Mheshimiwa rais,
Unabeba lawama za moja kwa dhulma na manyanyaso na uonevu waliofanyiwa na wanaoendelea kufanyiwa wamachinga katika zoezi hili onevu na kandamizi linaloendelea nchini dhidi yao nitaeleza.
1. Serikali yenu wewe na Hayati Magufuli mliwatengenezea wamachinga utaratibu wa sasa...
Kwanza tuweke maana halisi ya Machinga, Machinga kwa asili yake ni mtu anae nadi na kuuza bidhaa zake kwa kutembeza. Ingawa hivi karibuni maana halisi ya Machinga haipo tena. Kimsingi Machinga halisi ukiachana nae dakika 20 uwezi kumpata tena. Maana ya Machinga kwa sasa ni mfanya biashara mdogo...
Ni takribani wiki mbili sasa wafanyabiashara ndogo-ndogo (wajasiriamali au wamachinga) waliagizwa na serikali za mikoa mbalimbali kuhama kutoka katikati ya miji mikubwa na ama kuelekezwa wapi waende au bila kupewa eneo mbadala na rafiki kwa biashara.
Wamachinga walitoa mawazo yao ili...
Kuanzia roundabout ya Uhuru hizo shule zote napendekaza ziondolewe zitafutiwe eneo lingine lipishe wamachinga walioratibiwa.
Kiwanda cha bia hakina sababu ya kukaa katikati ya jiji, kiamishwe kipishe wafanyabiashara.
Maeneo hayo yajengwe majengo simple ya kisasa yenye vizimba vya kimkakati...
Kweli Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga, kama mlifuatilia fumuko la mvutano kati ya Serikali na wananchi (Wamachinga), Kuna kitu ikiwa ni wenye akili mmekisoma na faida zilizopatikana ni serikali kurudi na kunywea na kuwasikia viongozi wao wakisema....endeleeni...bakieni....malizeni kuorodhesha...
DC JOKATE: MIKOPO KWA WAMACHINGA
"Kuhusu Machinga tunashukuru tumeendelea kushirikiana vizuri na Viongozi wetu wakaeleza maeneo fulanifulani ambao walikuwa wanahitaji tuangalie kwa jicho la tatu, zoezi linaenda vizuri tumefufua masoko ambayo yalikufa"
"Tumeielekeza Manispaa kwamba walioingia...
Wana JF,
Kama kuna kitu kinakera ni kuangushiana jumba bovu. Katika upanuzi za barabara za mwendokasi na madaraka, tumeshuhudia wafanyabiashara wengi wakipisha ujenzi bila shuruti kwa kuwa wanajua ni suala la muda tu wataondoka.
Watu hawa unatafuta sehemu ya kuamishia biashara zao bila...
Machinga wameondolewa nini kitafuata? Kwanza niipongeze serikali kwa zoezi hili zuri. Kwa kweli ilikuwa kero na sijui tungefika wapi na wababe hawa, maana walijaa barabarani kama magari, mitaroni kama maji taka. Haikuwa nzuri hata kidogo. Waliowaruhusu waliwaita wanyonge na mkakubari kuuitwa...
Wamachinga,
Wamachinga ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Lindi, wilaya za Kilwa na Lindi.
Lugha yao ni Kimachinga. Inasadikiwa asili ya kabila hili ni kandokando ya ziwa Mkoe, hasa mto Mbwemkuru unapoingia baharini.
Wamachinga katika biashara. Kwa kipindi cha karne ya 20...
Makelele ya kwamba wanaonewa sio kweli, serikali ipo makini sana na inajua inachokifanya na kwa faida yao hao wanaojulikana kama wamachinga.
Ukweli mchungu na unauma, wafanya biashara hawa kwanza ni wakwepa tozo wakubwa, japo wana vibali lukuki, vingi ni feki na wanapobanwa hutoa chochote ili...
