Imekuwa kawaida sana kwa walimu kuanzia chekechea, sekondari kasoro labda vyuoni tu. kupenda sana kuomba omba wazazi pesa mara nimekwama, mara naazima.
Mimi kama mzazi nimeshuhudia walimu wa shule moja ya seminary za miaka hii maana seminari za zamani kulikuwa hakuna walimu wanaopiga mizinga ...
Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo, amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki cha likizo.
Kwenu wadau, naombeni mwongozo kuwa kuna ulazima wa mtoto kusoma likizo shuleni?
Habri Aliye wahi kuomba Tutor grade ii of english for NTA level 6 pale ajira PORTAL au curriculum developer ii pale TIE kupitia ajira PORTAL Naomba anisaidie nondo na jinsi maswali yanavyo toka au kama ana maswali na notes zilizopita naomba ani save 🙏
Habarini wadau.
Naongea kwa masikitiko makubwa hela za likizo mpaka sasa wilaya nyang'hwale mkoa wa geita mambo ni kimya .
Hivi nyie maafsa mnaohusika mbona hamna huruma jamani tumefunga tunaingia wiki ya pili lakini mpaka muda huu mmekaa kimya tukifatilia mnadanganya eti mtandao unasumbua...
Baada ya mgomo wa madaktari Tanzania ulioacha vifo vingi na kufanikisha maboresho mengi katika sekta ya Afya miaka kadhaa iliyopita Sasa na Walimu nao wamekuja na mgomo baridi usioonekana kwa haraka kwa watu wenye akili ndogo
Walimu wa Tanzania ni kama wapo katika passive resistance na mgomo...
Shule ya Msingi Kitonga iliyopo kwenye Halmashauri ya Jiji Dar es Salaam (Ilala) iliyopo Kata ya Msongola, Kitonga ina Wanafunzi zaidi ya 4000 ambao wanatumia madarasa 13 huku wakitegemea Walimu 15.
Utaratibu wa shule hiyo Wanafunzi wote uripoti asubuhi ambapo baadhi ya Wazazi wenye Watoto...
Anonymous
Thread
dar
kitonga
madarasa
msingi
shule
shule ya msingi
walimu
wanafunzi
Habari wakuu.
Tunapozungumzia kufundisha Literature tunazungumzia walimu wabobevu wa lugha ya kiingereza kwasababu hakuna fasihi bila lugha.
Kwa muda mrefu nimekua nikitatizwa na upungufu wa walimu wa somo la English literature mashuleni. Hivyo nimesukumwa kufuatilia suala hili kwa undani na...
Sijajua kwanini ,
Kwa manufaa ya nani!
Dk Msonde (naibu waziri upande wa elimu) anazunguuka nchi nzima kwa kile anachoita kuwasalimia walimu wenzake, lakini ndani yake kuna agenda ya kuwajaza matumaini HEWA walimu,
Na sana ni zile story za vifaranga vya kuku kunyonya kesho!
Iko hivi..
Baada...
Maelezo ya Mfumo:Programu hii inalenga kuhamasisha na kutumia nguvu kazi ya ndani, ikiwa ni pamoja na wahitimu wa vyuo vikuu, walimu wastaafu, na wataalamu wengine wenye elimu na ujuzi wa kufundisha ili kujitolea kama walimu kwa muda maalum katika shule za msingi na sekondari...
Mikopo inawadhililisha kila kona ya nchi.
Kampuni za Microfinance zinawakopesha wanashindwa kulipa.
Wanashitakiwa kila kona na hii ni aibu kubwa kwa mwajiri wao maana inaonekana hawallipi vizuri.
Serikali imekuwa ikiboresha miundombinu ya shule za msingi na sekondari hapa nchini Tanzania ikiwa ni pamoja na ujenzi wa shule mpya za msingi na sekondari katika maeneo mbalimbali ya Tanzania.
Pamoja na jitihada hizo bado kumekuwa na changamoto kubwa katika utoaji wa vifaa tosherezi na ugawaji...
Mwalimu mkuu/Mkuu wa shule anaingiziwa hela kwenye akaunti ya shule. Anaandikiwa barua ya kukaimishwa uafisa masuhuli na mkurugenzi ili asimamie kikamilifu fedha hizo zifanye kazi lengwa. Mpaka hapa, safi tu.
Anatakiwa aunde kamati mbalimbali zinazoshirikisha walimu wenzake, watendaji wa...
Hapo Mimi huwa sielewi kibali tayari, nini huwa kinakwamisha au bajeti na mchakato kuchambua maombi utachukua mda Gani na hao watumishi wapya mfano Walimu wataripoti lini au mwezi wa 9? Au Kuna nn kama Mhe. Rais ametoa kibali?
Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja.
Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu kama kujua idadi ili kugawa kanzu, Juzuu na mambo mengine mazuri kama udhamini Nk, pia yaweza kuwa na...
Mwanaume ameaminiwa na Mungu na kuwekwa kuwa kichwa cha familia.
Kichwa ndio Injini ndio ubongo wa familia. Kwa mtazamo huu Rasilimali na vipato vyote vya familia vinapaswa kuwasilishwa kwa kichwa mara tu vinapopatikana.
Mwanamke hata uwe CEO wa Google(kampuni inayoongoza kwa kulipa mishahara...
Imekuwa kilio kisichokua na majibu miaka nenda rudi suala la mishahara ya walimu, pamoja na polisi katika kuboresha mishara yao. Japo Kuna watu wanasema inatosha ni sawa ila bado haitoshelezi ukilinganisha na kazi wanayo fanya kila siku. Hii husababisha Mambo mbali mbali mbali Kama...
Walimu ndio wanaojazana kwenye sherehe za Mei mosi na fulana zao za CWT, sijuagi wanafuataga nini maana hakuna la maana wanalopambaniaga kwa masilahi yao, haya mwakani mvae tena fulana zenu mkapigwe na jua pasipo faida.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.