The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,508
- 3,136
Habarini wanajamvi.
Ni takribani masaa 16 yamepita tangu taarifa ya Rais Dr SSH kuhusu kuzuiwa kwa wanaharakati wa Kenya.
Taarifa hiyo imeripotiwa katika vyombo mbalimbali vya habari nchini Tanzania pamoja na Nchini Kenya hususani (Citizen Tv Kenya) .
Pia taarifa mbalimbali kuhusu kesi ya Mh TAL
Katika hali isiyo ya kawaida asilimia kubwa ya wananchi wa Kenya inaonekana hawajapendezwa kwa kitendo kilichofanyika huku wengi wao wakionekaana kujenga chuki binafsi dhidi ya Watanzania na kuleta hali ya majivuni na dharau dhidi ya Rais Dr SAH pamoja na watanzania kwa ujumla
Leo pia kuna taarifa imetoka ya kudukuliwa kwa aakaunti ya X ya Jeshi La Polisi Tanzania na ikarushwa pia kupitia Citizen Tv Kenya ambapo pia wakenya wameonesha kufuruahiswa na tukio hilo huku wengine wakitamba kuwa wao ndio waliofanya hivyo.
Je, kitendo cha jana kimeshusha hadhi yetu na ya viongozi wetu mbele ya wakenya?
Na je kipi kifanyike ili kuswazisha hali hii iwe sawa?
Hapa chini nitakuwekea baadhi ya post na comments za wananchi wa Kenya katika ukurasa wa Citizen Tv Kenya.
View: https://www.facebook.com/share/v/18tuoaAkJ8/
View: https://www.facebook.com/share/v/19aQHjdycb/
www.facebook.com
View: https://www.facebook.com/share/v/14GwNHnMHzw/
View: https://www.facebook.com/share/v/1C2snDd2US/

Citizen TV Kenya
Tundu Lissu to remain in custody as Kisutu court postpones hearing
View: https://www.facebook.com/share/v/14GwNHnMHzw/
View: https://www.facebook.com/share/v/1C2snDd2US/
Citizen TV Kenya
Tanzanian President Samia Suluhu on Monday said foreign activists would not be allowed to “interfere” in the country's affairs after several tried to attend the trial of opposition leader Tundu...