Shule ya Msingi ya Green Acres iliyopo maeneo ya Mbezi Beach Africana, Dar es Salaam kuna matukio ya ukatili yameripotiwa kutokea, naomba kutumia jukwaa hili kupaza sauti ili haki ipatikane.
Tukio la kwanza ni la ulawiti na udhalilishaji wa kingono ambalo limefanywa na Mkuu wa Shule hiyo...
Unakuta mwalimu amekopa Microfinance kama 3. Mshahara ukitoka siku mbilli hana kitu.
Kinachofuata ni kubeti mikeka 20 kwa siku ili kulipa madeni.
Kwa ujumla madeni yanatuletea fedheha walimu.
Picha: Pinterest
Upendo wa mwalimu si kumfundisha mtoto tu bali hata kulinda heshima na hisia za mtoto kwa kuweka siri au faragha za wazazi wake.
Usitumie makosa ya mtoto na kufananisha na matendo ya mzazi au wazazi wake hasa yale ambayo si chanya kwenye jamii kwani kwa picha yake na jinsi...
MWELEKEO WA MCHAKATO WA USAILI WA WALIMU SEKRETARIATE YA AJIRA: JE, NINI KINAENDELEA?
Na Josephat H
Interview And Carrer Coach
+255656480968
Dar Es Salaaam, Tanzania
👉Leo ni tarehe 28.09.2024, na ni siku chache tu tangu usaili ulipositishwa rasmi kupitia barua iliyotolewa na Katibu Mkuu wa...
Wadau niaje, mimi ni mwalimu wa sekondari wa hesabu na physics, sasa hapa katikati nilihamia mikoa ya kusini, ikabidi nianze upya process za kutafuta kazi.
Asee kwa kuwa maisha hayasubiri nikasema nisichague kazi , nilitonywa na mwana kuwepo kwa nafasi ya ualimu english medium shule moja...
Sasa hivi Tume ya uchaguzi wanaandikisha watu kwa kutumia makaratasi katika mfumo wa kitabu wakati zoezi hili lilipaswa like kidigitali papo kwa papo,vile vishikwambi waliwahonga walimu ilipaswa viifadhiwe kwa matumizi mbalimbali kama haya,ingekuwa ni suala la kuunda mfumo nakuupakia kwenye...
Ni mbumbumbu tu anayeweza kuamini kuwa usaili ndio wenye uwezo wa kutupatia walimu bora!! Usaili unasaidia tu kuondoa wengine na kubakiza wachache kulingana na nafasi zilizopo!! Utaratibu wa usaili haufai kabisa kwa taaluma ya ualimu na afya.
Utaratibu wa zamani wa TAMISEMI kuwapangia walimu na...
Nikiingia kwenye account yangu kwenye sehemu ambako usaili utafanyika hakuna jina la kituo na badala yake wanaelekeza kuingia kwenye tovuti ya www.ajira. go.tz kwa taarifa zaidi lakini nako hakuna taarifa yoyote.
Shida ni nini hapa wakuu? Au majina ya vituo bado?
Kipindi cha Mzee Jakaya Kikwete haijawahi kutokea aliywsomea Ualimua au Udaktari akakosa ajira. Tulikuwa tunaajiriwa tena bila kuomba unashtukia tu umepangwa mkoa husika.
Sasa hii mbinu ya jk ilikuwaje ikamshinda jpm na kwa nini hakupa lecture kw mwamba huyu ambaye ki ukweli ndo rais mwenye...
HABARI Walimu katika wilaya ya Mlele mkoani Katavi, wametakiwa kujiepusha na tabia ya kucheza michezo ya kubeti na kuchukua mikopo kandamizi ambayo imekuwa ikishusha heshima ya Mwalimu na utumishi wa umma.
Serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia inaendelea kuhakikisha inaziba pengo la kidijitali kwa kuwapatia walimu wa shule za Sekondari mafunzo ya TEHAMA kutoka maeneo mbalimbali ya nchi, hususan shule za vijijini ili kuboresha elimu kupitia teknolojia.
Waziri wa Habari, Mawasiliano...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, Oktoba 05, 2024 katika Siku ya Walimu Duniani ametoa salam za heri ya Siku ya Walimu Duniani akiwa Mkoani Njombe.
Katika Salam zake alizotoa akiwa pamoja na baadhi ya Walimu wa Mkoa wa wa Njombe Prof. Mkenda amesema Serikali inatambua...
UNDERSTANDING THE APTITUDE TEST IN DEPTH AND ITS USE IN ASSESSING TEACHERS
For detailed information on the Aptitude Test and how it can be used to evaluate teachers, click the link below:
Understanding the Aptitude Test and Its Role in Teacher Interviews 2024 and Other Fields:👇👇👇👇👇👇👇...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkendaleo Oktoba 03, 2024 amezindua nyumba pacha ya Walimu wa Shule ya Sekondari ya Lubonde iliyopo katika Kata ya Lubonde Wayani Ludewa Mkoa wa Njombe.
Akizungumza baada ya uzinduzi huo Waziri Mkenda amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano...
MBUNGE CHEREHANI: WALIMU TUSHIKAMANE KUTOKOMEZA ZERO USHETU
Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Emmanuel Cherehani amewataka walimu wa Shule za Sekondari katika Halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga kuongeza jitihada ufaulu kwa Wanafunzi wote ili kutokomeza alama sifuri.
Rai hiyo ameitoa jana...
Katika kuhakikisha watoto wanapata elimu na kusikilizwa kero zao zinazowakabili wanafunzi katika Wilaya Nyamagana Mkoa wa Mwanza Mkuu wa dawati la jinsia na watoto wilaya hiyo ameendelea kutoa Elimu ambapo amefika katika Shule ya Msingi Kanindo ambapo amewataka wanafunzi kuhudhuria kikamilifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.