Jameni kuwa mwanajeshi wa Urusi ni shida, kule mbele mnapigwa na kuuawa kama senene, mkirudi nyuma mnauawa na kikosi kilichobuniwa na Putin cha kuua wanaokimbia.
Sidhani kama kuna miaka itakuja Warusi wasahau hii aibu wanayofanyiwa na kainchi kadogo.
Wazungu wa Urusi sijui walikosea wapi, sio...