wakili boniface mwabukusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TLS: Tutaendelea kumsaidia na kusimama imara na Wakili Boniface Mwabukusi

    Wakuu, Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) limesema litaendelea kusimama imara na kumtetea Rais wa chama hicho, Wakili Boniface Mwabukusi, ambaye sasa yupo chini ya upelelezi wa Jeshi la Polisi pamoja na shauri la maadili. Msimamo mkuu wa TLS ni kwamba baraza hilo...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: CCM ishauri Serikali ifute kesi zote zenye viashiria vya kisiasa kama hatua ya kwanza ya maridhiano

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniphace Mwabukusi, akizungumza leo Septemba 8, 2026, kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa nchini ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), ameeleza kuwa kutoridhishwa kwa wananchi na hali ya kidemokrasia na...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Mahakama iruhusu baadhi ya kesi zirushwe mubashara, isipende kuendesha mambo gizani

    Akizungumza na Jambo TV leo Januari 09.2025, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema ni vyema Mahakama ikakubali kwenda sambamba na ukuaji wa teknolojia Duniani ulivyo kwa sasa ambapo kufanya hivyo haiwezi kuwa tatizo linaloweza kuathiri mwenendo wa kesi...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwabukusi: Kuiba ngoma ya kijiji inaweza isiwe tatizo bali pa kuipiga kwa amani bila wanakijiji kukusikia!

    Anaandika Wakili Boniphace Mwabukusi kupitia ukurasa wake wa X: Kuiba Ngoma ya Kijiji ina weza isiwe tatizo, changamoto kubwa ni kutafuta mahali pa kuipigia kwa Amani bila wanakijiji kukusikia (Msemo wa wahenga). HAKI, UKWELI NA UWAJIBIKAJI ndiyo pekee vitatutoa hapa tulipo katuka mkwamo huu...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali imuachie Lissu, Mahakama isitumike kama kokoro la kuvulia samaki na kuharibu matumbawe na tunasema hivi ili kuliponya Taifa

    Wakuu habari, Tufuatilie live ya Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi akitoa tamko Muda huu https://www.youtube.com/live/u4jupslBLE8?si=gvSCRvis826W9uvQ Wakili Boniface Mwabukusi: Sisi kama TLS tunawajibu wetu wa kisheria na katika kutekeleza wajibu wetu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…