wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Ni wakati Rais Samia aheshimiwe, kumtusi ni kumkosea sana.

    Watanzania wakati mwingine ni kama watu ambao hawajui nini hasa wanachotaka.Wakati wa utawqla wa Rais Kikwete,maneno yalikuwa mengi sana.,mlegevu,hashuguliki na masuala ya msingi ya nchi,nchi imeoza. Akaja Rais Magufuli,yeye alikuwa strick sana,alikuwa hapendi bla bla au majadiliano sana.Alikuwa...
  2. G

    Hamas / hezbollah wanapenda kutumia raia kama ngao, kwa maksudi wanatunza na kurusha silaha kwenye makazi ya watu, Gaidi ni gaidi hata awe ndugu !!

    Siku chache zilizopita Israel imelipua ghala kuu la silaha wanazotumia Hezbollah kushambulia miji ya Israel, Ghala limejengwa kati kati ya mji wenye makazi ya watu wengine, Israel iliposhambulio kuna makombora yalianza kufyatuka bila mpangilio, Watu kadhaa wamefariki lakini hii imefichwa sababu...
  3. Msitari wa pambizo

    Unatoa mil 50 kuwapa Yanga/Simba wakati kuna watoto wanakaa chini kwa upungufu wa madawati.

    This is misuse of public fund aisee. Hivi kabisa unakua uko sawa kiakili unatoa mil 50 unaipa timu wakati kuna watoto huko hawana vyoo? Nani anamshauri Rais ujinga huu? Hivi anafanya hivi akiwa amelenga impact yake nini? Yani nchi hii ambayo wamama wajawazito wanajifungulia chini hakuna vitanda...
  4. X

    Ifikie wakati Nissan Dualis na moto wamalize tofauti zao

    Ukiwa na Dualis usihesabu una gari wewe jua una chanzo cha moto. Leo saa 9 usiku imewaka maeneo ya Kimara Kibo Visa vya Dualis kuwaka vimekuwa vingi sana ikichanganyikiwa inawaka popote
  5. ndege JOHN

    Mambo ambayo watanzania wengi mpaka wasomi wanayaongea kana kwamba wana ushahidi nayo kwa 100% wakati huenda sio kweli hata kidogo..

    Ukikuta Watanzania wanaongea mambo fulani unaweza kufikiri walikuwa mashahidi wa mambo hayo kwamba waliona tukio zima lakini kumbe ni uzushi. Kinachosikitisha ilibidi mambo hayo wayaamini watu wasio na elimu yoyote cha ajabu unakuta mpaka msomi anasimulia bila haya mbele za watu. 1. Diamond na...
  6. M

    Wakati semenary tunafundishwa ukakamavu na mafunzo ya karate sikuelewa, kumbe ilikua kujiandaa kujihami hata na watekaji!

    Pumzika Kwa amani father A. Sikuelewa maana ya usumbufu wa ijumaa jioni na jumamosi karibu masaa sita. Ulikua unasema unatupatia basics za maisha kiukweli tulikua na miili iliyojengeka hadi leo hii kwenye uzee. Ulipokua unasisitiza mwanaume lazima uwe na mapafu ya mbwa sikuelewa, ulipotoa...
  7. Annie X6

    Hii inayoitwa Tume ya ajira PSRC ni uhuni na kupoteza wakati na fedha

    Habari Hivi kuna kipi cha maana wanachofanya kama sio kupoteza wakati na fedha za walipa kadi. Zamani watumishi walipangiwa vituo tena wakitokea vyuoni mojakwamoja. Kinachowafanya wawashe AC, wavae tai wakae roundtable wakijifanya wanaakili nyingi ni kipi? Alama anazopata mtunakiwa chuo vipi...
  8. L

    Bw.Free Mbowe hata nyie chama chenu kina kikosi cha kutoa mafunzo kwa vijana ili wafanye vurugu wakati wa uchaguzi mbona husemi?

    We Mbowe umetoa tuhuma nzito dhidi ya Jeshi la Polisi nchini, lakini hata nyie chama chenu kinao vijana waliopewa mafunzo ya kijeshi, wakati wa uchaguzi na hata sasa uchaguzi wa serikali za mitaa, vijana wenu mliowapa mafunzo wamesambazwa kwenye kila wilaya kutoa mafunzo ya namna ya kufanya...
  9. nipo online

    Kuna wakati maisha yanasimama kabisa

    Yani ukichunguza kwa makini kuna wakati unaona kabisa pesa mfukoni haitulii na hata kuingia kwake ni taratibu Sana huku miaka Inaenda tu.
  10. Roving Journalist

    Simiyu: Mkuu wa Wilaya ya Busega: Nimepigwa mawe wakati wa Maandamano, tumewakamata Watu 108

    Akizungumzia maandamano yaliyotokea Lamadi, Mkuu wa Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, Faiza Salim amesema athari zilizotokea baadhi ya Viongozi kushambuliwa kwa kupigwa mawe akiwemo yeye (Faiza). Amesema kwa muda wa miezi minne aliyokuwa katika nafasi hiyo hajapata taarifa ya Watoto kupotea...
  11. Tlaatlaah

    Ni wakati muafaka Watanzania kuipongeza serikali na wananchi wazalendo wa Msomera Tanga kwa kuinusuru hifadhi ya Ngorongoro kupotea

    Wananchi wazalendo wa msomera mkoani Tanga, ambao hapo kabla walikua wakiishi ndani ya hifadhi ya Taifa ngorongoro, ambapo baadae kwa kushauriana na mamlaka za serikali, na kwa hiyari na utashi wao, Lakini pia kwa kuzingatia maslahi mapana ya Taifa, na urithi wa vizazi vijavyo, wananchi wale...
  12. Tabutupu

    Kwanini NIDA wanauliza maswali wakati nahitaji kutumia NIDA number?

