walimu

  1. Kayabwe

    Zoezi la upandishwaji Madaraja kwa walimu haliendi kwa haki

    Kwanza naomba nimpongeza Raisi wetu wa Jamuhuri ya Serikali ya Tanzania, Samia kwa kuruhusu walimu walipokuwa wamesitishiwa vyeo vyao waserereke. Ila zoezi haliendi kwa haki, Kuna watu walianza kazi miaka ya nyuma na waliguswa na usitishwaji wa upandishwaji lakini hawajaserereshwa. Sasa hili...
  2. Mpwayungu Village

    Pre GE2025 Waliochaguliwa kwenye kuandikisha daftari la kudumu la wapiga kura ni Walimu tupu

    Walimu acheni tamaa. Hizi fursa za muda mfupi achieni majobless, mbaya zaidi kwakua assessment inafanywa na watu kutoka halmashauri basi mwajiri wao anawadaka ili walimu tu maana watumish wengine hawajaomba kwasababu wanajitambua nasio mapunguani Walimu mbona mnapenda kujidhalilisha ahseeeee...
  3. Mpwayungu Village

    KERO Utaratibu wa wanafunzi kwenda shule hadi Jumapili udhibitiwe

    Watoto mnawalazimisha kwenda mpaka Jumapili wasipokuja mnawachapa. Jumamosi na Jumapili watoto wanaenda ibadani nyinyi mnawaza kufundisha tuu sijui akili zenu zikoje. Tafuteni kazi nyingine nje ya ualimu mnatia aibu mpaka nafasi za kuandikisha daftari la kudumu la wapiga kura mpoo. Mnafosi...
  4. Superbug

    DOKEZO BANK ya ABC inadaiwa kutapeli Walimu

    Hii bank kuna walimu wanaipigia kelele kwamba wanakata deductions kabisa za makato ya mkopo ambao hawajautoa kabisa na wakipigiwa simu wanajibu kirahisi shida mfumo. Sasa kama shida ni mfumo mbona kwenye kukata tena ambacho hamjampa muhusika mfumo hausumbui? Vyombo vya dola chunguzeni hii...
  5. Mpwayungu Village

    Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Hili la walimu kufanya mtihani ndowapewe ajira naunga Kwa mikono miwili, niliwahi kupendekeza hili kwamba kwanini walimu hawafanyiwi written interview ambayo kimsingi ndomtihani wenyewe Ukienda shule za private ambazo ni vinara wa kuongoza mitihani ya taifa, walimu wao wanapewa mitihani kabla...
  6. William Mshumbusi

    John Pambalu na Wana-CHADEMA acheni kuwakebei walimu kuwa hawajitambui kisa Mwabukusi nafuu yao kuliko nyie

    CHADEMA wapo kuvunja vunja hoja, umoja na Malengo ya upinzani. Wao ni kuponda, kukebei, na kutukana kila anayeshindwa kufanya jambo kama wao wanavyotaka au aliyekosea. 1. CHADEMA wao Wote walifurushwa bungeni kwa nguvu ya dola je nani aliwabeza hahaha. 2. Wabunge wenu Akina mdee mpaka leo...
  7. Riskytaker

    Walimu ndio kada ya watumishi wanaokula kwa halali

    Majority ya walimu kazi yao haina madili,no connections no gape ya upigaji pesa ni wao chaki, Na mshahara wao kiduchu. Maisha ya kuridhika na kidogo chao ndo furaha yao hawakat tamaa wanapiga kazi. Wengi wao wapo vijijini ndani ndani huko na pikipiki zao asubuhi na jioni wanabebana kwenda na...
  8. THE FIRST BORN

    Moja ya Taaluma ambayo inaendelea kuwaweka CCM Madarakani Ualimu Wangekua kama Madaktari na wanasheria CCM ingekua out zaman sana

    Sipo hapa kudhibitisha hili..hili lipo wazi na lishadhibitika mara nyingi sana. TLS ashawahi shinda Lissu Jana kashinda Mwambukusi hawa wote waliwabwaga Machawa wa Ccm. The same Madaktari washawahi itikisa hii Nchi hadi wakaanza wafanyia ukatili NB:Yule Daktar Ulimboka. Hii Nchi taaluma moja...
  9. Determinantor

    Chama cha Walimu wajifunze kutoka TLS

    Uchaguzi wa Chama cha Walimu huwa ni Aibu tupu, hebu wajifunze kutoka TLS. HONGERA TLS Hongera Mwabukusi
  10. Kyambamasimbi

    Walimu mlioomba ajira mpya jiandaeni na interview, hii itaondoa malalamiko. Hongera serikali

    Rejea kichwa Cha thread...... Serikali Iko vizuri ni wabunifu.... Walimu mlioomba ajira mpya jiandaeni na interview, hii itaondoa malalamiko. Hongera serikali
  11. Cute Wife

