wanaharakati kenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati Kenya waandamana wakitaka Besigye, Lissu na wapinzani wengine waachiliwe

    Nairobi, Kenya. Wanaharakati wa haki za binadamu nchini Kenya wameandamana katika mitaa ya Nairobi wakitaka Serikali ya Uganda kumuachilia mara moja kiongozi mkongwe wa upinzani, Dk Kizza Besigye, huku wakitaka pia Tanzania na nchi nyingine za Afrika Mashariki kuwaachilia viongozi wa upinzani...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wataka kamati ya maadili ya bunge kuwashughulikia wabunge waliowakashifu na kukejeli wanaharakati wa Kenya

    Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Ofisi ya Spika wa Bunge la Tanzania kuwajibika kwa kuwaita na kuwahoji wabunge katika Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, kufuatia kauli zilizotolewa na baadhi yao kutozingatia maadili ya uongozi, utu wala heshima ya chombo hicho muhimu cha kutunga...
  3. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tulia Ackson awaruka wabunge, asema baadhi ya kauli zilizotolewa kwenye Mjadala wa Wizara ya Mambo ya Ndani si msimamo wa Bunge

    Spika wa Bunge, Tulia Ackson, amesema kuwa maoni yaliyotolewa na baadhi ya wabunge wakati wa mjadala wa bajeti za Wizara ya Mambo ya Ndani na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, hayawakilishi msimamo rasmi wa BUNGE Aidha, Spika Tulia amesema maoni hayo yalionesha viashiria vya ukiukwaji wa Kanuni za...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wizara ya Mambo ya Nje ya Kenya: Serikali ya Tanzania inatuzuia kuwasiliana na Boniface Mwangi kama sheria za kimataifa zinavyoelekeza

    Wakuu, Hii ishu ya kushikiliwa kwa Boniface Mwangi tunaweza kudhani ni kitu cha kawaida lakini naona kitaenda kuwa na implications kubwa ============================= Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Masuala ya Diaspora imetoa ikilalamikia kukosekana kwa mawasiliano ya...
  5. The introvert

    JamiiForums Tanzania Jinsi wakenya walivyolivaa suala la Rais Samia kuzuia wanaharakati wa Kenya kuingia nchini

    Habarini wanajamvi. Ni takribani masaa 16 yamepita tangu taarifa ya Rais Dr SSH kuhusu kuzuiwa kwa wanaharakati wa Kenya. Taarifa hiyo imeripotiwa katika vyombo mbalimbali vya habari nchini Tanzania pamoja na Nchini Kenya hususani (Citizen Tv Kenya) . Pia taarifa mbalimbali kuhusu kesi ya...
Back
Top Bottom