wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Wanawake wanahitaji muda mwingi zaidi wa kupata usingizi kwasababu wanatumia zaidi akili zao kuliko Wanaume.

    Watafiti kutoka kituo cha utafiti wa usingizi cha Chuo Kikuu cha Loughborough Nchini Uingereza wamesema Wanawake wanahitaji muda mwingi zaidi wa kupata usingizi kwasababu wanatumia zaidi akili zao kuliko Wanaume. Profesa Jim Horne kutoka Chuo hicho amenukuliwa akisema “akili za Wanawake...
  2. kiredio Jr

    Wanaume tunaona, wanawake wanasikiliza

    ......
  3. Wauzaji wa containers

    Huu msemo mliokuwa mnawaambia wanaume watafute hela sasa mtatafuta nyie

    Huu msemo wa 'Tafuta hela ' naona wanawake umewarudia sasa hivi wanatafuta Sana HELA na Wanawahudumia sana wanaume. Hakika karma is bitch Moja ya hekima ya MTU mwenye akili ni kukaa kimya
  4. Yoda

    Wanawake wa mjini wanashangaa baadhi ya wanaume wenye magari kuwa na maisha ya kuungaunga!

    Huyu bi dada anasema wanaume wenye magari huonekana kuwa na uwezo mzuri wa kiuchumi lakini mambo huwa tofauti mtu anapoingia katika mapenzi
  5. Nyamwi255

    Mungu anipe subra, nampenda mume wangu

    Asubuhi ya Leo nimerudi kazini nikiwa najiskia vibaya kweli.. Mume wangu ikabidi anisaidie kuniandalia chai wakati huo Mimi Niko chumbani Wakati huo simu yake ilikuwa kwa dressing table muda huo natoka washroom naskia mitetemeko nikawa nimeangalia nikaona kwa screen message 4 what's App za...
  6. haszu

    Kuna wanaume mpaka wanazeeka hawajawahi kupendwa.

    We kama umetumia kigezo cha hela kumpata mwanamke wewe hujapendwa, umekubaliwa tu, kukubaliea si kupendwa. Kuna sisi, wazee wa love on the first sight , yani mdada anakuona tu, anachanganyikiwa, anakuelewa moja kwa moja, mambo ya pesa ni baadae hiko ndo uanaweza shtuka. Unatumia swaga vizuri...
  7. GENTAMYCINE

    Mtaalam: Sehemu za Siri za Mwanamke kuwa Baridi huchangia kwa 99% katika Kupunguza Nguvu za Kiume za Wanaume wengi

    "Mwanamke yoyote ambaye anaingiliwa na Wanaume zaidi ya Watatu na Uke wake haupumziki Kuingiliwa na Wanaume tofauti tofauti ndani ya Wiki huyu husababisha Uke wake kuhama Kiasili kutoka kuwa wa Moto na kuwa Wabaridi. Kitendo cha Uke wa Mwanamke kuwa Wabaridi husababisha Uume wa Mwanaume ukiwa...
  8. W

    Mara nyingi wanawake hawaoini kuna tatizo na huzoeana kama mabesti na gays, hii imechangia sana kundi kubwa la gays kuwa watoto wa single mothers.

    wanawake wengi wanaona hakuna tatizo lolote kwa mwanaume kushiriki ama kuwa na viashiria vya mapenzi ya jinsia moja, kwao huchukulia ni sawa tu.. Tumeshajionea mpaka mitandaoni wanaume wanacheza vigodoro na wanasifiwa sana na wanawake, wanawake hawaoni kuna tatizo lolote. Mwanaume anavaa...
  9. Yoda

    Wanaume na vijana wadogo acheni ulalamishi kuombwa pesa na wanawake

    Kwenye mitandao mingi ya kijamii kupitia majadiliano na memes mbalimbali au hata comedy kumekuwepo na tabia ya ulalamishi unaozidi kushika kasia kwa vijana wa kiume kulalamika kuombwa pesa na wanawake au wale walio na wanawake walio na kazi kutoona mchango wa kipato cha wanawake wao kwao au...
  10. SANIBO

    Hivi haya ninayoyapitia na wanaume wengine mmeyapitia kwenye ujana wenu?

