Jinsi wakenya walivyolivaa suala la Rais Samia kuzuia wanaharakati wa Kenya kuingia nchini

Jinsi wakenya walivyolivaa suala la Rais Samia kuzuia wanaharakati wa Kenya kuingia nchini

Najua Mimi ni mTz na mzalendo wa kweli,
Mama Samia asisome Wala kuangalia video za YouTube aisee wakenya wanatukana na wanatudis huko mitandaoni.

For sure GENTLEMAN 😊 hakuna tunacho wazidi wa kenya economically na wameamua kututukana kua hatujui kiingereza,tunaviburi, hatuna uchumi wa kuvimbiana nao, nchini kwao tunauza njugu na uji, kule kwao dada zetu wanafanya kazi ya kujiuza (umalaya) wameenda mbali mpaka kutaka kuwapiga na kufukuza watanzania wenzetu waishio kenya.
Rais wa Tanazania atatembelea YouTube, atasoma JF, Facebook, x na mitandaoni yote ya kijamii bila wasi wasi wowote, kwasabb hiyo inampa uelewa mpana zaid dhidi ya matusi ya waKenya waliokosa nidhamu na heshima, na zaid sana anapata ujasiri zaid wa kuwadhibiti bandits hao waKenya kama akina matha Karua.

Kenya hawana ardhi, ni wavivu wa kazi na ndio maana huwa wanaandamana na masufuria vichwani eti wakidai ugali ikulu badala ya kwenda kulima mashamba ambayo vile vile hawana.

Kiingereze kimewasadia nini gentleman? Walau kingewasaidia wasiuane ndio ungekuja kuwakingia kifua, otherwise ni nonsense tupu.

Lakini pia huo uchumi wao kuzidi wa Tanazania umewasaidia nini mama mboga wa Kenya wanaoishi kwenye maghorofa ya mabati mathalani huko Kibra na Kibera?

mTanzania anatamani kwenda kuishi au kufanya kazi Kenya hana maono, hajipendi na kabisaa amepoteza uelekeo.

wao wenyewe hawatoshi na nchi imeisha, iweje utamani kwenda kubanana?🐒
 
Hata watanzania wapo kote huko sema hawajitangazi na wanafanya makubwa tu.

Tofauti yetu na majirani zetu wao walitangulia wakazibuka mapema lakini leo kuna kila aina ya mTanzania kwenye technical posts nchi zote hizo.

Watanzania mpaka asset managers kwenye mabank, head of IT departments, watanzania wanagombaniwa kwenye military R&D za silaha, watanzania wana kampuni zao za kila aina nursing homes, madokta, district nurses, midwives, wana accounting firms, haulage businesses, shipping, wana mafanikio kwenye drop-shipping kila sehemu wapo.

Issue hapa ni wakenya locals kudhani ni watanzania ndio wapo Kenya tu, huku kwetu wao hawapo. Tukifanya sensor wao watakuwa wapo wengi bongo kuliko sisi kuwa kwao.

But I don’t blame them for being misinformed baada ya kusikiliza media zao na narratives wanayolishwa. Wakenya are so misled by their media na serikali yao haioni shida namna media zao zinavyotangaza. My god that is unacceptable nilikuwa nasikiliza mjadala so unbalanced.

Wakenya wana matatizo makubwa sana na msingi wake ni media na viongozi wao, hawajui bado kujenga taifa.
Turudi tena nyumbani, --------------; wakati Fulani nachanganyikiwa kidogo, not that liberal; -- hivi Tanzania tuna Middle Class? Tusiende nje ya East Africa, sasa kulinganisha Nairobi na Dar, hebu tulinganishe / defining middle class, hapo utakuwa unanifungua
 
Ati huko kwao "walishavuruga" wakati dunia nzima inajua progress walioyofikia ndugu zetu Wakenya wana KATIBA BORA MPYA wana TUME HURU sasa huyu Dikteta wetu anaona ati ndio kuvuruga🤣🤣 she is very shallow🫣
CCM Mungu anawaona mumetuingiza cha kike.
Kenya wanajitambua sana. Huwezi kuwakejeli kama alivyofanya wakakuacha salama.
 
Turudi tena nyumbani, --------------; wakati Fulani nachanganyikiwa kidogo, not that liberal; -- hivi Tanzania tuna Middle Class? Tusiende nje ya East Africa, sasa kulinganisha Nairobi na Dar, hebu tulinganishe / defining middle class, hapo utakuwa unanifungua
Basically middle class ni wasomi, ambao wameajiriwa na wana kipato cha kumudu maisha.

So wasomi wote Tanzania na wasio wasomi ambao wapo kwenye technical posts ndio definition ya Middle Class.

Moreover class structure ni pretty much associated na kingdoms (term ambayo kama Middle Class ambayo imekuwa na maana moja).

Otherwise originally upper class ni royals, lords na wapambe wao ambao wanazaliwa na privileges. Wakati Middle Class ni term ya professional kwenye gurudumu la maisha (ndio msingi wa terminology).
 
