wakenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Rostam Aziz, Watanzania tukueleweje? Unawauzia Wakenya Gesi yako Bei Chee na kwa Watanzania unatuuzia Bei Juu?

    "Kuanzia Mwezi wa Tano nategemea Kutangaza Kuuzwa kwa Gesi zote nchini Kenya kwa Tsh 500/ ya Kenya ( kama Tsh 9,500/ hadi Tsh 10,000/ tu za Tanzania ) kwani tayari Rafiki yetu kutoka Tanzania Rostam ameshakuja Kuwekeza hapa Kwetu hivyo nataka Wakenya wafurahie Maisha na wapate Gesi kwa gharama...
  2. J

    Hivi Raila Odinga anawezaje kupata wafuasi wengi hivi Kenya? Amewaloga Wakenya na uchawi gani?

    Wakuu kwema? Habari hapo kwa majirani ni mzee Odinga anadai alishinda uchaguzi na anasema ataitisha maandamano makubwa ya kwenda kumtoa Ruto Ikulu Uchaguzi ulikuwa wa wazi na matokeo yote yaliyotoka vituoni na kusainiwa na mawakala wa pande zote yote yalikuwa uploaded online Na kama kuna wizi...
  3. Bemendazole

    Kuna uwezekano mkubwa Wakenya wanatamani utokee muungano kati ya Kenya na Tanzania ila wanashindwa kusema

    Hivi karibuni, Kenya wameonekana wakiimega Tanzania kutoka bara la Afrika na kuanzisha bara jipya ambalo linahusisha Kenya na Tanzania. Taarifa nyingi zinaonesha matamanio makubwa ya Kenya kuwa sehemu ya Tanzania. Je, muungano wa Kenya na Tanzania ni jambo linalowezekana? Wacha muda uongee.
  4. BARD AI

    Ripoti: Wakenya zaidi ya Milioni 6 wanakabiliwa na Njaa Kali

    Ripoti mpya iliyotolewa na taaisi ya Kenya Food Security Steering Group imeonesha idadi ya Wananchi walioathirika na Ukame imeongezeka kutoka Watu Milioni 4.2 iliyoripotiwa July 2022. Pia, ripoti imeonesha zaidi ya Watoto 970,000 wenye chini ya miaka 5 na akina Mama Wajawazito na Wanaonyonyesha...
  5. comte

    Kenya seeks divine help to end crippling, ongoing drought

    With the prospect of a sixth consecutive failed rainy season in the east and Horn of Africa, Kenya's president is hoping the heavens will finally open with the help of a national day of mass prayer on Tuesday. William Ruto announced the plans for the country's first ever day of prayer on Sunday...
  6. N

    Wakenya wanavyonyanyasa Watanzania kampuni ya Unilever Tea Tanzania (Mufindi)

    Wakuu habari za asubuhi? Rejea attachment mbili hapo chini. Mmoja inaonyesha video ya mfanyakazi wa Unilever Tea Tanzania( mufindi) akizuiliwa kuingia ofisini. Attachment ya pili inaelezea mkasa mzima. My Take: Kumekua na unyanyasaji wa Wakenya dhidi ya wa Tanzania kwa muda mrefu sana. Tangu...
  7. TODAYS

    Wakenya kuandamana kupinga ushindi wa Rais William Ruto

    Pamoja na rais wa kenya William Ruto kukejeli maandamano ya Azimio na kuwapiga dongo viongozi wa umoja huo kuwa wamepeleka watoto wao kwenye bunge la Afrika Mashariki, bado wananchi wameonyesha umoja na wao na msimamo kuwa wataandamana. Hapo kabla wananchi walionekana kumuunga mkono Rais wao...
  8. MK254

    Hela inayotumwa na Wakenya walio nje ya nchi yapita mapato mengine yote

    Uraia pacha unazidi kuinemeesha Kenya, Wakenya wanapiga hela huko na kuzituma balaa, yaani wamepitiliza kila aina nyingine ya mapato ya nchi... Kenya is now earning more foreign exchange from diaspora remittances than each of its major exports – coffee, tea and horticulture – in spite of...
  9. S

    Hivi kuna wabahiri kama Wakenya kwenye kulipa mishahara?

    Hawa watu wanapenda sana kitonga, yani wanataka ufanye kazi kubwaaaa kwa ujira mdogo. Sio hivyo tu pia wana tabia ya kufanyisha watu kazi masaa mengi bila kulipa overtime. Kama unafanya nao kazi hawa raia hakikisha michango yako ya HESLB na makato ya NSSF yanapelekwa sehemu husika kila mwezi...
  10. Internet-Money

    Swali kwa Wakenya

    Kwa wale wakenya, wapenzi wa movie , Je Dj Afro bado anaendelea na kazi ya kutafsiri. Je ana movie mpya za 2022. Je sehemu gani Nairobi , nitakapoweza kupata CD zake ?
  11. Replica

    Utajiri wa matajiri wanne Kenya unazidi Wakenya milioni 22 wakiunganishwa kwa pamoja. Tanzania vipi?

