Aiseeeee habar wakuu
leo naona sabasaba pamejaa wakenya wengine hata kiswahili tutashuka nao ngeli mpaka kieleweke leo lazima washike ukuta
So wadau leo lazima kieleweke nipo na Zero IQ apa hatoki mtu tutaweka picha baadae
Eaat africa community
Niwe muwazi mimi sio mchimbaji wa dhahabu lakini nimezungukwa na wachimba dhahabu wengi sana hapa ninapoishi kwahiyo nimeamua nianzishe huu uzi maalaum ambao utakuwa ukitumika kupeana updates za machimbo mapya na stories nyingine za kiuchimbaji
Kwa walioko Geita kuna machimbo mapya yameibuka...
Watanzania wenzangu, Ngorongoro ni lazima ilindwe kwa nguvu zote.
Japo Wamasai hawataki kuondoka Ngorongoro kwa hiari yao kama maeneo mengine ambapo paliwahi kufanyika operation kama hii lakini ni lazima waondoke ili nia njema ya serikali ya kuilinda na kuhifadhi ngorongoro yafanikiwe...
Ifahamu textile manufacturing company iliyofungua kiwanda chao Kenya mwaka wa 2020. Sasa hivi imeajiri Wakenya 3,000. Kampuni hio ipo ndani ya special economic zone.
MAS Intimates Kenya Athi River in Machakos County
MAS Intimates Kenya Limited is a scion of MAS Holdings, the largest...
Kuna hii kampuni ya call centre na BPO inayojenga headquarters yake Kenya ndani ya Tatu city.
Ujenzi utakapokamilika, wataajiri Wakenya 4,000 kufanya kazi ya call centre na BPO.
Biashara hii ya BPO India na Phillipines ndio zimedominate.
=========
CCI Global, the largest international...
Kumbe watu wanaomshikilia na kumsapoti Mondi ni Wakenya? Gazeti la Tanzania la The Citizen linasema kwamba ndani ya miezi 12 zilizopita video za Diamond kwenye youtube zilipata 136 million views na kati ya hizo views, 107 million zilikuwa zinatokea Kenya. Kumbe Watanzania hampendi Diamond au...
hizi bei zimeanza kutuchoma kama pasi wenye vipato vya kawaida
hali ipo vipi kwa Kenyatta huko?
Petrol 3,148 tshs / 157.66 kshs >>> 3,361 tshs / 168.3 kshs
Disel 3,258 tshs / 163.2 kshs >>> 3,390 tshs / 169.78 kshs
Francis Atwoli
Katibu wa Muungano wa Wafanyakazi (COTU), Francis Atwoli ameikosoa Serikali ya Kenya kwa kutokuwa na nguvu katika suala la Wakenya kufanyishwa kazi katika Nchi za Mashariki ya Kati.
Atwoli amewajia juu Waziri wa Kazi na Waziri wa Masuala ya Kigeni kwa kushindwa kushughulikiwa...
Wafanya biashara wa Uganda wamehojiwa wengi wameanza jitihada za kuchangamkia soko la DRC na fursa zilizopo, hii ni baada ya DRC kuwa mwanachama ndani ya EAC. Wakenya tusichelewe, bahari Hindi na Atlantic zimeunganishwa, tupambane.... Naomba pia serikali zetu zirahisishe suala la vyeti kama...
Naomba ufafanuzi kuhusu nafasi za kisiasa za ugavana, useneta na ubunge.
Kwa vigezo vifuatavyo.
Kiongozi yupi ni mkubwa kuliko wengine, magavana wapo wangapi nchi nzima, maseneta pia na wabunge.
Kinara wa ODM Raila Odinga na kikosi chake cha Azimio wamewaonya Wakenya dhidi ya kumchagua Naibu Rais William Ruto.
Waziri Mkuu huyo wa zamani alimtaja Ruto kuwa ni ‘Bw Promise’ ambaye anatumia ahadi ‘tupu’ kuwashawishi wapiga kura, na kukataa ahadi hizo baada ya kuingia madarakani.
"Yote...
Ndio umuhimu wa kuwa na elimu bora na wachapa kazi, wanang'ang'aniwa kote, mara UK, mara Dubai, ukizingatia diaspora wetu wanatuma hela nyumbani kuzidi mataifa yote ukanda huu, vyuo vyetu vinazidi kuzalisha vichwa na akili kubwa. Waende tu wakapate maujuzi zaidi ili wakirudi wawekeze nyumbani...
Licha ya kuwa wapo watanzania wanamlaum Rais John Pombe Magufuli kwa mambo kadhaa lakini huko nje ya mipaka yetu Kuna watu wanamkubari Sana kwa jitihada zake za kuliletea taifa letu miradi ya kutukuka na kuheshimika kimataifa katika kipindi kifupi alicho kaa madarakani.
Somo tujifunze...
Huu ndio uzalendo wa kweli....
=====
The tourism sector rebounded last year supported by locals, as the industry pulled out of a painful two-year period since it was hit by the pandemic.
The tourism sector performance report 2021 shows that the industry earnings jumped 65 percent to Sh146.51...
Muda mfupi uliopita nilikuwa nasoma habari kwenye tovuti ya The citizen kuhusu huyu mzee Njonjo ambaye aliwahi kuwa mwanasheria mkuu wa Kenya kwa takriban miaka 17. Kilichonivutia hasa kuhusu habari hii ni uhusiano kati ya Mwai Kibaki na marehemu mzee Njonjo. Mwandishi anadai wazee hawa waliishi...
Mababu zetu waliopigania uhuru wa Mwafrika pale walipo kama wana uwezo wa kuyaona haya kweli watafarijika kwa kujua jitihada zao zilizaa matunda, wajukuu wao, wazawa wa nchi hii leo wanahusika pakubwa kusanifu miundo mbinu ambayo inaipaisha nchi kwa mwendo kasi.
A file image of the Global...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.