Kila mtandao ukipita,utakuta wanaume wakiwashutumu wanawake sana,tena kwa maneno makali mno,kila uovu,kila ubaya tunawapakaza
Wanawake,wezi,malaya,matapeli,majambazi,wakorofi,wazinzi,wavivu,wachafu,wananuka,,hawaaminiki,yaani kila ubaya,you just name it.
Hapana hii si sawa