Wakuu,
Yaani kwa haya majibu ambayo anatoa huyu Mchome ni wazi kuwa alikuwa analipiwa hiyo apartment
Soma pia: Boniface Jacob (Boni Yai): Lembrus Mchome amepangiwa apartment Masaki na Msajili wa Vyama vya Siasa
Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.
Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya...
Nina tumaini wote tu wazima wa afya,
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Matukio yanaendelea nchini Tanzania, hasa katika kipindi hiki tunapoelekea uchaguzi; mambo mengi ni meusi, yanafichika na kuendelea kwa kweli!
Chama Cha Mapinduzi kimeisha toa ratiba yake, moka ya agenda ni uzinduzi...
Wakuu,
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kibiti, Mohamed Seif, pamoja na viongozi wengine watatu wa chama hicho, wametangaza kujiuzulu nyadhifa zao na kujiondoa rasmi CHADEMA, wakipinga kile walichokiita ukosefu wa haki na ushiriki wa kweli wa...
Hali inaendelea kuwa mbaya kwa upande wa CHADEMA.
Leo ni zamu ya Mkoa wa Songwe.Viongozi na wafuasi wapatao 24 wamejivua uamachama.
Baadhi ya Viongozi wa CHADEMA ikiwemo Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa na Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa Baraza la Wazee Mama Happiness Kwilabiya ambaye aliwahi kuwa...
Wakuu,
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) Mbagala, Khadija Mwago (wa kwanza kulia) akiwa na makada wengine wa Chama Cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kwenye viunga vya Golden Tulip, vinakofanyika vikao viwili vya chama hicho leo Mei 19, 2025.