wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pang Fung Mi

    Taarifa toka kwa Wanawake: Mpaka sasa Wanaume wa kisukuma wanaongoza kwa kuwa na Mujumba Bujumba mukubwa

    Shalom, Wanaume wakisuma hawana maajabu ya uchangamfu they are not pepper but women have concluded wasukuma wanaongoza kwa kuwa na Mujumba Bujumba mukubwa Taarifa fupi mengine yaendelee Wadiz
  2. Melki Wamatukio

    Tukifika mbinguni, wanaume safi tutapewa mabikra 72 tuishi nao. Vipi kwa upande wa wanawake?

    Mafundisho ya dini yana favour sana upande wetu wanaume. Vipi kuhusu wanawake? Mbona wao hawaongeleki? Baada ya kufika mbinguni na bus la Isamilo Express, tutapokelewa na malaika ambao watatulaki na kutufungulia lango la mbingu. Wanaume safi akiwemo mimi ambao tunachakata mbususu kwa staha kwa...
  3. Powell Gonzalez

    Hii ni kwa ajili ya wanaume 18+ under 25 years.

    Gonzalez nawafungulia code 3 kwa comment za mdau in a previous code 2. Hii ni kwa wanaume 18+ but under 25 years. 1. Usinywe pombe nothing bad like driving your mind in a crazy way. 2. If you can afford hakikisha umelipia gym or you exercise daily, lifting weights itafaa zaidi. 3. Tumia...
  4. SweetyCandy

    Wanaume mnanini mnanikera sana

    SIpo single ila nipo yaani unakuwa hujielewi kama upo single au haupo. Sasa ni hivi na mshikaji wangu. Sio mpenzi tunapendaga kwenda outings kula lunch nakunywa . Kazi zetu sio za kujipangiwa . Okay sasa huyo mwana, sio hanioni mie wakike nope kanichukulia mie mshikaji tu hajaweka akilini...
  5. Natafuta Ajira

    Jinsi wanaume tunavyotapeliwa katika neno "kuwajibika"

    Wanaume wengi wamepumbazwa katika ili neno "kuwajibika" kitu ambacho kinapelekea wanaenda extra miles kulazimisha wafanikishe mambo yasiyokuwa na ulazima hata kama wanajiumiza au kujirudisha nyuma kimaendeleo. Tutaangalia baadhi ya mifano. 1. Mahusiano ya kimapenzi. Ukisikia mwanamke anaongelea...
  6. ndege JOHN

    Kwanini wanawake huvutiwa na wanaume wenye vipara

    Upara mara nyingi huleta hisia kali ya kujiamini. Wanaume wanaonyoa upara wao huonekana kuwa na ujasiri na salama katika sura zao, sifa ambazo wanawake wengi huona zikiwavutia. Zaidi ya hayo, upara unaweza kusisitiza sifa za kijadi za kiume, na kuongeza mvuto wa jumla wa mtu. Sababu nyingine...
  7. GENTAMYCINE

    Dokta Mwaka: Wanawake kufungua Miguu tu pekee haitoshi, jiulizeni na nyie mmewafanyia nini Wanaume? Acheni kutaka kufanyiwa kila Kitu

    "Na isitoshe pamoja na kufanyiwa kila Kitu na Wanaume ikiwemo hadi Kuridhishwa maradufu bado tena Wanaume hao hao Wanawajibika katika Kuwatunzeni lakini pamoja na yote haya utakuta Wanawake wao hawarudishi Uwajibikaji huo kwa Wanaume na wanadhani Kufungua Kwao Miguu kila Siku ndiyo Upendo wa...
  8. BabaMorgan

    Tusifumbue macho hii kauli "Wanaume wameisha" inatweza utu wa Wanaume

    Inasikitisha kwa Mwanamke mwenye Kaka, Baba na Babu kutamka Wanaume wameisha hii ni disrespectful ya kiwango cha umeme wa grid ya Taifa.. Hili ni zaidi ya tusi Mwanamke anayeweza kutamka haya maneno inaonesha ukuaji wake ulijaa changomoto inawezekana vipi udisrepect baba na kaka zako
  9. Etugrul Bey

    Wanaume huu ndio ukweli ambao hamjawahi kuambiwa

    Unataka mkeo au mwanamke wako awe kama vile unavyotaka awe wakati wewe binafsi hutaki kuwa kama yeye anavyotaka uwe Najua nimewachanganya kidogo au sio Iko hivi: unataka mwanamke wako akuheshimu na kukusikiliza lakini wakati huo huo nawe haumu onyeshi mapenzi,kwasababu wanawake wanahitaji...
  10. X

    Wanaume tukumbushane tu mambo machache tunapochagua mke wa ndoa

    Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kabla ya kumfanya mwanamke kuwa mke wako wa ndoa. Kwa leo tuangazie matatu tu kwa kifupi ili tuendele na shughuli za ujenzi wa taifa. Iko hivi, unapotaka kuoa kwanza usijifikirie wewe tu, ni kweli chagua mwanamke ambaye anakuvutia lakini ukumbuke hujichagulii...
  11. Melki Wamatukio

