wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mag3

    Kwa kumbukumbu tu kuna wakati Bashe wa CCM na Sugu Chadema waliweza kuongea lugha moja bungeni lakini hawakusikilizwa!

    Watanzania tu watu wa ajabu sana... https://www.youtube.com/watch?v=Y0Y24wdT9OI Sina cha kuongezea!
  2. GENTAMYCINE

    Tunajua Unalazimisha huku Kujipendekeza Kwake ili mwakani uwe Mwandamizi katika Kuzunguka nae nchi nzima wakati wa Kampeni

    DAR ES SALAAM; Msanii wa muziki wa kizazi kipya Faustina Charles ‘Nandy’, ameibuka kwenye mkutano na wanahabari akiwa ametinga vazi analosema ni kama mtindo wa nguo za Rais Samia Suluhu Hassan. Nandy aliyekuja kuzungumzia tamasha lake litakalofanyika Mwanza kesho, alikuwa amevaa ushungi mweusi...
  3. Webabu

    Askari wa Ukraine waliopelekwa Kursk wahoji sababu ya kupelekwa huko wakati Urusi ikifunga njia za kutokea.

    Askari kadhaa wa Ukraine wameonesha dalili za wazi za kujuta na kulaumu uamuzi wa kupelekwa huko wakati wakianza kuzingirwa na majeshi ya Urusi. Kwa mujibu wa askari hao ambao hata majina yao hawakupenda kuwekwa hadharani ni kuwa maangamizi kwao yalianza tangu siku ya mwanzo ya jaribio lao na...
  4. BLACK MOVEMENT

    Mjamzito afariki kwa kukosa pesa ya mafuta gari la wagonjwa, wakati Mama ananunua magoli

    Wakati anaupiga mwingi, kwa kununua magoli ya Yanga na Simba kuna watu wana safa sana kwa huduma za afya. Kule Kilosa Mama kafariki kwa kukosa pesa za mafuta ya Gari ya kubebea wagonjwa. Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka ametoa siku tatu vyombo vya usalama kuchunguza...
  5. britanicca

    Je, Waziri Masauni apumzike? Akipumzika ndio Mwisho wa haya?

    Najiuliza uwajibikaji uko wapi? Ingekuwa nchi Kama Tunisia na Kenya au kwingineko kosa dogo tu linaondoa baadhi ya watu madarakani si kwa utashi wao!bali kwa Nguvu ya Umma na maandamano! Lakin hapo kwenye Kondoo wa Kiboko ya wachawi hata uwakojolee midomoni kila asubuhi Utasikia yote twamuachia...
  6. M

    Wakati Tanganyika imejiachia kwa Zanzibar100%, Zanzibar Ina udugu wa mashaka.

    ZANZIBAR kuwa na mkurugenzi wake wa Idara nyeti kama usalama wa taifa ni wazi kuwa Zanzibar wako makini sana na nchi Yao. Ni sharti katika sheria ya usalama wa taifa kwamba kutakuwa na mkurugenzi na naibu mkurugenzi ambaye lazima awe mzanzibar. Hivi Kuna mtu anawaza usalama wa Tanganyika DHIDI...
  7. C

    Wakati wa Utawala wa Ali Hassan Mwinyi, ameshawahi kutekwa au kuuwawa mtu?

    Jamani sina mengi sana nimemkumbuka Rais wangu Ally Hassan Mwinyi, Mungu amjalie pepo ya filidausi, kweli sisi sote ni mashahidi wake na amani iwe juu yake mpaka siku ya kufufuliwa kwake
  8. OKW BOBAN SUNZU

    Wabongo watakulinda mitandaoni lakini sio wakati unatekwa

    Moja kwa moja kwenye hoja Nimeshangazwa sana na mazingira aliyotekwa kiongozi wa Chadema. Sishangazwi kwa sababu ni kiongozi wa upinzani bali ni mazingira aliyotekwa. Mimi sikuwepo, lakini najaribu kufikiria tu, iliwezekanaje? Otherwise aliyekuwepo anisahihishe. Najaribu kuwaza hivi....kuna...
  9. G

    Kero: Ndugu, marafiki na jamaa wanaanza kukutafuta baada ya kutoboa, ni kwanini hawapo direct kuomba pesa wakati uhusiano wenu ni wa maslahi pekee?

    Mawasiliano yawe direct hakuna haja ya kona kona, tamka maneno mawili, "NAOMBA FEDHA" ikiwepo utapewa kama hakuna tuangalie utaratibu mwengine atasalimia kukujulia hali, kujua upo wapi, family inaendeleaje, n.k. lakini mwisho wa siku lengo lake ni moja tu, FEDHA !! Hajakutafuta miaka na miaka...
  10. Wauzaji wa containers

    Kiroho unajuaje kuwa huu ni wakati wa MUNGU.?

    Unawezaje kujua kuwa huu ndo wakati wa MUNGU?
  11. GENTAMYCINE

    Kwa Kiswahili fasaha ule Ute Ute mweupe na usionuka unaopatikana Ukeni wakati wa Tendo la Ndoa / Uzinifu unaitwaje?