    Oxfam imesema matajiri wanne nchini Kenya, utajiri wao unazidi karibu nusu ya wakenya wote(40%) wakichanganywa kwa pamoja. Matajiri hao wana utajiri unaofikia Ksh. bilioni 333( Tsh. trilioni 6.26). Utafiti unaonesha ukuaji wa tofauti kati ya walio nacho na wasio nacho ambapo wakenya 130...
  12. comte

    Hivyo ndivyo pengo la wakenya wachache wenye ardhi na wakenya wengi wasio na ardhi lilivyozaliwa

    Samahani huwa sipendi kutafasri maana huwa napoteza maana. --- Secret land deal that made Kenyatta first president Fresh evidence pieced together by the Sunday Nation confirms widespread speculation that Kenya’s first president Jomo Kenyatta entered a secret pact with the British government not...
  13. Mama Edina

    Mwangi Kainjiru na wakenya wanaitaka nini Tanzania?

    Wana jamvi. Kuna Crip Moja inasambaa ikimuonesha huyu bwana na mwenzie wakiitolea mfano Tanzania. Takwimu zilizotqkana na tafiti si ajabu zikabeba ukweli ila majirani Hawa wanaonekana kutumia kadi hiyo kuipakannchi hii tope la mkaa. Mb ni kubwa kui upload humu ila inatia hasira Sana...
  14. K

    Tanzania ingekuwa na Katiba kama ya Kenya maendeleo yangeongezeka sana

    Watanzania ni lazima tubadilike hatuwezi kusubiri kiongozi mmoja mkali aje abadilishe nchi yetu. Nchi yetu Tanzania inaweza kukuwa na kuendelea kwa kasi kubwa kama tu tutaweka vitu kama vya Kenya. vitu hivi ni 1. Katiba kama ya Kenya 2. Mahakama kama ya Kenya Yaani hivi vitu viwili...
  15. P

    Watanzania, tunaujasiri tena wa kusimama mbele za Wakenya kuwaringishia SGR yetu?

    Viongozi wetu ki ukweli mnajua kutuaibisha saaana yaani! SGR ya Wakenya tulikuwa tukishinda hapa kuwacheka na kuwalingishia ya kwetu kwamba, lao linatembea mwendo wa kinyonga, na ya kwetu itakuwa mithili ya bombardier yaani! Mlivyotufanyia viongozi wetu kwenye hizo behewa tuu, inatosha kabisa...
  16. MakinikiA

    Wakenya si wa kawaida wanapiga deal mibuyu.

    820–$2,500) for each one.
  17. BARD AI

    Rais Ruto anahitaji Tsh. Trilioni 51 kutekeleza ahadi zake kwa Wakenya

    Kupitia ripot ya Tathmini ya Athari za Gharama ya Mpango wa Mabadiliko ya Kiuchumi wa Bottom-Up 2022 hadi 2027', ofisi ya bajeti inakadiria kutumia fedha hizo kutekeleza kikamilifu ilani ya Rais Ruto ndani ya miaka 5 ya muhula wake. ====================== The Kenya Kwanza campaign clarion call...
  18. The Sunk Cost Fallacy 2

    Bobi Wine kwa Wakenya: Defend your Constitution before it's too week to defend you

    Nawasalimu kwa jina la JMT. Bobi Wine ambae ni Kiongozi wa Upinza huko Uganda amewatahadharisha Wakenya kuwa Makini na genge la Ruto kupitia wabunge wa chama chake Cha UDA wanaotaka Bunge libadili Katiba ya Nchi hiyo na Kuondoa Ukomo wa Urais wa vipindi vya Miaka 5 na kuweka Ukomo wa umri wa...
  19. voicer

    Watanzania tunapowasifia Kenya kwa Demokrasia pevu, pia tutafakari na hili

    Wakati Huku TZ tukiwasifia kwa Demokrasia pevu wakenya, pia tutafakari na hii: 41Bilions K/shs,+ 4.1bilions K/shs,+700 milionsK/shs,+ 851 millions, K/shs.+800millions, K/shs! Ebu jumlisha hizo pesa, kisha Convert hizo pesa kuja Tanzania Shillings, halafu unaambiwa ni ukwasi wa watu waliowahi...
  20. BARD AI

    Wakenya wapewa saa 24 kukamilisha usajili wa line kabla ya kuzimiwa mawasiliano

    Watumiaji wa Simu nchini humo wamebakiwa na chini ya saa 24 kukamilisha usajili wa laini zao za simu kabla Mamlaka ya Mawasiliano (CAK) haijazima huduma za mawasiliano yao. Kwa mujibu wa CAK watumiaji simu na kampuni za mawasiliano waliongezewa muda wa miezi 6 kuanzia April 15, 2022 ambao...
Back
Top Bottom