wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I LOVE YOU DUCE

    Sitaki huruma yenu, lakini Wakuu maisha yananigonga vibaya sana!

    Maisha yamenitenda ubaya sana. Mwezi ya nne sasa nakula mlo mmoja tu Kwa siku(Wakati wa usiku). Ee Mungu unae watajirisha wengine naomba nikumbuke. Mimi bado kijana mdogo mwenye ndoto nyingi sana, Mungu nikumbuke. Nimekonda, hadi mwezangu wanadhani naumwa, na pepesuka hali mbaya sana. Venue...
  2. BabuKijiko

    Wakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuoa Tanzania?

    Wakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuoa Tanzania?
  3. Ivan Stepanov

    Yamenikuta wakuu, nimetongozwa kwenye daladala

    Wala sina mengi ila nimeshangazwa sana. - Ni vile tu siwezi sema shkamooi kwa hivi vibint ya 2000's, ila yamenitokea na yamenikuta - Ni leo leo wala sio juzi au jana nikiwa katika harakati zangu za kila siku- yule mtoto hazidi miaka 24, hazidi hapo kwa uzoefu wangu wa kuwajua wanawake, imagine...
  4. E

    Naumwa wakuu, nina fangasi sehemu za Siri

    Ndugu zangu naumwa fangasi kwa muda sasa ila pia sehemu ya kichwa cha uume kumekuwa kama na Ile ngozi iliyopo kwenye korodani. Sasa selewiii tiba ni nini.
  5. Mkalukungone mwamba

    Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo?

    Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo? Tupia maoni yako hapo?
  6. issac77

    Wakuu msaada wa Ngoma nzuri ya kujifariji na kumsimanga Ex

    Nataka nidownload nizijaze kwenye flash niwe nazigonga asubuhi na jioni wakati nafanya home workout. Msaada tafadhali waungwana!
  7. A

    Nauza Tv mbili (Hisense) na Ps3 kwa Tsh. 900,000 tu!

    SOLD....
  8. Ushimen

    Zawadi imesababisha ugomvi na wife, leo nimenasa wakuu

    Wakuu..... Sina haja ya kuanza na salam, maana nimevurugwa. Ipo hivi..... Kwasasa nimehamishiwa Dar kikazi. Sasa one time nilialikwa na mwanangu Tupa niende kwenye pare ya kutimiza miaka 10 ya ndoa na mke wake, so kuna mambo kadhaa nilijifunza pale nami nikaondoka nayo. Sasa skumoja nikiwa...
  9. Hussein Obama

    Natafuta ajira za kibarua, nipo Mbeya

    Habarini wakuu, Naomba kwa anaefahamu sehemu wanatoa vibarua kwa siku Mbeya, iwe ni kiwandani ama kwenye miradi ya ujenzi, barabara n.k naomba anisaidie conection au utaratibu wa namna ya kupata hivyo vibarua nina uhitaji nacho sana nawaomba wakuu kwa waliopo Mbeya.
  10. Mshamba wa kusini

    Wakuu naomba mnieleweshe concept ya Mungu katika ukristo

    Habari 1. Wengine wanasema kuna Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu 2. Wengine wanasema Mungu mmoja 3. Wengine nasikia wanasema ana nafsi tatu Na je kama ana nafsi tatu kwa nini munamuabudu sana YESU kuliko huyu Mungu Baba Lengo ni kuelewa kipi ni kipi maana naona kama wanatofautiana sana...
  11. IBRA wa PILI

    Msaada wakuu wale wataalamu wa simu

    Kati ya hizi simu ipi itafaa Nokia G20_128gb 6 ram Vivo v20_ 128 GB 6 ram Redmi pocco X3 _128GB 6 ram Redmi note 12 5g_ 128gb 6 ram N.B zote nimeangalia features zake zaidi ipi iko vizuri wataalamu. Chief-Mkwawa
  12. SUBMAC

    Huenda wasanii/watu maarufu wetu ndio wakawa ‘ombaomba’ wakuu ama ‘the most state-priviledged’ hapa nchini

