wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanaume wengi wanaumwa, hawaendi Hospitali. Wanawake wengi wapo Hospitali kuliko wanaume

    Wanaoongoza kwa kufa ni wanaume but yet wanaonekana sana Hospital ni Wanawake. Nenda Hosp yoyote au hizi za Serikal kama MuHimbili n.k kaangalie walioko kwenye foleni. Asilimia 80 ni wanawake. Most of them.je wanaume hawaumwi? Wanaumwa ila 1. Wagumu sana kwenda Hosp 2. Wanaumwa wanaendelea...
  2. Butiama komesheni hii mila ya tohara kwa wanaume kwa kutumia kisu tena mbele ya kadamnasi

    Jana nilkuwa misele katika kijiji kimoja huko Butiama na kukuta maandalizi ya sherehe Jumamosi hii, nikajaribu kuuliza nipate undani wa sherehe hizo, nikaambiwa ni vijana wanaenda kukatwa 'mkono wa sweta' mnadani, duh! unakatwa govi mbele ya kadamnasi? Huu ni ukatili wa kijinsia na pia si...
  3. Wanaume, tabia ya kung'ang'ania kukaa kwa mwanamke aliejenga itaisha lini?

    Yaani mtoto wa kiume kabisa unathubutu kumwambia mwanamke eti malizia mjengo wako tuje kuishi wote wakati hujui hata bei ya msumari wa zege? Hapana, nimekasirika sana. Wanaume acheni hizi tabia kama mnazo, mtakuja kudhalilika siku moja yakitimia. Nimechukia sana. Hatujawahi kudate, ila kwa...
  4. Wanaume mpeni maua Kamishna ACP Debora Magilimba

    KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, mkoani Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Debora Magiligimba, amewataka wanaume wanaonyimwa unyumba kuripoti katika madawati ya jinsia yaliyopo katika vituo vya polisi kwani huo ni ukatili. ACP Debora ametoa wito huo Desemba 1,2021 wakati...
  5. Kwanini Wanaume wengi wakiingia kwenye Ndoa wanapata kitambi?

    Moja kwa moja kwenye mada, kwanini wanaume wengi baada ya kuingia kwenye ndoa tu haipiti muda wanaanza kuota vitambi. Yani kumjua mwanaume kama ameoa ni rahisi sana asilimia kubwa wanakua na vitambi. kwanini inakua hivi, kifanyike nini ili wawe kawaida kama wale ma bachela KATAA NDOA :) .......
  6. Mwaka 2024 umeisha, mwaka 2025 wanaume tuache kuwekeza sana kwa wanawake wasio na mpango na sisi

    Habarini, Mainstream dating advice from media, na kutoka kwa baadhi ya wanawake na wanaume wanaotuzunguka inatuambia wanaume kuwa ukitaka upate mwanamke wa ndoto zako inatakiwa ufanye moja ya hivi vitu: MYTH NO: 1 1) Utafte hela na umhonge mdada pesa, na uwe na personality nzuri: UKWELI Pesa...
  7. Kutoka mitandaoni ,kutana na Mmoja ya wanaume wapuuzi wa kizazi cha leo

    Mnajua Wanawake wanatuhitaji sana sisi wanaume ndicho kitu walichoumbiwa. Mwanamke inabidi ndio awe mwenye Furaha sana pale unapomwambia Ninakuoa !!. Et waoo kasema ' ndio' , Kwa lugha nyingine Jama alikua Kwa Mahusiano ambayo bado Demu alikua na Option nyingine !!. Hivi inakuaje Mwanaume...
  8. Kwanini wanaume wengi wanaoendeshwa na wake zao hupenda kujionyesha vijogoo wakati ni tetea?

    Wanangu, huwa sipendi kuchangia wala kujadili mambo ya ngono na mambo binafsi. Ila baada ya kusoma nyuzi nyingi za wanaume wanaobemendwa na wake zao wakijifanya vijogoo, nimeamua lau leo niulize. Kuna nyuzi nyingi za kuwakandia na kuwaonyesha wanawake kama viumbe wa ajabu na dhaifu. Nahisi wengi...
  9. Wanaume naomba mnijibu tafadhali

    Hii inawahusu wanaume sio wavulana. Hivi inakuaje unavoondoka nyumbani unatoa bunda la laki nne lote mfukoni kwako halafu unachomoa elfu 20 tu ndio unampa mwanamke wako? Ni kuringishia kwamba una hela nyingi au kukomoana kwamba pesa ninazo na sikupi. Nimeumia sana. Kumbuka anahonga Malaya...
  10. Kumbe ukikosa vigezo mwanamke Hawezi kuwa na wewe, ila ujinga wa wanaume tunalegeza kamba

    kwa staili hii wanawake wataendelea kutuburuza sana wanaume katika masuala ya maslahi na mustakabali wa ustawi wa maisha yetu. Wanawake wengi wanawinda Mali tu na pesa kwa mwanaume, sasa kama huna kitu ni nadra sana kukidhi vigezo mbele ya wanawake wengi.
  11. Mithali 5 ipo moto sana na kutuonya wanaume dhidi ya Malaya

