Habari zenu ninyi nyote.
Hivi mfano umemuuliza Mungu swali au umemuomba kitu, utajuaje kuwa amekubali, amekataa au amekuambia subiri?
Utatumia njia gani kujua? Ya ndoto, maono au?
Pia, hiyo ndoto au maono, utajuaje kuwa vinatoka kwake, na ni yeye ndiye anayesema nawe?
Utajuaje si shetani...