    Pre GE2025 Walimu watakaofaulisha Mbeya kupelekwa Dubai

    Kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera kuwapeleka walimu 10 wa shule za msingi na sekondari Dubai kwa watakaofanikisha ufaulu mwakani, imeonekana kuwaamsha walimu kila mmoja akiahidi kufundisha kwa bidii ili kupata nafasi hiyo. Akizungumza leo Julai 16 katika kikao cha tathimini ya elimu...
  12. A

    KERO CWT Ubungo wanatulazimisha walimu kuwa kwenye chama. Tunakatwa mishahara kwa lazima

    Kumekuwa na uonevu mkubwa sana wa CWT UBUNGO ikilazimisha kuwakata walimu mishahara kama michango ya chama bila idhini ya wahusika Wala makubaliano. Na hata wanapoomba kusitishwa Kwa michango hiyo hawasikilizwi au kupewa mlolongo mrefu wa namna ya kujitoa au hutolewa ndani ya muda mfupi Kisha...
  13. A

    KERO Inashangaza sana: Afisa Elimu adai walimu wanaoomba kuhamia CHAKUHAWATA ni wanaharakati wa vyama pinzani!

    Juzi kati hapo baadhi ya walimu wanaojitambua halmashauri ya Muleba mkoani Kagera walimwendea mkurugenzi kudai haki yao kuhama CWT kwenda CHAKUHAWATA kwenye makato nafuu (elfu 5 tu haijalishi unapokea ngapi tofauti na CWT wanaokataa 2% ya PAYE yako). Wakiwa ofisini wakiendeleza mazungumzo na...
  14. GENTAMYCINE

    Heko Waziri Nchemba kwa Kuitembelea Shule yako ya Ilboru ila mbona Walimu wa Masomo mengine hukuwatembelea na umemtembelea Mmoja uliyefaulu Somo lake?

    Sawa Somo la Jiografia tokea Form One hadi Four ulipata A na pia kuna Mwalimu wako mwingine Blanca Shao nae alisema kuna Somo lake ulipata A. Hongera kwa Ufaulu huo ila GENTAMYCINE ( Mtani wako kutoka Mkoani Mara kwa Wazanaki ) nakuuliza Mtani wangu Wewe Mshamba kutoka Mkoani Singida kwa Watani...
  15. Mwl Philemon

    Chama cha walimu na maslahi ya Mwalimu

    CWT ni chama cha walimu kama kinavyojipambanua na kujitangaza siku zote za uwepo wake. Zaidi kinatangazika kwa sifa ya kutetea maslahi ya Mwalimu, haki na kumpigania mwalimu ili apate mazingira mazuri ya kazi. Nafikiri imefika wakati sasa kama chama kijitathmini hasa kuhusu kazi yake na gharama...
  16. MEGATRONE

    Wanahitajika walimu wa elimu ya awali(early education)

    Sharing is Caring! Kama una sifa zote za kutoa elimu ya awali tuwasiliane nikupe connection katika shirika flan! Nafasi ni mbili! Asanteni!
  17. Gily Gru

    DOKEZO Walimu wa Shule ya Sekondari Rasesa wawashikisha watoto Pedi chafu

    Wasalaam Jana jioni nimesikia kisa cha kushangaza sana. Wakati nikiwa kwenye simu naongea na aunt, mtoto wa form one (mtoto wa aunt) alirudi analia. Kumuliza analia nini? Akajibu shuleni wameshikishwa pedi chafu Kisa kenyewe ni hiki kilichotokea shule ya Rasesa Secondary School huko Rawia...
  18. Mlalamikaji daily

    Ushauri: Walimu wote waanze na mishahara sawa, mwalimu wa science kuanza na mshahara mkubwa ni dharau kwa walimu wengine

    Leo tena nimekuja kulalamika, Hivi mwaka 2019 serikali iliona nini? Ilijisikiaje au kwakuwa head alikuwa mwalimu wa science akaona awabebe wenzake? Najua lengo ni kuwatia motisha walimu wa science, Sawa. Lakini je ili iweje? Kwa faida ipi? Shule ni zile zile, Wanafunzi wale wale, Tena wakifika...
  19. Kulwa Paschal Martin

    SoC04 Walimu ni tunu ya taifa, tuwathamini

    UTANGULIZI. Walimu wamekuwa chachu na msaada mkubwa sana katika taifa letu, kwani wao ndiyo daraja la mafanikio ya watu wengi, tunakubaliana kuwa, walimu wamekuwa kama wazazi/walezi wetu na kuna muda wanachukua jukumu la kutuwajibisha ili kuhakikisha tunakuwa watu bora zaidi katika jamii...
  20. thadayo

    C.W.T mnakwama wapi kutoa mikopo wezeshi kwa Walimu?

    ipo wazi kuwa c.w.t Ina mchango mkubwa Sana katika kulinda haki za walimu.hoja yangu ni kwamba kwanini michango inayokusanywa na c.w.t isitumike kutoa mikopo WEZESHI kwa WALIMU ilikuinua ustawi wao.
Back
Top Bottom