Paper tiger (Mbwa asiye na meno) kaufyata wakati mwenzake anachezea kipigo.
China linapokuja suala la operesheni za kijeshi ni mchumba tu. Wairani walimuomba Trump awasaidie, naye akawaitikia. Xi na China yake yeye siku zote msimamo wake si kwa wananchi wa nchi husika, bali anasimama na viongozi mafisadi, madikteta na wauaji kwa manufaa yake mwenyewe
Kwa kweli kuendelea kufanya muungano na Mchina ni mtego mkubwa huko mbeleni.