Kufuatia kadhia mbalimbali zinazoendelea kwa wakazi wa ukanda wa Afrika mashariki kutoka nchi za kiarabu.
Bunge la kenya linategenea kupitisha azimia ka kupiga marufuku raia wao kwenda nchi za kiarabu kufanya kazi za ndani.
Majuzi hapo kuna video ilitapakaa kwenye mitandao ya kijamii...
Rais wa Kenya Dkt. Ruto amesema ukweli ni kwamba Tanzania ndio inauza zaidi bidhaa zake Kenya kuliko zile wanazouza Wakenya Tanzania
Hivyo tutaondoa vikwazo ili biashara ifanyike kwa uzuri zaidi
Chanzo: TBC
Siku chache tu baada ya mtoto wake kuzua dhoruba kwa msururu wa ujumbe wa Twitter uliozusha mgawanyiko, Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameomba msamaha kwa Rais wa Kenya William Ruto.
Akitishia kuivamia Kenya na kuiteka Nairobi, Jenerali Muhoozi Kainerugaba alidai operesheni hiyo ingechukua si...
Nawaambia Wananchi wa Kenya, mjindae, mfunge mikanda!
Kwa dalili na maneno ninayosakia Mh William Rutto ni wazi kabisa anakuja kufanya kazi, kwanza hataki kabisa siasa za kinafiki, Rutto anakuja na itikadi kama za Magufuli! Kama ni Kinyesi cha Ng'ombe atakuambia hiko ni kinyesi usile na katu...
Mwanasiasa wa Kenya Mutahi Ngugi amemshambulia vikali Kikwete kwa unafiki, amedai Kikwete anaenda Kenya kila mara kuwahubiria kuhusu demokrasia huku nchi yake ikiongozwa na katiba ya kidikteta.
Mutuombee…’’ majaji watoa wito huo wanapojitayarisha kutoa hukumu yao
Maelezo ya picha.
Majaji wa Mahakama ya Juu Zaidi watatoa uamuzi wao Jumatatu 3 Septemba 2022.
Kusikilizwa kwa kesi ya kupinga matokeo ya urais kumekamilika Ijumaa huku Naibu Jaji Mkuu Philomena Mwilu akitoa ombi la...
Jopo la raia wa Kenya wamefungua kesi Mahakama ya Ulaya ya Haki za Binadamu (ECHR) dhidi ya serikali ya Uingereza wakiituhumu kwa unyanyasaji wa kikoloni
Kati ya madai yaliyotajwa ni pamoja na wizi wa ardhi ambayo wamedai bado inatumiwa na makampuni ya chai, pia jopo hilo limeilaumu serikali ya...
This comes in the wake of ongoing wrangling for 9th August 2022 general election.
Many kenyans are unhappy with this dispute as it disrupts the smooth run of their businesses.
Leo asubuhi nilikuwa naongea na shemeji yangu mmoja ambae ni afisa wa KRA ananiambia Wakenya wajiandae kulipia gharama za ufisadi.
Unaambiwa William Ruto kawekwa na matajiri hasa jamii ya Wakikuyu kwa ajili ya maslahi yao ya kibiashara. Na unaambiwa Raila Odinga angeingia Ikulu mafisadi...
Hivi mmejaribu kuchukua kura ambazo kila mgombea amepata na kujaribu kuziweka into percentage with 2 decimal places?
Ukitumia kanuni za hesabu mtapata kilekile kilichotangazwa na IEBC.
Ila sasa ukishapata hizo figue huwezi kuanzia hizo percent kutafuta kura maana umezifanyia adjustment ili...
Kituko kikubwa cha karne kuhusu hesabu leo kimeonekana huko Kenya baada ya makamishina wanne wa tume ya uchaguzi waliotangaza kujitoa kwenye mchakato wa kutangaza matokeo ya urais kuja na hoja finyu za ukilaza wa mahesabu.
Mbali na sababu zingine walizozitoa, kubwa lilikuwa ni wao kujenga hoja...
Wakenya lazima wawe na subira. Hakuna njia nyingine ama sivyo inaweza kutokea vurugu wakiwa impatient.
Kuchelewa kutangazwa matokeo does not necessarily mean kwamba kuna mtu anataka kuiba kura. Wapo makarani wa Uchaguzi, ambao kila siku wanapokuwa kazini wanalipwa hela. Kwa hiyo they may want...
Deputy President William Ruto has yet again launched an onslaught against his boss, Uhuru Kenyatta, following a series of remarks made by the Head of State recently. In a bare-knuckle response to alleged threats by President, the DP has fired back at Uhuru telling him to focus on his retirement...
William Ruto amekosoa uamuzi wa Mpinzani wake, Raila Odinga kutoshiriki Mdahalo wa Wagombea Urais katika Uchaguzi wa Agosti akisema kitendo hicho ni kuepuka Uwajibikaji
Amesema Raila si Mgombea halisi na hajashiriki Mdahalo kwasababu anaepuka Maswali magumu. Ruto amedai Mpinzani wake hana...
VISA za kuingia nchi za 26 za Ulaya zimeisha hivyo wakenya waliokuwa wanataka kuingia nchi hizo watasubiri hadi Septemba 2022. VISA za Schengen ina nguvu za kumfanya mtu atembelee nchi yoyote ya Umoja wa Ulaya kwa muda wa miezi mitatu.
COVID-19 yatajwa kuwa sababu ya VISA za Schengen kuadimika...
Ni kawaida kabisa Nairobi kukutana na mtu mwenye akili timamu barabarani akiwa amevaa koti na tai mchana wa jua kali
Ni kawaida kabisa kwa mtumishi mwenye cheo kikubwa kabisa Kenya kuvuta bange, kutafuna miraa au kunywa chang'aa
Ni kawaida kabisa kwa kijana wa Kikenya kufa wakati akijaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.