Interested Observer
Platinum Member
- Mar 27, 2006
- 4,999
- 7,928
Tlaatlaa (Abdul - Sonny - Santino) umevimbiwa hela za mama yako.Tanzania itamdhibiti yeyote yule asieheshimu viongozi wa kitaifa wa Tanazania, atakaeingilia uhuru wa taasisi huru za ndani ya Tanazania na wala Tanazania haitamvumilia hata kwa sekunde moja mtu alievuruga amani nchini kwake alikotoka eti aje kuchochea amani ya Tanzania ivurugike.
wao waongee wawezavyo, wamtukane rais wao wawezavyo but hawatathubutu kuvumiliwa kufanya huo utovu wa nidhamu kwa viongozi wa Tanazania na kwenye ardhi ya Amani Tanazania 🐒
Huyo mama yako maneno mengine kayasema kama vile anamwambia Ambaye siyo EA Community, ujue kuwa EA ni wamoja na inaelekea kuwa Federation, kusema ati Kenya isaharibiwa na sasa wanataka kuharibi Tanzania ni sawa kuwa huyo mama yako anafuta EA Community towards Federation, hiyo ndiyo consequence ya kuropoka. Mama yako karopoka. Siyo muungwana, muungwana akivuliwa nguo huchutama, mama yako kasimama kidedea ati kachafuliwa.
Kenya ni zaidi ya Tanzania:
== More than 57 Think Tanks - Tanzania Zero
== More International Organisational Headquarters - Mention what is in Tanzania?
== More foreign Missions in Nairobi than Dar
== More Foreigners - Westerners and Easterners who want to establish in East Africa than Tanzania
== More Kenyans employed abroad (diaspora) because they are well educated and can well communicate
Sasa huyu Chura katoa hizo data wapi? Achunge mdomo wake, ahusishe oblongata