    Mithali 5:3 Maana midomo ya malaya hufondoxa asali, na kinywa chake ni laini kuliko mafuta Mithali 5:4 Lakini mwisho wake ni mchungu kuliko pakanga, ni mkali kama upanga wa makali kuwili Mithali 5:5 Miguu yake inatelemkia mauti, hatua zake zinashikamana na kuzimu Mithali 5:8 Itenge njia yako...
  12. LGE2024 Wanaume waombwa kuwapa nafasi ya kushiriki kampeni wagombea wanawake

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la kiserikali linalojishughulisha na masuala mbalimbali ya kijamii mkoani Mtwara la Faidika Wote Pamoja (FAWOPA), Baltazar Komba amewataka wanaume kuelewa juhudi zinazofanywa na serikali na wadau mbalimbali za kuwawezesha wanawake kupata nafasi za kugombea...
  13. Wanaume wengi wanaojiona wako kwenye mahusiano, kiuhalisia wako single ila hawajijui kuwa wako single

    Habarini, Ukichunguza vizuri mahusiano mengi sahivi, Mdada akiwa na birthday atategemea kupokea outing, lunch, and gifts toka kwa boyfriend wake, ila boyfriend akiwa na birthday mdada hatompa boyfriend kitu chochote. Mkiwa mnatembea mtaani, mdada akiona kitu kizuri kitachomfaa, k.v kiatu...
  14. Kumbe kuna kikao cha Wanaume kilifanyika ila nimesoma sehemu Maazimio kadhaa

    Kuanzia sasa hakuna tena hela ya kutolea unapo mtumia mwanamke hela,akitaka hela kamili afuate geto Kuna vifungu viwili vya uhaini vimeongezwa,ila nakumbuka kimoja tu,mwanao akitaka kuazima geto lako awe na demu wake,ukimnyima huo ni uhaini Demu akiwa anasema anakuja geto,halafu wewe ukaoga...
  15. X

    Wanawake wengi walio active kwenye mitandao ya kijamii sio wa kufanya nao maisha. Hiyo ni red flag tosha kaa kitaalamu kidume usipuuzie hilo

    Red flags ziko nyingi ila kuna hii: Mwanamke aliye active kupost post kwenye mitandao ya kijamii kama IG, Snapchat, TikTok n.k Ukweli ni kwamba mabinti au wanawake wengi wanatumia mitandao ya kijamii kutafuta attention za wanaume. Na ndio maana wengi wao wakifuatwa DM huwa wanajibu wako single...
  16. Wanawake wanawataka wanaume wa kuishi nao na sio watu wenye jinsia ya kiume, vijana wengi hawaelewi hili

    Siku hizi kundi la team kataa ndoa linazidi kukua kila kukicha lakini wengi hawajui kiini cha tatizo ni nini? Lipo kundi la watu wachache ambao kweli ni halali kwao kususia/kukataa kuoa kutokana na madhira waliyokutana nayo au waliyoyaona kwa watu wao wa karibu. Lakini kundi kubwa lililobaki...
  17. M

    KERO Vyoo vya Wanaume Stendi Kuu ya Mabasi Singida ni vichafu sana, hizo 300 zinazokusanywa zinaenda wapi?

    Vyoo vya upande wa juu yanakotokea mabasi katika Stendi Kuu ya Mabasi Singida maarufu kama Stendi Mpya (vyoo vya kiume) havifai jamani..... ni vichafu vinatia kinyaa. Ushuru tunaolipa getini na kwenye huduma ya chooo unafanya kazi gani? Kwanini Manispaa isiweke kampuni ya usafi au watu maalum...
  18. Kwanini vyoo vya umma vinatengwa kwa jinsia ya wanaume(ME) na wanawake(KE)?

    Kwanini vyoo vya umma vya watu wazima huwa vinatengewa kwa jinsia ya Wanawake(KE) na Wanaume(ME)? Kuna tatizo gani kwa wanaume na wanawake kutumia choo kimoja? Kwanini vyoo havitenganishwi vya watoto na watu wazima?
  19. Sababu 5 zenye kufanya wanaume wapole sana, wenye kujali sana,wenye kusaidia sana huishia kupata mwenza dikteta, mgomvi mgomvi, mbabe

    Kuwa mwanaume ni kazi sana kuliko watu wanavyodhani. Mwanaume hawezi kukwepa majukumu,mwanaume hawezi kukwepa vitimbi au maudhi ya Mwanamke ndani ya familia, mwanaume hawezi kukwepa nafasi ya kiuongozi ndani ya familia akikwepa anamkosa mke pamoja na watoto. Huwa tunasikia hadithi za kila aina...
  20. Leo ni Sikukuu ya Wanaume Duniani ila hakuna meseji wala status za kuwapongeza. Subiria ifike siku yao!

    Nov 19 ni siku yetu tena, Duniani. Ila hauoni majigambo mitandaoni wala meseji za heri ya siku ya wanaume Duniani wala kupongezwa kwa mchango wetu katika Taifa. Ila ikifika March 8, utashangazwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…