wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Webabu

    Wanaume Ukraine waacha kwenda masokoni,mikahawani,shughulini na sehemu za ibada kuogopa kukamatwa kupelekwa mstari wa mbele

    Kaka Serhiy na dada Tania walikatisha kufanya harusi yao ufukweni mwa bahari wakihofia hali mbaya ya hewa.Hata walipoingia kwenye ukumbi walikoalkwa wageni kushuhudia harusi yao bado waligundua hali isiyo rafiki kwa furaha yao.Viti zaidi ya nusu vilikuwa ni vitupu ikiwa na maana waliohudhuria ni...
  2. Bata batani

    Siri nzito: Wanaume wote tuliopo katika mahusiano karne hii hatupedwi na wanawake zetu na wanatusanifu sababu mambo yao hayajanyooka

    Ewe kijana wa kiume wa karne hii Acha kujidanganya kama unapendwa huyo mwanamke uliyenaye hakupendi ila anakusanifu sababu mambo yake bado hayaja nyooka.......... mwanamke siku zote akiwa hana kitu kwa mwanaume wake huwa ni mpole na mnyenyekevu sababu kuna kitu either anakitafuta au anakipata...
  3. Nyamwi255

    Mwanaume Black🥰🥰🥰

    Halafu awe ✓Tall🥰 ✓Mwembamba kiasi🥰 Nyiee acheniii 🤗 Sitamani Jumanne ifike🤸 BTW: Kama hakutokuwa na mabadiliko tarehe ya ndoa ni 13 July 2024. I can't wait for shoooo😁😁 Play song for us Mr piano man😁🎵 KARIBUNI ♥️♥️♥️
  4. Strong and Fearless

    Nimeamua nibadilishe type za wanaume

    Nimeamua nibadilishe type za wanaume 😂 Sasa hivi my preference is 1. Awe mwanaume mshamba, wazazi wake wapo kijijini 2. Amesoma kwa shida sana 3. Kapitia changamoto za maisha nyingi 4. Awe na akili nyingi Yani zile za kuzaliwa akili za kupambana na maisha 5. Awe na hofu ya Mungu na awe...
  5. Strong and Fearless

    Yalionikuta sina hamu na nyie wanaume

    Yalionikuta Sina hamu na nyie wanaume, Long story short, mwanaume wangu huwa kwenye simu yake Ana namba nyingi kasave majina ya kiume, and I have been wondering and being suspicious kuhusu hilo Sasa Jana usiku nikachukua namba kumi niasave kwangu nikawa napiga moja baada ya nyingine. Cha...
  6. haszu

    Kumbe wanawake nao wanaogopa wanaume ma "handsome" wanahisi ni ma "player"

    Kama vile wanaume wanaona mwanamke pisi kali atakua na wengi au wengi wanamtaka, hata wadada kumbe wanayo. Yaani ukikutana na mdada ukisema "niko single" wanakataa wanakwambia " yani we ulivyo halaf wasema uko single, nyie ndo mnawapanga" Kiukweli mtu anaweza kua single bila kujali muenekano...
  7. Unique Flower

    Jamani kuna wanaume watamu sana

    Kuishi na mwanaume anayejua mapenzi huwazi sex kila mara ila unawaza mume wako atarudi saa ngapi akupe utramu wa hali ya juu. Kuna tofauti ya sex tu na haja zikatimizwa kibabe na ule utamu unajiachia hata nguvu yakushika zana huwezi kisa umezidiwa utram. Maisha mazuri nikutimiziwa haja zako...
  8. Hakuna anayejali

    Wanawake na wanaume wenye tania hizi mje hapa.

    Wanaume wenzangu mnafeli wapi jamani.Tabia ya kutotowa mahitaji ya familia kwa wakati si kwamba huna ila uzembe tu eti kwakuwa unaishi na mkeo yupo ndani,fikiria unawatoto halo Lakini hujali unaenda kupeleka mahitaji kwa mchepuko tena kwa haraka.mkeo anaumwa hadi anazidiwa ndiyo unampeleka...
  9. Miss Zomboko

    Wanaume wanaweza kushiriki vipi katika Kampeni za Kutokomeza Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Wanawake na Wasichana?

    Nimekuwa nikiona Wanaume wakilalamika kwamba Masuala ya Ufeminia yamekuwa yakiwaacha nyuma kwa kutoa kipaumbele kwa Wanawake na Wasichana na kumsahau Mtoto wa Kiume Mimi ningetamani kufahamu Wanaume wanaweza kushiriki vipi katika Kampeni za Kutokomeza Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Wanawake na...
  10. BARD AI

    Kwanini Wanaume wengi hawapendi kuongelea Changamoto za Kimaisha wanazopitia?

