- Thread starter
- #21
Sukari imepanda mjomba!? Uzuri Iran kapigwa muda mzuri sana wa mfungo wa Ramadhan. Unangia vitani na njaa.Huyo unaye mjibu ni mjinga sana
Sukari imepanda mjomba!? Uzuri Iran kapigwa muda mzuri sana wa mfungo wa Ramadhan. Unangia vitani na njaa.Huyo unaye mjibu ni mjinga sana
Huyu ni mjinga anadhani kuna faida zozote za msingi kuanzisha mavita ya kipuuzi kila mara yasiyo na msaada wowote nakubali namna wachina wanajitenga na mavita ya kipuuzi na kukuza uchumi wao.Marekani wanayo hofu na China ila mmatumbi mmoja kutokea chanika na mabaki ya mchicha mdomini anamwita paper tiger 🚮
Naona mmatumbi mwenzangu anafahamu hofu ya Marekani kwa China, au upo kwenye payroll ya CIA!!?Marekani wanayo hofu na China ila mmatumbi mmoja kutokea chanika na mabaki ya mchicha mdomini anamwita paper tiger 🚮
Una matatizo sio bure.Sukari imepanda mjomba!? Uzuri Iran kapigwa muda mzuri sana wa mfungo wa Ramadhan. Unangia vitani na njaa.
Wewe ndiye mjinga. Ingekuwa vita ni vya kipuuzi, visingepiganwa kwa karne zote hizo. Bila vita hakuna ustaarabu; vita ndiyo baba wa ustaarabu katika dunia hii.Huyu ni mjinga anadhani kuna faida zozote za msingi kuanzisha mavita ya kipuuzi kila mara yasiyo na msaada wowote nakubali namna wachina wanajitenga na mavita ya kipuuzi na kukuza uchumi wao.
Huna unachokifaham kuhusiana na vita pita ivi. 🚮Una matatizo sio bure.
Mimi sio mmatumbi mwenzako jiheshimuNaona mmatumbi mwenzangu anafahamu hofu ya Marekani kwa China, au upo kwenye payroll ya CIA!!?
Sawa Mchina.Mimi sio mmatumbi mwenzako jiheshimu
Ina maana hujui kama China ndio ana supply Dunia nzima? Pande zote mbili zinazopigana zinamtegemea Mchina kupata bidhaa zake Muhimu.China anatengenezaje uchumi wake wakati washirika wake wote wa kibiashara Marekani ameanza kutumia nguvu wakubaliane na masharti yake? Kila Mchina anapogusa kwa sasa, Marekani anatumia nguvu. Hizo mbio za China za sakafuni muda si mrefu zitaishia ukingoni.
Hakuna nchi inayoweza kupigana vita na China kwa sasa.Kabla ya kuuza hizo silaha atapigwa yeye. Tutakuwepo hapa muda ukifika.
Kila nchi ni mshirika wa ChinaChina anatengenezaje uchumi wake wakati washirika wake wote wa kibiashara Marekani ameanza kutumia nguvu wakubaliane na masharti yake? Kila Mchina anapogusa kwa sasa, Marekani anatumia nguvu. Hizo mbio za China za sakafuni muda si mrefu zitaishia ukingoni.
Mlisema hivyo pia kwa Iran.Ina maana hujui kama China ndio ana supply Dunia nzima? Pande zote mbili zinazopigana zinamtegemea Mchina kupata bidhaa zake Muhimu.
Vikwazo vya Trump vimebakia Tu kwenye maneno, hakuna mpaka Leo kilichofanywa.
Kuna MTU amewahi claim Iran ina supply Dunia?Mlisema hivyo pia kwa Iran.
Time will tell.
Kwenye biashara.Kila nchi ni mshirika wa China
Ndio wapo wengi fanya research.Kuna MTU amewahi claim Iran ina supply Dunia?
China hana mda wa kupoteza yupo bize kutudanganya umatumbini tuSasa unataka vita au unaeopokwa tu? Unataka China iende vitani kupigana na nani kwa mfano?
Ataingia vitani muda wake ukifika tuone uwezo wake.Sasa unataka vita au unaropokwa tu? Unataka China iende vitani kupigana na nani kwa mfano?
Duh! "Uislam ni ugonjwa wa akili".China hapendi waislam ni vile tu anachota mafuta ya bure iran
China wametangaza nchini kwao kuwa uislam ni ugonjwa wa akili