My take
1. Namuunga mkono kuhusu uhuni waliofanywa wamachinga, maana walipewa siku 12 za Ziada, kabla hazijaisha maeneo yao yakavamiwa usiku na kuvunjwa
2. Simuungi mkono kuhusu kumtetea Samia katika hili, Samia anahusika, kama angekuwa hahusiki viongozi wanaotekeleza hili zoezi wasingekuwa...
Yatima hadeki ndipo sasa najiuliza Watetezi wa Wamachinga ni nani?
Ni kile chama cha Wakulima na Wafanyakazi (CCM) au ni hiki chama cha wafanyabiashara (Chadema)?
Kwani kura walimpa nani?
Ndugu zangu wanaJF!
Rais wangu SSH ninaona ugumu huko mbeleni kisiasa.Kumbuka kabla ya uchaguzi Mkuu mwaka 2015 wana-CCM tulikuwa hatuwezi kukatiza mitaa ya majiji makubwa tukiwa na sare au fulana kwani tulizomewa na baadhi waliambulia vipigo.Siasa za manispaa na majiji makubwa zilitekwa na...
Ni patashika. Ndivyo unavyoweza kuelezea mvutano kati ya wafanyabiashara wadogo jijini Mwanza na mamlaka ya Jiji hilo baada ya wafanyabiashara hao kuandamana leo Jumamosi Oktoba 23,2021 na kufunga barabara ya Nyerere eneo ya Voil kushinikiza kupewa vizimba kwenye maeneo rasmi.
Kundi la...
Nimeshangaa kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar, akisema wamachinga wakirudi maeneo ya kati, basi atakuwa hafai.
Mkuu wa mkoa wa Dar amesahau kuwa hili ni kundi la wavuja jasho ambao wanamikopo, wanalisha familia zao, wanasomesha watoto na ndugu zao.
Mmesahau kuwa hawa watu sio wa kufanyiwa...
Hapa ni pale walipokuwa wanabomoa mabanda yao kwenye maeneo yaliyokatazwa.
Sikufurahishwa na Wamachinga kuzagaa kila mahali, lakini kilio chao kimenisikitisha sana, Viongozi waliowatapeli hawa watu na kuwaweka kwenye maeneo hatarishi hadi wakajisahau namna hii walaaniwe haraka.
Ndugu wanaJamiiForums habari za asubuhi.
Ni jambo la kushangaza tena sana, kwamba ktk majiji ya Tanzania hasa Dar es Salaam na Mwanza majiji yanayokuwa kwa kasi sambaba na fursa nyingi za kiuchumi na biashara.
Katika majiji haya hivi karibuni na hata sasa wamekuwa wakibughudhiwa na serikali...
Asalam-aleikhum Wana-JF
Kwanza nawapongeza Rais SSH na viongozi wa Serikali ya CCM, hasa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makala ambaye ameonyesha ujasiri mkubwa na mfano mzuri katika kutekeleza uamuzi wa Rais SSH wenye lengo la kubadili mfumo wa biashara ya umachinga kimazingira.
Tukumbuke...
MACHACHE HAYA YATAIOKOA SERIKALI NA MACHINGA WAKE.
Anaandika, Robert Heriel
Awamu ya tano ilisitisha Ajira za kila mwaka, ilikuwa awamu ambayo serikali ilipunguza kuajiri Kwa Asilimia kubwa Hali iliyoleta Malalamiko Kwa wasomi waliohitimu vyuoni.
Katika kutatua changamoto hiyo ya Ajira, ndipo...
Kila Mkuu wa mkoa Dar ana kibarua cha wamachinga, why akili huwa haitumiki kabisa?
Toka Marehemu Ditopile Mzuzuri anaongea live kwenye tv DTV kuhusu kuwaondoa wamachinga .hadi Leo mambo ndo yanazidi.
Serikali inashindwaje kufanya hivi kuondoa wamachinga kwa akili.
Agiza wamachinga wote...