Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!.
Kuna muda nikiwatazama ndugu zangu na jirani zangu wakenya napata mashaka sana na uelewa wao.
Hivi kinachofanya muandamane na kuharibu biashara za watu ni nini? Hivi mnadhani kuna kiongozi wa Serikali atakuja kuwaletea maisha mazuri kweli?
Mlivyo...
"DP World tunawakaribisha hapa nchini Kenya kuwekeza katika Bandari zetu ila msitegemee kama tutakuwa Mazuzu kwa Kuingia nanyi Mkataba kwa Kukurupuka na bila Kufuata Vipengele vyote muhimu kwa Maslahi ya Kenya na Wakenya wote"
Haya Wewe Mtu umewasikia Wakenya?
Utafiti huo umetokana na kazi iliyofanywa na Taasisi ya Infotrak kati ya Julai 3 na 8, 2023 kwa kuchukua kura za watu 2,400, ambapo 15% ya kura zimesema Nchi inaelekea pazuri wakati 12% wao wamesema hawajui kama Nchi inaelekea pazuri au pabaya.
Asilimia kubwa ya waliopiga kura kuwa Nchi...
Wakenya wakiamua huwa wameamua, tatizo nguvu zote hizi mwisho wa siku zinaishia kuwanufaisha wanasiasa, wanagawana mkate kisha mambo yanaisha, nakumbuka kitambo tulikua tunafanya maandamano yaliyokua yanaleta mazuri kwa taifa, sio haya ya siku hizi ya kuwapa viongozi madaraka......
Mimi si mpenzi sana wa filamu za kiafrika labda za South na zimbabwe kama neria, yellow card, Jerusalem na nyingine na soap operas kama isidingo n.k.
Ila kuna baadhi ya tamthlia za kenya nilianza kujikuta nazipenda miaka hiyo ya 2014/15 kwa dstv lakini nilikuwa nimemezwa zaidi na series...
Nimerudia mara tatu kuangalia tukio hili, ila mara ya nne nikakumbuka kuna wadau huko hebu nikapate kutanua mawazo kutoka kwako.
Kama una bundle fungua ni video ya 5mb, uangalie kwa umakini ili mawazo yako yareply kwa unakini.
☝🏾 Hili tukio la hawa jirani zetu hapo Kenya kurushiwa mabomu ya...
Waziri Mkuu Musalia Mudavadi anasema kwa sasa nchi haiwezi kutatua hali ngumu ya kiuchumi iliyopo katika kipindi kifupi ambacho serikali ya Kenya Kwanza ilikuwa imepanga wakati inachukua madaraka.
Akizungumza Ijumaa wakati wa ufunguzi wa mkutano wa ujasiriamali uliofanyika katika kanisa la ACK...
Watanzania Vibe za Maandamano hatuwezi hilo liko wazi na halihitaji mjadala wa aina yoyote na binafisi nawaone huruma Wakina Mbowe na wengineo wanao piga kelele kutetea watu ambao hawawezi jitetea kamwe.
Watanzania tulizaliwa na uoga na tutazikwa nao, linapo kuja swala la uoga hatuna wa...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amewataka wananchi wa Taifa hilo kutupilia mbali anaouita uzushi wa kuwa amefariki kutokana na Uviko-19.
Hatua hiyo inakuja baada ya siku kadhaa kupita tangu Rais huyo atangaze kukutwa na ugonjwa huo.
Kiongozi huyo wa muda mrefu siku ya Jumanne Juni 13, 2023...
Romania kumuondoa balozi wake nchini Kenya kwa matamshi yake ya ubaguzi
Matamshi ya balozi huyo kuwaita waafrika Nyani yameshutumiwa vikali
Afisa mmoja wa Kenya anaelezea majaribio ya ubalozi wa Romania kuficha tukio hilo kama ‘fedheha’. Photo: TRT Afrika
Katika taarifa iliyotumwa kwa vyombo...
Nlikuwa Paris Ufaransa kwenye Mkutano wa the smartest young people of the World. Nilipitia hapo nikitokea Berlin Ujeruman ambako nlienda msalimia rafiki yangu mmoja wa Kitambo ambaye alikuwa amechanganyikiwa kidogo kuwa na pesa nyingi halafu hajui sasa atumieje so kichwa kikawa kinamuuma...
Katika Kuadhimisha Siku ya Madaraka huko nchini Kenya Rais Ruto kasema anakosa Usingizi akiwaza Kupanda kwa Gharama za Maisha kwa Wakenya na hali Ngumu ya Maisha.
Chanzo: Gazeti la The Standard.
Nami GENTAMYCINE Rais wa JamiiForums namjibu Rais Mwenzangu wa Kenya Ruto kuwa napata mno Usingizi...
Wakuu,
Baada ya habari mbaya za Mchungaji mmoja kusababisha vifo vya zaidi ya watu 40, Nchi ya Kenya imekumbwa na tukio lingine baya linalosikitisha sana.
Kutokana na jinsi video hiyo ilivyo sensitive sitaweza kuiweka hapa. Lakini inamuonesha mama akimchoma visu zaidi ya 100 mwanaye mwenye...
Jameni huu uzombi wa kidini hunishangaza sana, Mwafrika unaingiwa na uzombi unakwenda kwenye nchi ya Mwafrika mwenzako na kulipuka mabomu huko. Yaani hata ndugu wa damu akishaingia kwenye hii dini inabidi kumsahau kabisa ndio keshamezwa, unatakiwa kuwa makini naye muda wote.....Sijui kitu gani...
Mbona nchi yenu iko vizuri, na kilichopelekea kukengeuka ni nini? Haya maandamano naona kama hayana maana yoyote kwa sababu sioni mahala mnapo gombania.
Mmeweka mambo jumla jumla hamtaki kutafuta mchawi wenu mmekaa mnapiga makelele tu.
Endeleeni, msimu wa mvua unaenda kuisha hakuana chakula...
Ama kweli, ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Huu ndiyo uhalisia wa hali zilivyo katika nchi hizi mbili.
Ukiachilia mbali swala la mfumuko wa bei, nina uhakika endapo haya yanayotokea katika shirika la TANESCO na kutesa wananchi kwa migao ya umeme kila kona lingetokea kwa majirani zetu...
Awake! Awake! All Kenyan, Wakenya wasikubali kuendeshwa na huyo mzee ambaye tayari amekwisha kula chumvi nyingi.
Wakenya waamke wasimame imara wasikubali kushawishiwa na kufanya mambo ya kipuuzi, ambayo yataharibu sifa nzuri ya Taifa yao ya Kenya kwa uroho ya madaraka ya mtu mmoja asiyetosheka...
Kinachotokea 254 kwa sasa ni ishara na lama tosha ya kuonesha uimara wa upinzani nchini Kenya. Lakini uimara huu haukuja hivihivi , ulikuja kwa gharama, jasho na maumivu.
Raila licha ya ndoto zake za kuukwaa uraisi pamoja na kuwa anaongoza ngome yabupinzani yenye nguvu kabisa huko KE kuliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.