    Nijibuni haraka upesi tafadhali kwani kuna Mwanafunzi wa Lugha ya Kiswahili Mgeni anataka kujua na Mimi wala sijui.
  12. L

    IGP Wambura, nakutafutia ushahidi wangu kuhusu vurugu wakati wa uchaguzi

    Bw IGP Inspekta General Camilius Wambura, mimi ni mtanzania mwema na na nia ya dhati kabisa Kusaidia nchi kufichua maovu yote yanayoendelea nchini hasa mienendo ya chama hiki cha Kaskazini. Namba za Jeshi la Polisi ktk tovuti yenu naomba mzihuishe, nitakuwa napiga simu kwenu mchukue hatua...
  13. OKW BOBAN SUNZU

    Wanawake punguzeni vikao wakati wa tendo

    Naelewa huwezi kufanya mapenzi kimya kimya kama unabaka Naelewa ule ni wakati mwingine wa kueleza hisia zake kwa mtu unayempenda. Ni muhimu ku respond juu ya mchakato unaloendelea pale kati. Mimi nazungumzia wale wanaoanzisha kikao, anakuja na ajenda irrelevant. Sasa jiulize nani anachukua...
  14. Nigrastratatract nerve

    Hospitali na vituo vya afya wakati wa Hayati Magufuli

    Wakati wa utawala wa Rais John Magufuli, serikali ilifanya juhudi kubwa za kuboresha sekta ya afya, na hizi ni baadhi ya takwimu kuhusu miundombinu ya afya iliyojengwa au kuimarishwa: 1. Hospitali za Rufaa: - Hospitali 7: Hospitali za rufaa zilijengwa katika mikoa tofauti, ikiwa ni pamoja na...
  15. hitler2006

    Kwa nini uimiliki kwa gharama wakati zinakodishwa kwa gharama nafuu?

    Huwa najiuliza mtu unaingia gharama kubwa, unainvest muda, pesa na hisia. Wengine mpaka wanakosana na majirani na ndugu kisa hii kitu eti ni mali yangu sitaki kushare na mtu. Wakati kila mtaa unaopita siku hizi unakuta zimepangwa tu zinakodishwa unatumia unaachana nayo hakuna tena mambo ya...
  16. matunduizi

    US na Israel wanatufundisha kuwa na marafiki/ndugu wanaokufaa wakati wa shida tu

    Hadi leo karibu 1/3 ya jeshi lote la navy la US limeshaizunguka Iran kwa lolote ikitokea kajaribu kuishambulia Israel. Watafiti wanasema US imetoa karibu meli zake zote Pacific na zimeenda kukaa kimkakati kwa lolote karibu na iran na israel. Huu ndio urafiki, huu ndio udugu. Kwa mujibu wa...
  17. Jokajeusi

    Unakataa Watu wasioe single mother Wakati wewe uliyenaye hukumkuta Bikra, chongo na kengeza hawachekani

    Mughonile Kûna Vijamaa humu vinachekeshaga Sana, unakuta vimekaza mishipa kîla Siku kuponda single mother alafu vyenyewe vipo na Wanawake àmbao hawakuwakuta na Bikila. Chongo hamacheki mwenye kengeza. Demu asiye na bikra na singe mother wàpo kundi Moja. Hamuwezi kuchekana kivile. Wôte mmeuziwa...
  18. U

    Imamu sheikh Mbwana Haji - muislamu anapaswa kujipamba na tabia njema wakati wote na kamwe hatakiwi kufanya ubaya ikiwa wengine wanafanya ubaya kwake

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa hapo chini: Mtoa hotuba wa Ijumaa ya leo msikiti Sunni Dodoma (Nunge) Imamu sheikh Mbwana Haji amesema muislamu anapaswa kujipamba na tabia njema wakati wote na kamwe hatakiwi kufanya ubaya ikiwa watu wengine wanafanya ubaya kwake au kutoa kauli mbaya mbele...
  19. proff g

    Kodi hii imefikia wakati Serikali iitazame upya kwa watumishi, inaumiza

    Kwa mujibu wa utumishi wa umma, mtumishi anatakiwa kukatwa kodi kwa kile anachokipata kwenye mshahara wake. Kama tunavyofahamu kodi nimuhimu kwa taifa lolote, lakini changamoto ya kodi hii ni maumivu kwa watumishi ktukana hali ya kupanda kwa gharama za maisha hasa mfumuko wa bei, mishahara ya...
  20. profesawaaganojipya

    Imewaka Engine check,alarm ya reverse ina mafua,mshale wa rpm unacheza sana,engine wakati mwingine inamis kuwaka

    Wakuu nahitaji ushauri.Gari ni RUNX,maji yalikuwa yakipungua kidogo,fundi wangu akafungua kabisa REJETA ili aicheki,lakini hakuona tatizo. Iliporudishiwa ndo yameibuka matatizo ambayo hayakuwepo,Engine chek imewaka,alarm ya reverse gia ina koroma,mishale ya dashboad hasa rpm unajiless...
Back
Top Bottom