, endelea kuwa mtu sahihi, mali safi...
Wakati mwingine tunakutana na watu wakiwa wameumizwa sana na mahusiano ya nyuma
Tunalazimika kuzinyanyua nafsi na mioyo yao iliyojiinamia ndipo tuwapandikize upendo wetu
Huwezi kuupata upendo mkubwa toka kwa mtu mwenye mapito mazito kama hujamponya na maumivu yake ya nyuma ili awe mpya kwanza...
Halmashauri ya mji wa Njombe imekiri kuweka sawa mazingira ya uchaguzi wa serikali za mitaa hadi kwa makundi maalumu ili yaweze kushiriki kikamilifu katika mchakato mzima wa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hapo Novemba 27 mwaka huu.
Mbele ya Vyombo vya Habari Msimamizi wa Uchaguzi wa...
Wakati Tanzana raia wanaambiwa kikubwa wanakula wanashiba na wanapata muda wa kujadili Yanga na Simba, Gaboni wameandika katiba mpga na hivyo kuhitimisha utawalala wa Familia ya Bongo.
Kumbuka ni hadi yamefanyika Mapinduzi ya amani ndio katiba mpya imepatikana Gaboni, hii inaleta picha kwamba...
Naomba nitoe ushauri Kwa chama changu Cha CHADEMA, kwamba imefika wakati tuondokane na Business as usual. Kuna Afisa mmoja wa CHADEMA anaitwa John Mrema ambaye kwa ujumla anahusika na uenezi wa chama. Huyu jamaa kusema ukweli amepwaya Sana. Yani hiyo nafasi ni kama haimfai na ni kama...
Nasikitika kuona "kiherehere" cha hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika kutoa Taarifa zinazohusu majanga bila kuzingatia chain of command.
Sio afya kwa hospitali hii as an entity kukimbilia kwenye media na kutoa taarifa bila kuzingatia taratibu za uhabarishaji umma wakati wa tukio la majanga...
hospital
izingatie
janga
katika
kitaifa
kuhusu
kutoa
majanga
mamlaka
man
mganga
mganga mkuu wa serikali
mkoa
mkuu
muhimbili
serikali
taarifa
wakati
weledi
Ni vichekesho kwa mbumbumbu eti wanaiponda cv ya kocha mpya wa yanga wakati ajawai kushusha timu daraja kama ilivyo kwa kocha wao fadlu ambae aliishusha Martizburg na akatimuliwa!
Kama cv zinakufanya kazi basi Simba wasingemchukua fadlu kwakuwa cv yake ilikuwa ni ya ovyo!
Unapochukua kocha...
Leo, taifa letu limepigwa na pigo kubwa na tukio la kusikitisha la kuanguka kwa ghorofa katika eneo la Kariakoo, Dar es Salaam. Tukio hili baya limeacha alama ya majonzi na huzuni mioyoni mwetu sote, huku tukiombea kwa dhati afya njema na salama kwa wale waliojeruhiwa na pole za dhati kwa...
Ndugu zangu wana Jukwaa, poleni kwa sote kwa yale yanayoendelea. Tuendelee kuweka nguvu zetu kwa panoja ili hatimaye hatua za uokoaji ambao serikali imeshaingilia kati ziweze kulete manufaa kwa wahanga.
Pamoja na hayo ni vema tukatumia wakati kama huu kabla watu jawajasahau( watanzania ni...
Nisamehe sana baba ,wakati ule nilikuwa bado mdogo sikujuwa jambo lolote!
Wakati tunakuwa Mimi na ndugu zangu tulikuta mzee (baba) ameacha na mama,binafsi kwakuwa nilikuwa Nina shinda na mama yangu mara zote,alikuwa akiniambia mambo mengi ya ovyo kuhusu Baba yangu
Baba yangu yeye hajawahi...
Haya nimeulizwa huku
Kuna wale wana wapenzi wao wakati wanafanya tendo la ndoa uwa wanapenda kuongea ongea mpaka mwisho inaitwa dirty talk
Kuna wale wapenzi ambao kwenye tendo la ndoa wanakaa kimya mwanzo mwisho hata miguno hamna
Yupi unampenda zaidi?
Yupi unamkubali zaidi?
Nimeshangaa kujua kumbe Azizi Ki aliyekosa Penati siku Yanga inacheza na Tabora United, aliwaongoza wachezaji wenzake wa Yanga kuishuhudia Simba ikiidungua TABORA UNITED 3-0 Agosti 18 2024.
Sasa kama hawakujifunza mbinu za kuifunga Tabora United toka kwa Simba, basi Yanga kufungwa kwao ni halali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.