    Amani iwe nanyi! Kwa ufupi tu, nimejaribu kuwaza jinsi tabaka hili la watu maarufu, wakiwemo wasanii, linavyoishi kwa kututegemea sisi wananchi na kodi zetu. Msanii akiwa ana-rise to fame, ataomba support ya mashabiki (sisi) na hata serikali (kupitia mamlaka zinazowahusu) ili afike...
  13. moja mbili tatu

    Wakuu tupeane mbinu za kupata 'mishangazi'

    Wakuu, unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana, halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda vibaya. Hapa mi namaanisha mishangazi ya kuanzia miaka 45 na kuendelea.
  14. BEST 001

    Hili Battle la Kendrick Lamar na Drake mnalionaje wakuu sio kwamba litaishia kubaya?

    Picha: Kushoto ni Kendrick Lamar, kulia ni Drake (Credit: Getty images) Baada ya gumzo kubwa kutokea pale metro na future kumshirikisha KENDRICK LAMAR kwenye track yao ya LIKE THAT na Kendrick Lamar kutema shit kubwa sana kuhusu BIG 3 na kuwa yupo BIG mwenyewe , ilimuumiza kichwa sana Drake na...
  15. B

    Msaada: Simu gani ina rekodi sauti vizuri ambayo naweza kuitumia ku record content you tube?

    Nahitaji simu ya kawaida kabisa bajeti yangu laki na 30. Kikubwa iwe ina uwezo wa kutoa audio inayo sikika vizuri. Iwe Type C ambayo inaweza kutumia vile vi microphone vya sh elfu 25. Nakumbuka mwaka 2017 nilinunua kisimu cha promotion pale Mlimani City cha VODAFONE. Nilikinunua sh elfu...
  16. NALIA NGWENA

    Wakuu msaada kwenye tuta: PC yangu inanyonya sana MB nini tatizo ?

    KICHWA Cha habari kinajieleza wakuu yaani naeweza kufungu app ya JAMII forum Lakini MB zinatembea vibaya mno katika GB 4 zinakauka fasta. Wakuu inaweza kuwa shida Nini na nifanye Nini Kama Kuna setting nimejichanganya nisaifieni wakuu. Nawsasilisa swali
  17. Mzee makoti

    Nikiongea muda mfupi koo linakauka na koo linaanza kukwaruza

    Ni hivi, Mimi nikiongea sana au hata story yakuadithia kwa dakika kadhaa huwa koo linakauka na sauti inapotea na kukwaruza kwaruza, Ni kwann eti? Au kuna chakula natumia ndo chanzo cha yote,maana bia sio mnywaji sanaa,inaweza kupita miezi au mwezi nikanywa tatu au nne tu,
  18. MK254

    Hofu yazidi kutanda, Iran yaanza kutorosha wakuu wake kutoka Syria

    Tatizo Israel hufanya baadaye mnapata matokeo, hivyo haijulikani watafanya wapi au kivipi, hofu imeanza kutanda kote, Iran imetorosha makamanda wake kutoka Syria, pia viongozi wa Hezbollah wameanza kufichwa....... Iran pulling senior officers out of Syria As part of those preparations, Iran has...
  19. Heparin

    Sophia Mfaume: Wakuu wa wilaya hatuna Magari, tunaazima Halmashauri na kwa RAS

    Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Sophia Mfaume Kizigo amesema Wakuu wa Wilaya hutumia magari ya kuazima Halmashauri na kwa RAS na kwamba leo hutumia gari hili, kesho lile na wakati mwingine huwa wanapanga ziara huku mtu mwenye gari akitaka kulitumia pia. Ameyasema haya kwenye Mtandao wa X wakati...
  20. Erythrocyte

    Magari 56 ya Wakuu wa Wilaya kununuliwa mwaka wa fedha 2024/25

    Hii ndio Taarifa iliyokuja leo kutokea Bungeni, kama ilivyotolewa na Mohamed Mchengerwa ambaye ni Waziri wa TAMISEMI. == Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mwaka 2024/25, TAMISEMI imepanga kutumia shilingi bilioni 190.57 kwa ajili ya ununuzi wa magari ya Viongozi wa Mikoa na...
Back
Top Bottom