Wakuu
Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko.
Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board.
Natamani kuacha lakini life ngumu.
Mwenge ulitakiwa kuisha tokea kipindi cha nyerere. Ila naona mwenge ni kumaliza pesa za walala hoi tu.
Majukumu ya mwenge ni yamebeba majukumu ya mkaguzi mkuu ambayo ni wajibu wake. Mwenge unafata nini tena unachukuwa machokoraa wa ccm
Naamini hawa Viongozi wa CHADEMA ni waumini, tena asilimia kubwa ni wakristo kwa nini Viongozi wa Dini wamekaa kimya au wanaona walichofanyiwa walistairi?
Picha hii inakusisitiza kwamba kuchagua Mke ni uamuzi wa kifedha wa maana sana kwa wanaume..
Picha ya kwanza ni Amber Heard akiwa analia, na maandishi yanayosema "$7 MILIONI MALIPO YA TALAKA."
Hii na baada ya kutalakiana na mume wake
Picha ya pili nin Kim Kardashian, na "$200,000 KWA MWEZI...
Kulingana na evolution inasemekana kulikuwepo na jamii(species) zaidi ya tisa za binadamu ambapo kufikia miaka elfu arobaini iliyopita nane zilitoweka kwa sababu mbalimbali na hatimaye ikabaki moja tu iliyo survive ambayo ni ya kwetu ya Homo Sapiens,
Sasa wangekuwepo akina Homo Neanderthals ...
Kijana ana NIDA/NIN ambayo ina details zote muhimu. Kitambulisho cha NIDA hakijaandikwa vitu vingi ila kwenye database ya NIDA Kuna taaarifa zote za huyo kijana. Sasa cheti cha kuzaliwa cha nini tena?
Kuna usaili, huko pimeni writing skil na speaking skil. Barua ya nini huku tumehamia digital...
Naomba niseme tu bila kificha hawa wanawake hasa mabinti ama wadada wa kizazi cha GenZ baadhi yao na idadi inaongezeka kwa kasi sana ni wavivu wa kuoga hasa maji baridi na wakithubutu wananawa chini tu kwenye samosa.
Inaogopesha sana hiki kizazi na pia hawa GenZ wengi ni wabovu wa vifua wengi...
Akihutubia wananchi wa mkoa wa Kagera makala amesema chadema wameshindwa kabisa kujibu kiu ya Lissu ambapo Lissu amelalamikia rushwa na kukosekana demokrasia ndani ya CHADEMA lakini hawana mpango wowote kuyashughulikia.
Ndugu Makalla amesema kutokana na ukweli huo alimsikia Lissu akisema...
Nafikiri pia sisi tuanze kuangalia vipaji vilivyopo Ili tuidumishe timu yetu ya taifa, tukikumbuka Serikali kupitia karia walimpa uraia wa Tanzania mchezaji tegemeo wa Simba aka kibu Denis, na Sasa kibu Denis prospa kiungo hatari wa Simba ni mchezaji wa Star.
Hapo Sasa, pia nimefikiria katika...
Kutokana na sintofahamu kwenye chama Cha CHADEMA inayoendelea sasa hivi ndani ya chama hasa Viongozi kuhongwa na suala la akina Halima Mdee kurudishwa kwenye chama huko mbeleni, nina ushauri maalumu.
Ushauri wangu ni kwamba CHADEMA ijikite kwenye damu changa na siyo kuendelea kuhangaika na...
Kuna watu wanatamani kuwekeza kwenye soko la hisa lakini hawajui wangalie mambo gani kabla ya kuzingatia kwenye kuchagua kampuni ya kununua hisa zake.
na hili suala lina wakumba mpaka baadhi ya waliowekeza kwenye hili soko,wanakuja kujilaumu baadaye.
Leo tuangalie mambo muhimu ya kuzingatia...
Habari wadau,
Ninaomba kutoa lalamiko langu kuhusu huduma za masomo kupitia Zoom lectures zinazotolewa na Open University Tanzania kwa wanafunzi wa sheria mwaka wa kwanza (bachelor of Laws) na wengine.
Tatizo kubwa ni kutokufundishwa kwa wakati kupitia Zoom lectures. Mara ya mwisho...
Anonymous
Thread
kuhusu
kupitia
malalamiko
open
tanzania
university
wakati
zoom
Nimejaribu kufuatilia michakato ya usajili na uajiri wa vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama.
Kikubwa nilichokigundua ni kwamba mfumo wa uajiri wa JWTZ bado ni wa kizamani sana, jambo ambalo linaweza kusababisha kuwepo kwa mianya ya rushwa.
Mpaka leo kwa taasisi kubwa kama JWTZ kuendelea...
Nini maana ya maisha?, Nini sababu ya uwepo huu?, Ni ipi siri ya safari hii?
Nini maana yangu? Nini sababu ya uwepo wangu? Ni ipi siri ya uundaji wangu?
Ni ujinga wangu au ni hatma ya safari yangu?
Ni mapungufu yangu au ni ubabe wao?
Ni dhambi zangu au ni laana yangu?
Je hii safari yangu hadi...
Nimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa...
Mtu yeyote ambaye amekua katika maeneo ya vijijini hata mjini kwa kiasi kidogo anaweza kuelezea uzuri wa malezi ya bibi.
Bibi ni mtu mwenye huruma sana hata mzazi akitaka kukuadhibu ukikimbilia kwa bibi basi utakuwa salama kabisa.
Lakini Bibi ni mtu ambaye hutanguliza mbele wajukuu zake washibe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.