    Mimi ni kijana mwenye miaka 20 toka nizaliwe sijawahi kuyafurahia mapenz ngoja niwape historia yangu kidogo kwenye mapenz mwaka 2019 nilienda kufanya kazi kwa kaka yangu Morogoro wilaya ya Malinyi pale dukan tulikuwa wafanyakaz watatu halafu wote ndugu katika wote mi ndo nilikuwa mdogo japo mi...
  11. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kwenu Wanaume mnaopigwa na wake zenu. Hii ni fedheha mnajiabisha

    Japo sio rahisi kusema lkn wapo wanaume wengi sana wanopokea kipigo kutoka Kwa wake zao. Kwa macho yangu shangazi yangu alikuwa anakung'uta vilivyo mmewe. Siku akiliazisha Hadi alikuwa anakimbia na kwenda kujificha kabisa. Kuna mama mwingine alikuwa muuza gongo (pombe) akasikia fununu Kwa...
  12. GENTAMYCINE

    Hii ni Aibu Kubwa sana kwa Wanaume wa Mkoa wa Dar es Salaam

    Hofu imetanda kwa baadhi ya wazazi kuhusu usalama na ustawi wa watoto wao kufuatia matukio ya ukatili yanayowatokea watoto ambapo kwa mujibu ripoti ya polisi kwa mwaka 2023 imeonyesha matukio 30 hutokea dhidi ya watoto kila siku. Hatua hiyo imewafanya wazazi wa Mtaa wa Kibonde maji Mbagala, Dar...
  13. N

    Kwanini wanaume wanapenda kuangalia maziwa?

    Hivi kwanini wanaume hupenda kuangalia maziwa ya mwanamke. Hii tabia inakera sana unakuta mtu unamheshimu kama kaka au ndugu, wakati wa kuongea nae badala ya kuweka concetration katika kile mnachoongelea yeye anaanza kukodolea macho kifuani (maziwa). Hii tabia inakera ipo siku nitakuja kumtemea...
  14. GENTAMYCINE

    Ni kwanini Wanaume wengi tukishaachana na Wapenzi wetu na tukikutana nao wakiwa na Masela wengine huwa tunaumia Mioyo tofauti na Wao wakiachana nasi?

    Wanaume wenzangu JF katika hili wala tusibishe ukweli ni kwamba huwa tunaumia na hata kutamani Ardhi ipasuke!!!
  15. Majighu2015

    Ushauri kwa wanaume wenzangu

    Tunatakiwa kutambua kuwa viumbe KE hata wafanyiwe kitu gani hawaridhiki. Jambo la kufanya ni ku-focus na maisha yako, jipende, kula bata, jali watoto wako (kama unao). Wanaume tunakufa mapema kutokana na stress za wake zetu, kelele nyingi, kuchapiwa n.k Ili tuishi maisha marefu tu-focus na...
  16. Kaka yake shetani

    Wanaume wenzangu tembeeni muone wanawake wazuri sio hapa Tanzania wanatuliza kwa kujiona wao wazuri

    Fanya juu chini usafiri hata kidogo ufike hapo rwanda kama uwezi kuvuka bara la afrika.ila kuna nchi unaweza kuwa na pisi kali mpaka ukajiuliza mbona wapo huku. Kuna haka kisiwa cha cyprus yani unaweza kubaki huko huko kama mtu wa totozi. twende urusi huko yani na baridi la kule unaitwa hot man...
  17. Hance Mtanashati

    Kimachosababisha wanaume wengi kusomesha wapenzi wao ni kulinda hadhi yake na ya watoto watakaowapata

    Ipo hivi, unakuta mtu anafanya kazi inayomuingizia kipato cha kutosha na anajuana na watu wengi wenye hadhi zao, lakini upande wa pili mwanamke aliyenaye anafanya kazi kwa mshahara usiozidi hata laki 3 mfano hawa walimu wa chekechea na hawa ma medical attendants Kwa mantiki hiyo lazima...
  18. Mung Chris

    Wanaume waoaji lazima tujifunze vinginevyo tutakufa mapema

    Mwanaume, ukitaka kuoa jitahidi kama una pagala au una nyumba hujaimalizia, malizia mwenyewe usimshirikishe huyo mkeo unaye muoa au unayetaka kumuoa, mali alizokukuta nazo zibaki za kwako binafsi au wanao kama unao wa nje ya ndoa, kwanini, ukimshirikisha akiwa na hela zake akaziweka kwenye...
  19. Miss Natafuta

    Wanaume wanaoogopa wake zao ni washamba na wanakera

    Sijui kwa wengine ila kwa kweli mwanaume yoyote awe ndugu yangu au rafiki WA kiume ambae Hana maamuzi yoyote Hadi kitu kifike kwa mkewe ndo akaamue yaani huwa wananikera.sisemi ni vibaya kushirikishana mke na mume hapana .Ila bakisheni chenji kama wanaume mtanishukuru baadae. Kuna utopolo...
  20. Etugrul Bey

    Waamini wanaume wasiobadilisha avator zao na usiwaamini wanawake wasiobalisha avator zao

    Kwa mara ya kwanza napost ndani ya jukwaa hili,,wenyeji hope mko poa kabisa Sifa ya wanaume ni misimamo,kama mwanaume hana msimamo basi kuna shida pahala,mwanaume akisema jambo linatakiwa liwe hivyo jana leo na kesho,kwahiyo wanaume wenye misimamo mara nyingi huwa wakweli na hao ndio wa...
Back
Top Bottom