Kuna jamaa kasema huyo Raisi wenu mtukufu Hawezi kukojoa akiwa kasimama.
Mwingine kaenda mbali kasema Raisi wetu anaendeshwa na mood swings sababu yupo kwenye MENOPAUSE.

Mzee binafsi Mimi siungi mkono kukamatwa na mashitaka ya Lissu Ila matusi ya wakenya yanaumiza kama taifa na watanzania turekebishe hizi tofauti zetu na wakenya mapema maana sio kwa kudhalilisha mamlaka zetu na kututukana matusi mazito mazito ya kuudhi na kukera.
Tunavuliwa nguo nje kabisa ni huzuni kwa kweli
 
Tlaatlaa (Abdul - Sonny - Santino) umevimbiwa hela za mama yako.
Huyo mama yako maneno mengine kayasema kama vile anamwambia Ambaye siyo EA Community, ujue kuwa EA ni wamoja na inaelekea kuwa Federation, kusema ati Kenya isaharibiwa na sasa wanataka kuharibi Tanzania ni sawa kuwa huyo mama yako anafuta EA Community towards Federation, hiyo ndiyo consequence ya kuropoka. Mama yako karopoka. Siyo muungwana, muungwana akivuliwa nguo huchutama, mama yako kasimama kidedea ati kachafuliwa.

Kenya ni zaidi ya Tanzania:
== More than 57 Think Tanks - Tanzania Zero
== More International Organisational Headquarters - Mention what is in Tanzania?
== More foreign Missions in Nairobi than Dar
== More Foreigners - Westerners and Easterners who want to establish in East Africa than Tanzania
== More Kenyans employed abroad (diaspora) because they are well educated and can well communicate

Sasa huyu Chura katoa hizo data wapi? Achunge mdomo wake, ahusishe oblongata
ukweli Lazima usemwe wazi wazi bila kificho,

hatutavumilia utovu wa nidhamu nonsense kabisaa wa wakenya kupitia useless activists wao 🐒
 
Rais wa Tanazania atatembelea YouTube, atasoma JF, Facebook, x na mitandaoni yote ya kijamii bila wasi wasi wowote, kwasabb hiyo inampa uelewa mpana zaid dhidi ya matusi ya waKenya waliokosa nidhamu na heshima, na zaid sana anapata ujasiri zaid wa kuwadhibiti bandits hao waKenya kama akina matha Karua.

Kenya hawana ardhi, ni wavivu wa kazi na ndio maana huwa wanaandamana na masufuria vichwani eti wakidai ugali ikulu badala ya kwenda kulima mashamba ambayo vile vile hawana.

Kiingereze kimewasadia nini gentleman? Walau kingewasaidia wasiuane ndio ungekuja kuwakingia kifua, otherwise ni nonsense tupu.

Lakini pia huo uchumi wao kuzidi wa Tanazania umewasaidia nini mama mboga wa Kenya wanaoishi kwenye maghorofa ya mabati mathalani huko Kibra na Kibera?

mTanzania anatamani kwenda kuishi au kufanya kazi Kenya hana maono, hajipendi na kabisaa amepoteza uelekeo.

wao wenyewe hawatoshi na nchi imeisha, iweje utamani kwenda kubanana?🐒
Lecturer wangu ndugu GENTLEMAN 😊 ZILE KAULI ZA KWENYE YOUTUBE MADAM PRESIDENT ZITAMVURUGA NA UHAKIKA KUNA MATUSI.

HATO WEZA KU HIMILI MIMI BINAFSI NIMESOMA NA KUANGALIA VIDEO YAANI NAWEZA RUSHA NGUMI.

MAMA SAMIA HANA MOYO HUO WA KUANGALIA KEJELI, DHIHAKA,MATUSI NA VIJEMBE LAZIMA PRESSURE KWA UMRI WAKE AMA ITAPANDA AU KUSHUKA.

MFANO MTU ANASEMA ANAENDESHWA NA MOOD SWINGS KWAKUA YUPO MENOPAUSE

MWINGINE ANASEMA NI YOUNG PRESIDENT PIA HAWEZI KUKOJOA AMESIMAMA

GENTLEMAN JAMAA WAMETUTUKAMA SANA SANAAAA
 
Kama kuna watu makini nchi hii dhidi ya nonsense za YouTube na kwenye mitandao ya kijamii, basi ni mkuu wa Taifa letu.

Na ndio maana umeona watu makini kama mimi huwa sijali wala sibabaikagi na mihemko au matusi ya wadau mballimbali ya JF, dhidi ya hoja na comments, kwasabb ya ile determination niko nayo sambamba na mkuu wa nchi.

Iko hivyo kwasabb matusi ni nonsense kwetu, malengo yetu ni kueleza ukweli tu na kuwafanyia kazi waTanzania.

You can use social medias to call me, or even the head of state as you like but not otherwise.🐒
 
Back
Top Bottom