    Nimeenda brela kusajiri biashara yangu tabutubu limited, nimetakiwa kujaza form ambayo inanihitaji niweke nida namba na nimeulizwa maswali kibao utadhani namba ya nida nimeiba.. Nimeulizwa kijiji na mtaa nilio andikisha nida.. mimi nimeandikiswa tegeta hata kijiji sikumbuki, mara shule niliyo...
  13. K

    UPDATES: Elimu kwa umma ambayo ni jambo la msingi na endelevu

    TUYAONDOE MAJAMBAZI YA KISIASA KWENYE VYEO YALIKOJIPENYEZA KWA RUSHWA YAKAPATA VYEO ILI TUBAKI NA WATU WAAMINIFU NA WAADILIFU WENYE UCHUNGU WA KUWAINUA MAFUKARA Nilisikika nikiunguruma katika Ulimwengu wa Kiroho huko Ndotoni. Baada ya kuyaona Majambazi ya Kisiasa Baadhi yaliyo jipenyeza kwenye...
  14. I

    Wakati wakikabiliwa na hali ngumu ya uchumi, Wairani wageukia dhahabu na fedha za kigeni ili kuhifadhi mali

    Wakati nusu ya Wairani wakiishi chini ya mstari ufukara, huku hali ya uchumi wa Iran ikiendelea kuzorota na pesa yake ya Rial ikipoteza thamani wakati wananchi wakizidi kugeukia ununuzi wa dhahabu, fedha za kigeni na kuhamisha mitaji nje ya nchi. Katika mwaka uliopita, Rial ya Iran imepoteza...
  15. Tlaatlaah

    Umewahi kumuonea huruma mwenza wako ukaahirisha mechi licha ya kukubaliana?

    kwamba mmekubaliana kwenda kufanya mapenzi kwa hiyari, makubaliano, mapenzi na ridhaa zenu wenyewe... ghafla mmeingia eneo la faragha tayari kwa game kunako 6kwa6, then ghafla unajawa huruma, hofu na stimu inakata kwa unachoshuhudia kwa macho, mathalani kutoka kwa mwenza wako?.. Je, ni kitu...
  16. K

    Kwanini U-FM Jana walikata matangazo DW Wakati John Pambalu alipokuwa akizungumza?

    Jana Mchana DW SWAHILI katika Kipindi cha meza ya Duara waliwaalika wanasiasa watatu nchini Tanznaia akiwemo John Pambalu Mwenyekiti wa BAVICHA, Steven Wasira Kada wa CCM, na Abdul Nondo Mwenyekiti ngome ya vijana ACT. Walikuwa wana mjadala kuhusu 4RS za Rais samia kama zinaishi ama zimejifia...
  17. Li ngunda ngali

    Hiyo picha itafukuzisha kazi mtu. Ni suala la wakati tu…

    Kupitia hiyo picha kuna mtu atasagiwa kunguni na wapenzi wa boss lady na atafutwa kazi. Mda utaongea.
  18. britanicca

    Pre GE2025 CHADEMA ni Wakati wa Kwenda na Lissu. Msisite, nina sababu…

    Kuna wanaosema Mbowe ndo awe mgombea Kwakuwa Lissu aligombea wakati uliopita Ila wakumbuke Mbowe aligombea 2005. Hata hivyo Tundu Lissu bado relevance yake ipo na anao mvuto ambao ni wa kipekee kwa sasa. Ni mzuri sana kwenye kuvuta attention ya watu kumsikiliza anapokuwa anaongea na hugusa...
  19. K

    Mtandao wa Airtel uko so weak sana na hausikiki wakati wa maongezi, kwanin?

    Jamani ukioiga Airtel kwenda matandao mwingien yeyote yaani hamuwezi kusilizana,sijui kwanini Airtel huduma zimaenza kuwa mbovu hivi?TCRA mmemchukua hatua zipi?
  20. mdukuzi

    Geita: Upendo Peneza akaripiwa na viongozi adharani, ni baada ya kutamka Chadema badala ya CCM wakati akihutubia

    Huyu dada kama ilivyo msigwa,wako CCM kimaslahi ila kiroho na kimwili wako Chadema. Akihutubua mkutano wa adhara mbele ya katibu mkuu wa CCM Emanuel Nchimbi na katibu wa itikadi na uenezi Amos makala,,Upendo peneza alijinasibu kuwa yeye ni chadema baadae akafuta kauli. Baada ya mkutano kuisha...
Back
Top Bottom