    Wanaume wanaofanya kazi hizi huufurahia sana uumbaji wa mola. Wanafaidi mema ya nchi

    Nimefanya utafiti wa kutosha. Hivyo nina 100% na kile ninachokizungumza (a) Fundi Simu (b) Chipser (Mkaanga Chips) (c) Bodaboda (Afisa Usafirishaji) (d) Wasusi wa kiume na wapaka rangi kucha (e) ?
  12. Teslarati

    DHARURA: Naitisha kikao cha wanaume usiku huu tujadili bei elekezi ya mahali kwa mchumba

    Leo naingia ofisini nimemkuta kijana wangu mmoja ana manung'uniko sana na nilitegemea awe na furaha sababu alitujulisha anaenda kuchumbia. Kummuliza shida nini akasema story ile ile inayotaka kufanana na nilichokiona humu jf Sikutegemea nilichokikuta ukweni Dogo kaenda kule wamemwambia mahali...
  13. Equation x

    Nyakati hizi, wadada wanatongoza sana wanaume

    Siku moja niliamua kutembelea akaunti yangu moja ya mtandao wa kijamii, baada ya kuingia 'inbox' nikakutana na sms (jumbe) nyingi za wadada na wamama mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali za Afrika; nyingi zilikuwa zinasema, 'mambo', 'hallow' n.k Wengine wakiomba urafiki n.k; nikawa najiuliza kwa...
  14. Mkalukungone mwamba

    Kwanini wanaume hukaa kimya wanapofanyiwa unyanyasaji wa kijinsia?

    Wanaume wanakutana na Unyanyasaji wa kijinsia ila kuripoti na kupata msaada wamekuwa wagumu, Nini kinasababisha Wanaume kukaa kimya? Weka maoni yako!
  15. Ma Mshuza

    Ndo nakuambia sasa kama hujui. Asilimia 95 ya wanaume wanapenda mwanamke huyu

    Awe na Tako awe na kiuno awe na bastola. Hutaki kajisaidie....mi nshakutana na wanaume wanasema napenda mwanamke namba moja.... Nyooooh...namba moja my ass. Wengi ambao ni vibamia wanaogopa kuyafakamia matinginya sababu hawafiki ndani au hawajui style mujarabu. Unabisha aangalia insta...
  16. Ma Mshuza

    Sababu ya kutopenda wanaume wa aina hii

    Wanawake wengi hawapendi kuwa na mahusiano na wanaume weupe. Sababu zangu mimi binafsi naona mwanaume mweupe ananifunika. Yeye anaonekana zaidi kuliko mimi. Mimi maji ya kunde. Nataka mwanaume awe mweusi tunapokuwa pamoja nionekane mimi kwanza. Ila kwenye kuzaa nataka nizae na mwanaume mweupe...
  17. Hance Mtanashati

    Kwanini wanaume wanaweza kuhudumia wanawake hata watano, wazazi na watoto na bado wakawa sawa lakini wanawake wanashindwa?

    Kuna siri kubwa imejificha kuhusu pesa. Haiwezekani wanaume tuweze kuhudumia wapenzi wetu mpaka michepuko, tuhudumie watoto, tuhudumie wazazi, tuhudumie wakwe na mashemeji na bado tukawa sawa lakini kwa wanawake washindwe? Kama kufanya kazi hata wanawake nao wanafanya tena mnaweza hata mkawa...
  18. GENTAMYCINE

    Sikujua kuwa kumbe hata Zama hizi za Sasa bado kuna Wanaume 'Hopeless' kabisa kama huyu

    Mahakama Kuu Kanda ya Geita imemhukumu kunyongwa hadi kufa, Anold Juma baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua kwa kukusudia mtoto wake Anna Shemas mwenye umri wa mwezi mmoja akidai hafanani naye. Chanzo: mwananchi_official Tena nawaombeni nyie Mliotoa hii Hukumu mnipe Kolabo na huyo...
  19. LIKUD

    Mabinti wenye umri kati ya miaka 18 -22 ni tiba Mujarab kabisa ya tatizo la msongo wa mawazo kwa wanaume

    Kama wewe ni mwanaume wa age 30+ umeoa au umezaa na mwanamke/wanawake na wanakupa stress za mapenzi kama vile unahisi wana flirt na michepuko au mmeachana na ex wako ame move on, etc, halafu kwa sababu hiyo eti umepatwa na msongo wa mawazo basi Mimi NINAKUTUKANIZIA MAMA AKO MZAZI. Kosa lako...
  20. Suley2019

    Ukaguzi viwango na uthibitishaji wa dawa za kuongeza maumbile mamlaka zinazingatia nini?

    Habari Wakuu, Kumekuwa na Ofisi mbalimbali zilizopewa vibali vya kuuza madawa ya kuongeza maumbile (Uume kwa Wanaume) na Shepu kwa wanawake. Ofisi hizo zimekuwa huru na zinajitangaza hadharani sambamba na kusifia huduma zao. Nimewauliza wataalamu wa Afya kadhaa wanadai hakuna dawa...
Back
Top Bottom