Sijafika Iringa mkoa naousikia mzuri sana mimi napenda kujua upande wa mito inayotiririsha maji mwaka mzima na vipi kuhusu majengo yaliyopo Iringa majengo ya kweli yamekwenda hewani.
Naombeni picha za mji wa Iringa wakuu kuanzia Ruaha na Mjini na maeneo ya mabonde yanayoleta maji Rufiji.
wakuu Za jioni..........
Leo nimefikiria nimeona niwaulize na nyie, hivi kile tunachokionaga kinapaa angani Huku kinatoa moshi nyuma ni ndege au roketi???
Niko apa kuwasikiliza,
Nawasilisha.
Habari wana JF,
Husika na kichwa hapo juu. Naomba kufahamishwa ada ya diploma ya nursing kwa mwaka ni shilingi ngapi?
Pia, gharama za hostel zao ni shilingi ngapi kwa mwaka na je, mwanafunzi anaweza pata hostel kwa miaka yote mitatu?
Naomba kwasilisha, mnaojua mnisaidie!
Katiba inasema hivi au chalamila ana katiba yake mwenyewe inayomuongoza na ni kwanini viongozi wanaongea hivi na hakuna hatua zinazochukuliwa?
"8.-(1) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nchi inayofuata misingi ya demokrasia na haki ya kijamii, na kwa hiyo -
(a) wananchi ndio msingi wa mamlaka...
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela amekabidhi magari matatu mapya kwa Wakuu wa Wilaya ya Geita, Mbogwe na Nyang’hwale yenye thamani ya zaidi ya Tsh. milioni 840.
Akikabidhi magari hayo katika Kata ya Bombambili Halmashauri ya Mji wa Geita, Shigela amewataka Wakuu wa Wilaya kuyatumia vizuri...
Wakuu nina ndugu yangu ana kisukari mwaka wa tano sasa toka agundue kuwa ana huo ugonjwa
Afya yake kimuonekano yuko poa kabisa huwa anatumia sindano na dawa lakini tunatafuta kama kuna uwezekano wa kutibu akapona kabisa
Wakuu humu kuna siku katika kusoma comments mbalimbali nilipata kusoma ya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha wanajenga vituo vya bodaboda vya kupaki pikipiki vyenye uwezo wa kuzuia jua na kuwakinga na mvua wanaposubiri wateja.
Mhe. Mchengerwa ametoa...
Wakuu wiki iliyopita nilienda TRA kufunga biashara yangu baada ya kuona makadirio niliyoandikiwa ni makubwa mno na hayaendani na biashara.
Mwanzo Nilienda huko TRA kuomba kupunguziwa kodi tawi lao la chanika ilala. Kama kawaida wakamtuma afisa wao aje akague biashara yangu ili aone biashara hii...
Inapotokea snario za kutoelewana ndani ya nyumba nani anapaswa kujishusha? Hapo awali nilikua hivyo lakini nikaona napelekeshwa kama gari bovu. Karibuni.
Habari wakuu naombeni msaada wenu
Nilifukuzwa kazi nikapewa barua ya kufukuzwa na inaelekeza nitapewa madai yangu yote ndani ya siku kumi na nne (14)za kazi, ila Leo ni siku ya 16 sijalipwa chochote je naweza kuwashtaki waajili wangu.
Salamu wakuu
Naomba kama kuna mtu anatumia gb whatsapp mpka leo anipatie link humu niidownload maana nikitumia ya kawaida naambiwa download the official whatsapp ijapokua ni ile ya kutoka play store
Katika pitapita zangu vijijini kulikuwa na ligi inaendelea katika kijiji kimoja wapo hapa nchini Tanzania.
Niache unafki nimevutiwa sana na uchezaji wa vijana wawili katika ile ligi.
Mmoja ni winga.
Ni dogo wa miaka kama 17 hivi ni 17 kweli sio za mchongo.
Dogo kipaji anacho, kwanza ana...
Wakuu, mimi nimechoka kupiga puli, nimechoka kulala peke yangu, nimechoka kuvaa nguo za kurudia, nimechoka kula kwenye mgahawa naogopa kulea watoto nikiwa mzee, mtu mwenye dada au ndugu wa kike tupeane connection mimi niko tayari kuoa.
Umri wangu miaka 32.
Kazi bado sina ila najishughulisha na...
Hii ni orodha ndefu ya baadhi ya viongozi wa vyama visivyo vya ukombozi waliokaa muda mrefu zaidi katika madaraka ya vyama vyao kwa mafanikio makubwa sana.
1. Fidel Castro- miaka 46, Communist Party of Cuba.
2. Lee Kuan Yew- miaka 38, People's Action Party, Singapore.
3.Viktor Orban-Miaka 28...
Mada imejieleza wakuu.
Mke shemji enu na WiFi wifu. Ana mtoto mwezi sasa ushauri wa madaktari naomba asizae tuseme asibebe mimba miaka minimum 2yrs itatakiwa.
Kwa sasa anaonekana amesha pata ujauzito. Tulitumia p2 ikawa bado mwezi unayoyoma haoni period.
Nilitumia p2. Je, atumie tena p2...
Dirisha la maombi ya vyuo vikuu linafunguliwa tarehe 15 mwezi ujao. Kwa tunaotarajia kuomba OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA tukutane hapa tujadili mawili matatu, pia wenye uzoefu na Open University nawakaribisha mtupe uzoefu kuhusu chuo hiki kwenye mode of delivery, field na mengineyo.
Nawasilisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.