Ndugu wanasheria salaam,
Kwanza poleni na majukumu mbalimbali, naombeni msaada, kuhusu Jambo hili,
Mimi Ni mtoto wa aliyekuwa mtumishi wa umma , baada ya kustaafu 2014 mama angu alilipwa kwa wakati huo kiinua mgongo million 67, baada ya hapo aliendelea kupata pension Kama laki 5 kila mwezi...