    Wanaumeeeeeeee! Huu ni mwezi maalumu kwaajili ya AFYA YA AKILI YA WANAUME NA MASUALA YA AFYA kiujumla. Sasa leo hebu tujuzaje kwanini wengi wetu hatuongei au kushirikisha watu wengine tunapopitia changamoto na ikitokea tumesema basi inakuwa katika hatua mbaya sana ambazo urekebishaji wa tatizo...
  11. ndege JOHN

    Asilimia ya wanaume ambao hawajapata watoto

    Kati ya wanaume wenye umri wa miaka 15-49 mwaka 2015–2019, 55.2% hawakuzaa mtoto wa kibaolojia, 14.8% walikuwa wamezaa mtoto mmoja wa kibaolojia, 17.4% walikuwa na watoto wawili, 8.2% walizaa watoto watatu, na 4.4% walizaa wanne au zaidi. Source ni National Health Statistics Reports, Number...
  12. LIKUD

    Wanaume tutafute hela. Hakuna mwanamke mgumu

    Ukitaka watoto wazuri wakike lazima ugharamie
  13. Fundi manyumba

    Wazee wa ovyo acheni kufakamia Wanawake wa Vijana wenu

    Kijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali. Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu Mwanamke/Mwanaume anampenda mwanaume/Mwanamke anayemuona na sio kumpenda Mwanamke/Mwanaume anayemsikia sababu...
  14. Shining Light

    Unafahamu kuna wanaume wananyanyaswa na wake zao ila hawasemi?

    Ukatili wa majumbani huwa hususani kwa wanawake ila pia sasa kuna tatizo la unyanyasaji kwa wanaume ni tatizo kubwa lakini mara nyingi halionekani, hasa kwa sababu ya jinsi wanavyokuwa wanaonekana katika jamii kwamba wanaume wanapaswa kuwa na nguvu, kujitegemea, na kushughulikia matatizo yao...
  15. haszu

    Wanaume msiogope kulia, msibanie machozi

    Kulia sio suala la kike, ni suala la kibinadamu, ukiona yamekukuta na waona kabisa kooni unadukuduku na unataka kulia, tafuta mahali ulie. Kulia hakuondoi uanaume, yalio ya wanawake wamepewa wanawake, ukiona unacho maana yake waweza kitumia au umepewa uwezo huo, kuumbwa na uwezo wa kulia maana...
  16. VINICIOUS JR

    HIVI WANAUME WOTE WALIOOA WANAKUTANA NA HAYA MASWAHIBU AU NI BAADHI YA WANAUME HUKO KWENYE NDOA ZENU?

    Bila shaka mko poa wana jukwaa na wale mabingwa wanaendaelea kusherekea ubingwa wao.HALAA MADRID. Moja kwa moya kwenye mada, wakuu nina rafiki angu kaoa mwana mke kahitimu chuo huko daslam miaka mitatu iliopita nadhani ni diploma ya uwalimu ila bado hajeajiriwa sasa huyu mwanamke nifull jeuri...
  17. Mad Max

    Wanaume: Ebu jaribu "simple dress code" hizi siku, Ujione utatokaje!

    Ushawahi jiuliza siku nitoke vipi? Au kila siku unavaa style moja ya mavazi hadi watu washakuzoea? Sasa kuna hizi dress code tano (5) siku unaweza kuzijaribu. 1. Kuchomekea jeans na shati mikono mirefu. Hii inakua casual outfit, mfano unaenda kazini au mtoko wa kawaida. Tafuta shati la mikono...
  18. Mganguzi

    Kwa sasa jukumu la kusomesha watoto apewe mwanamke pekee, wanaume tunadharaulika sana watoto wakifikia kilele cha mafanikio

    Nimeona tabia hii imeshika Kasi sana ,akina mama au wazazi wenzetu wanatutambua kama wazazi pindi watoto wanapohitaji karo za shule na mahitaji yote! Wake zetu huwaambia watoto kupeleka mahitaji yao kwa baba ' iwe karo, mavazi, chakula, matibabu na kila kitu mhusika mkuu ni baba!! Lakini baadae...
  19. M

    Vile wanawake wanapenda kutuendesha wanaume maskini

    Kuna mtindo flani wa maisha unapendwa Sana na wanawake karibu wote waliosoma na wasiosoma. Sababu za huu mtindo kupendwa ni hizi harakati za wazungu za kutaka Kuona wanawake wanakuwa SAWA na wanaume (eti tofauti iwe ni maumbile tu).wanawake hupenda haya na bahati mbaya wanaozama kwenye huu...
  20. Mhaya

    Idadi ya Wanaume waliotoka kimapenzi na Shilole

Back
Top Bottom