Ndugu zangu Watanzania,
Kwa kila jambo na wakati wake na majira yake kwa sababu maalumu.huu ni wakati na muda muafaka kabisa kuchapisha noti zitakazokuwa na picha na sura ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Hii ni katika kuweka historia...
Huwa naona watu wanatumia sabuni za aina mbili katika kufua, mtu analoweka nguo kwa sabuni ya unga kisha baadaye anatumia sabuni ya kipande wakati anazifua!
Sasa hii maana yake huwa ni nini? Kwamba sabuni ya unga haitoshi kutakatisha nguo wakati wa kufua? Sijawahi kuolewa mantiki ya hili jambo.
Watu wengi wanachukulia kuwa Iran na Israel ni maadui wakati wote, na wengine kwa kutoelewa wanadhani uhasama wa Israel na Iran umechangiwa na utofauti wa imani za kidini. Kama unafikiria hivyo, umepotea kabisa.
Kabla ya mwaka 1979, Iran ilikuwa mnunuzi mkubwa wa silaha toka Israel (Before the...
Nimejaribu kuangalia hii picha mara kwa mara na kujifunza baadhi ya mambo kadhaa.
1. Ukifika muda sahihi utapata, hata kama umejaribu mara nyingi ukashindwa lakini amini wakati wako ukifika basi ndio wakati sahihi wa kupata
2. Ukiangalia saa hizo kila moja inasema muda wake baasi tujifunze ya...
Kuna huyu jamaa jirani na nyumba niliyopanga, aisee nimeshindwa kumwelewa, akiwa huko faragha na mpenzi wako anagugumia/kulia kimahaba MPAKA kero....yaani wakigegedana huko yeye ndio anatoa makelele kupita hata huyo demu wake.
Sasa nimejiuliza hii ni kawaida kweli??, kikawaida na uzoefu wangu...
UKALI WA MCHENGERWA KWA WAKANDARASI NI CHACHU KATIKA KUKAMILISHA MIRADI KWA WAKATI.
Na, John Swai
Mhe. Mohammed Mchengerwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), ana msimamo thabiti kuhusu uwajibikaji na nidhamu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo...
Nimekumbuka mwaka 2018 jinsi magufuli alivyokuwa anapingwa kujenga bwawa la umeme.
Ila wazungu hao hao wa marekani na canada wao wanajenga mabwawa mapya na kuboresha mabwawa ya zamani kwenye nchi zao. Kama umeme wa maji umepitwa na wakati, kwa nini wao wanajenga mabwawa ya umeme zama hizi
Huu ndiyo ukweli mchungu, wale waliojiongeza kwenda kusomea ualimu daraja la 111A, unesi na ukunga pamoja na fani zingine zikiwemo upolisi kimtindo mikeka yao imetiki means walichukua kidogo ila Cha kuwafaa.
Wanangu wengine waligoma kukeshout mikeka yao wakala shule mpaka chuo kikuu mwisho wa...
Sasa hivi Tume ya uchaguzi wanaandikisha watu kwa kutumia makaratasi katika mfumo wa kitabu wakati zoezi hili lilipaswa like kidigitali papo kwa papo,vile vishikwambi waliwahonga walimu ilipaswa viifadhiwe kwa matumizi mbalimbali kama haya,ingekuwa ni suala la kuunda mfumo nakuupakia kwenye...
WAISLAM WANASEMA UKRISTO NI DINI YA UONGO.
WAKRISTO NA WAO WANASEMA UISLAM NI DINI YA UONGO.
WAKRISTO NA WAISLAM WOTE WANASEMA DINI YA KIYAHUDI NI YA UONGO.
NA WAYAHUDI WANASEMA DINI ZOTE 2 HAPO JUU NI UONGO.
NA MIMI NIMEAMUA KUKUBALIANA NAO WOTE KUA NI WAONGO👈
Septemba 16 2024 Dunia ilipata taarifa kuwa Sean Combs ametiwa nguvuni na mamlaka na kuzua gumzo kubwa sana katika vyombo vya habari duniani, siku chache baadaye chombo cha habari cha TMZ kilitangazia dunia kuwa katika nyumba ya Combs kumekutwa zaidi ya chumba elfu moja za mafuta ya watoto (Baby...
Mwezi wa Uhamasishaji wa Usalama wa Mtandaoni si kwa watu binafsi tu—pia ni wakati muhimu kwa biashara na mashirika kutathmini upya mikakati yao ya usalama wa mtandaoni. Mashambulizi ya kimtandao kwa biashara yanaweza kuwa na madhara makubwa, ikiwa ni pamoja na wizi wa data, athari za kisheria...
Unajua me huwa sielewi hapo kwamba kuna akili nyingine ya ziada tofauti na hii unayotakiwa kuitumia ili ukae na mke..nachojua kila mtu aliye mbele yako unatakiwa utumie akili uwe mjanja uwe mwerevu ila pia uwe mpole uwe kama njiwa pia uwe kama nyoka yaani full akili muda wote.ukifanya hivyo...
Habari wadau!
Jana nilitumia siku yangu ya kumbukizi kuongea na watoto wadogo!
Moja ya maswali waliyotaka ufafanuzi ni hili!
Serikali ina mipaka ya kiutawala ngazi za mikoa na wilaya!
Kwa mfano; Mkoa wa Dar es salam ni moja ya sehemu ya utawala wa kiserikali nactaasisi zake!
Sasa kwanini...
Habari zenu wakuu? Lengo ni kuelishana, kosa ulilolifanya wewe kupitia comment yako huenda likamsaidia mwingine!
Mimi kosa kubwa nililolifanya ni kununua eneo sloped, limenipasua kichwa lile eneo, eneo lina viwanja takribani 300, sasa mimi nilienda kununua wa mwisho nikakuta maeneo mazuri...
Jinsi ya kufuta Programu Usizotumia au zilizopitwa na wakati
1. Programu Endeshi Android:
Fungua Google Play Store > Upande wa Juu Kulia, Bofya alama ya ‘Profile’ > Kisha Bofya ‘Manage App & Devices > Bofya ‘Manage’ > Changua ‘App’ unayotaka kuondoa > Bofya ‘Unistall’
2. Programu Endeshi - iOS...
Kuna watu bado wanaukataa ukristo na kutukana sijui ukristo ni utapeli sijui nini
Ninawagalia nachekacheka tu moyoni mwangu.
Ukristo sio kwamba una sapoti ujinga bali una heshimu tamaduni ,imani, mawazo, ya watu wengine
Wakuu nna habari ya kuwajuza kuhusu industry yetu ya burudani.
Ali Kiba wiki hii mwishoni ataenda kufanya show ya kuzindua duka la mavazi. Hongera sana Kiba kwa kuaminika na muuza duka na kukupa nafasi ya kupafomu mbele ya wateja wake.
Diamond ndani ya wiki hizi mbili amekuwa busy na show za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.