Wakuu habari.
Mungu wangu awatie nguvu na moyo wa mapambano awajalie neema na baraka.
Naomba kujua
Chumvi inahusika vipi kutibu tatizo la tumbo.
Jirani yangu(mpangaji mwenzangu) dada wa umri kati ya miaka 15 hadi 20 kanigongea saa kumi kamili usiku anahitaji chumvi na sukari mama yake anaumwa...
Wakuu naombeni msaada wenu kuna kiwanja niliachiwa na baba yangu miaka ya nyuma kipo Tanga wilaya ya Lushoto nahitaji kuuza hilo eneo sasa kwa bahatimbaya hatimiliki Sina sasa nawezaje kuuza naombeni ushauri
Wakuu nasumbuliwa na korodani lakin kila nikienda hospital hawaonj. Wanaishia kupiga ultra sound na kunipa ant pain.
Lqkin mm naamini ugonjwa upo maana tqtzo lilianzaga na UTI. baadae ikafika kwa korodan.
lakin UTI ilipona ila hizi ndude had leo zinauma
Za jioni wakuuu....................................
Anyway weekend iko poa?
Nimekaa hapa nikakumbuka siku ya kwanza nilipoingia barbershop ebwanaaa eeeh ilikuwaa hiviii 👇👇
Niliona saloon nyingi zimefungwa sasa na nilikuwa nataka ninyoe siku hiyohiyo coz kesho ake nilikuwa na safariii...
Miongoni mwa wafalme waliokuwa na nguvu sana kipindi hicho alikuwa mfalme Daudi. Nguvu kubwa na alikuwa mzee wa totozi sana lakini pamoja na hayo mungu alimpenda sana, kwa sababu gani? Ni kwa sababu alikuwa mnyenyekevu mbele zake.
Ndiyo! Mungu hupenda watu wa aina hii, yaani unapokosea, ulijue...
Asalamwaleko!
Kumetokea emergency ikalazimu wife kusafiri kwenda mkoani, atakaa wiki 2 huko. Sasa hapa home tuko mimi na housegirl tu, yaani wawili. Kwa kweli nategwa sana na huyu mtoto. Muda wote yuko na kanga moja nikimwambia anasema anaona joto. Jana nimerudi saa 7 usiku naona anaangalia TV...
Ni hivi nna mwezi Natumia samsung hapa alinipa bro, ila nimegundua hii simu ali root baada ya ku downlod app ya halopes na mpes sasa natak niondoe
je nikiondoa hiz file nilizo nazo zitafutika? Mfano nyimbo, pc n.k. ni hilo tu
Chief-Mkwawa
Wadau hamjamboni?
Mahandaki maalum Kwa Viongozi wakuu Israel yameansaliwa na idara ya ujasusi ya Jeshi la Israel almaarufu shin bet
Mahandaki hayo yapo jijini Yerusalemu na yanauwezo mkubwa kuhimili mashambulizi ya makombora na viongozi hao watasalia huko kwa kipindi chote cha vita
Taarifa...
Mada hapo juu wakuu.
Je yupo aliyewahi kikopq benki ya NBC anipe experience. Msaada
https://www.jamiiforums.com/threads/benki-ya-nbc-wajirekebishe-watakuja-kuua-watu-kwa-presha.2213335/
Kwanza itakua ni wendawazimu mkubwa Kwa WATU tunaowaita Mawakili kua Wala Rushwa na Kupokea Rushwa ili mradi kura wampigie mtu anayetakiwa na Serikali.
Pili, Ni Ujinga wa kiwango Cha juu sana ikiwa Serikali itahitaji Kuiongoza TLS.
Tatu, Hili la Online TVs zote kua na Mtangazaji Mmoja, ni...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimeona ni vema tukawajua angalao kwa ufupi tu Viongozi wakuu wa magaidi wa hamas wakiosalia hai hadi leo Agosti 1/2024
Hawa ndiyo Viongozi wakuu wa magaidi wa hamas waliopo hai leo hii huku msako mkali ukiendelea dhidi yao
Wengi wao wamenusurika kimaajabu majaribio...
Habari Wakuu,
Naombeni mnisaidie ni chuo gani kizuri cha private ngazi ya diploma kwa fani ya nursing na clinical medicine ambacho kina hostel za bei rahisi au hostel za bure?
Chuo kisiwe kanda ya ziwa wala kusini mwa Tanzania.
Naombeni msaada pls!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.