Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Yamepanda dunia nzima. Kwani stock yetu ipu mwezini?? Hadi stocki imepanda bei mkuu. Me niliweke full tanki kwenye kitoroli changu J4 ilopita, nilivosikia yamepanda bei sikumbili mbele nikapeleka hela ya juu itimie bei mpya. Mimi ni mwananchi mwaminifu saanaMwenyekiti wa Umoja wa Wasafirishaji Mwanza, Yusuph Lupilya akizungumza katika mkutano wa wadau wa usafirishaji uliondaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra), amesema kuwa serikali ilipandisha bei ya mafuta ikiwa imetoka kutuambia kuwa kuna mafuta ya kutosha kwa miezi mitatu.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wasafirishaji Mwanza, Yusuph Lupilya akizungumza katika mkutano wa wadau wa usafirishaji uliondaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra), amesema kuwa serikali ilipandisha bei ya mafuta ikiwa imetoka kutuambia kuwa kuna mafuta ya kutosha kwa miezi mitatu.
Wew ukiwe mzalendo ila viongozi wako wakiwa sio wazalendo huo uzalendo wako ni nothing Bora kitokuwa mzalendo unaweza uklapatw a chochote kituYamepanda dunia nzima. Kwani stock yetu ipu mwezini?? Hadi stocki imepanda bei mkuu. Me niliweke full tanki kwenye kitoroli changu J4 ilopita, nilivosikia yamepanda bei sikumbili mbele nikapeleka hela ya juu itimie bei mpya. Mimi ni mwananchi mwaminifu saana
Comment yangu ilikua ni makuzi mkuu.. isome vizuri. Bado nnalewa pombe za pasaka mpaka saa hii.Wew ukiwe mzalendo ila viongozi wako wakiwa sio wazalendo huo uzalendo wako ni nothing Bora kitokuwa mzalendo unaweza uklapatw a chochote kitu