Rais Samia wewe ni mshirika dhaifu kwenye huu ushirika, kaa pembeni(nawa mikono) kabla hawajaanza kukulazimisha kufanya mambo yao kwa gharama ya maisha na uhai wa watu wako uwapendao, watoto wako na ndugu zako.
Usipozikiliza ushauri wa Wazalendo na waliojitolea maisha yao kwa ajili ya Taifa...