Wanaume,
Maisha ni magumu, najua. Wakati mwingine unahisi kukata tamaa, lakini kumbuka, "maisha yanapokupa ndimu, tengeneza sharubati ya limau." Unastahili maisha bora, hivyo endelea kupambana.
Huna PESA kwa sasa, lakini si MASKINI. Kukosa pesa ni hali ya muda, lakini umasikini ni mtazamo wa...